Instagram story viewer> @zidostar> Posts
28.7K
followers
240
following
New Music “Hapo Hapo”👇
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
YBWYB
Kila sekunde ni Baraka 👑 
NITAPONA is out 🎶

#nitapona #zidostar by @zidostar
2
2 hours ago
Download
Tustaftiane sababu ikiwa upendo inakuwa upendo😜
Hatukuwa na SABABU yakuchelewesha Video ya SABABU nikiwa na WA UKOO @mopluschanya Asante kwa kuendela kuniamini na kunipa nafasi yakuwa miongoni mwa hii safari ya sababu🎶❤️

#SABABU ni ngoma ya maisha yakweli ya mahusiano hivyo nipende kukukaribisha Youtube ya Father kuenjoy na naamini kuna mengi yakujifunza katika kila mstari alioandika. Link iko kwa Bio yake or nenda straight YOUTUBE Kisha andikaa SABABU FT yoo Boy ✋🏽👑

Shikamoo @justincukaz kwa muzikiMzuri na Asante pia kwa Director @izzybree_ kwa Hii Video 🔥🔥

#zidostar #fromchugawith❤️ #sababu by @zidostar
61
3 days ago
Download
Muziki ni kitu pekee umenikutanisha na watu na naupenda pia  hivyo kaka zangu wanajambo lao ARUSHA. Natamani sana tukutane hapa mapema nitakuwepo kuenjoy na kukumbuka Mengi katika Kila mstari wa NAKO 2 NAKO 👑

📍 NAKO 2 NAKO
📅 10/10/2026
🎤 Mimi nitakuwepo kuimba miongoni mwa watakaotuchana! 🏃💥🌎
Mbebe bebe wako 👩‍❤️‍👨❤️, marafiki zako 🫂🔥, mkajienjoy pamoja nasi. Usikose kabisa! 🎶🍾✨
#Nako2Nako #Zido #LivePerformance #Music #Arusha 10October 

Cc
@lordeyesmweusi @fidovato_official @nako2nakotz @ibra_da_hustla na makaka kibao njoo ufurahie RAPP 🍻 by @zidostar
11
5 days ago
Download
Maana Halisi ya "SHuJaa" Ni :- MliNZi, MteteZi, MSHiNDi Wa Vita Hata Vya MaiSHa, Mwenye UJaSiRi wa KuKaBiliana Na JaMbo lolote Bila Kuzuiwa Na WoGa! 
Hii Ni MaaNa Halisi ya Mama Zetu Wa KiBoNGo Na DuNia Nzima!!

#MamaNiSHuJAa #UKuRaSAMPya #009wakilisha2026 

📽 @mateibabu taken in Arusha, Tanzania by @zidostar
14
6 days ago
Download
Hili SoNGi Ni Letu Wote, Plz ZaMa YouTube Kwa KuBofya Link Kwenye Bio, Kutazama Video ya #MaMaNiShujaa, Alaf Mvutie MaMa yaKo Ng'ora Baada ya Hapo! Na KaMa Alishatangulia Mbele ya Haki, TuMwombee Amani Huko Alipo! 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

#BeHiNDtheSCeNes #MkomaziNationalPark 
#009wakilisha2026 #UKuRaSAMPya taken in Arusha, Tanzania by @zidostar
17
7 days ago
Download
Muvi LiNaNoGa Pale Mama Kijazi Alivyocheka Hilo JiNa LiNGiNe La KiJaNa WaKe! #Chaba009 😅 
#MamaNiSHuJAa Video is Out Now, Please Go & Watch it in YouTube. Au Kwa KuBoFya Link Kwenye Bio...
Produced By @djkassofficial 
Directed By @director_okey 

#009wakilisha2026 #UKuRaSAMPya taken in Arusha, Tanzania by @zidostar
24
8 days ago
Download
Vibe Ziko juu Kama Bei ya KOPA 🎶

#nitapona is out 🔥⭐️❤️ by @zidostar
18
8 days ago
Download
"MaMa Ni SHUJAa" Ni An Emotional Song Ambayo Ni True Story inspiration Ya MaMa @Chaba009 Na Hapa AMewashirikisha @zidostar Na @joelkinabo
ToKa Kwenye Albamu Ya #Chaba009
"#UKuRaSAMpyA". 

Produced By  @djkassofficial @Grandmasterrecords
Directed By @director_okey 

https://youtu.be/vi5aJRQxbxY?si=V0WusoES_97LUMc7

iNapatikana Kwenye YouTube Na Digital Platforms Zote.

#009wakilisha2026 taken in Arusha, Tanzania by @zidostar
64
9 days ago
Download
"MaMa Ni SHUJAa" Ni An Emotional Song Ambayo Ni True Story inspiration Ya MaMa @Chaba009 Na Hapa AMewashirikisha @zidostar Na @joelkinabo 
ToKa Kwenye Albamu Ya #Chaba009
"#UKuRaSAMpyA". 

Produced By  @djkassofficial @Grandmasterrecords
Directed By @director_okey 

https://youtu.be/vi5aJRQxbxY?si=V0WusoES_97LUMc7

iNapatikana Kwenye YouTube Na Digital Platforms Zote.

009wakilisha2026 taken in Arusha, Tanzania by @zidostar
26
9 days ago
Download
Asante Director @elijahjafary kwa hii zawadi ya video lyrics ❤️ 
Ntakuwekea YouTube jioni ya leo EAT ⏰ 

#fromchugawith❤️ #zidostar #totheworldentertainment #nitapona by @zidostar
15
12 days ago
Download
Nipende kukujulisha kuwa NITAPONA nimekuwekea katika platform zote❤️🔥 support ako n kushare na unaempenda 🫂

Enjoy #nitapona link kwa Bio yangu 🎶

@foxxmadeit ninoma sana baba 🔥🔥

Asante director @elijahjafary by @zidostar
21
14 days ago
Download
“NITAPONA” audio sasa imetoka na inapatikana kwenye platforms zote za muziki. 🎶🔥

Asante @foxxmadeit kwa hii Beat na muziki mzuri pia Asante  @thisiscukie kwa hii mixing 🚨🔥

Isikilize, i-like ❤️, share na uniambie… wewe ungependa kupona kwenye nini? 🥺
#NITAPONA #Zido #ZidoStar #NewMusic #totheworldentertainment by @zidostar
38
14 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up