Instagram story viewer> @adamoo14> Posts
96
posts
8.2K
followers
893
following
Building powerful brands, blockbuster films & cultural movements in Africa
Creator of @nomaseries
Founder @amokmarketing @amokfilms_tz
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Jitambue. Badilika. Acha mazoea. by @adamoo14
26
2 days ago
Download
TUZO ZA ZIFF 2026 | Tamthilia ya 'Noma' imeibuka mshindi wa Tuzo ya Tamthilia Bora ya Mwaka 2026 kwa upande wa Tanzania katika Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF).Tuzo hiyo imepokelewa na muaandaji wa tamthilia hiyo, Adam Kibaro, ambaye amefanikiwa kuibuka mshindi katika ushiriki wake wa kwanza kwenye Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF) 2026.Shughuli nzima ilikuwa mbashara kupitia #SinemaZetuHD chaneli namba 106 #azamtv by @adamoo14
79
a month ago
Download
WE DID IT! 🏆🏆🏆Kwa furaha kubwa tunawashukuru kwa upendo, support na kura zenu.NOMA imefanikiwa kushinda tuzo zote tatu kwenye ZIFF 2026 People’s Choice Awards.🏆 Best Drama Series Tanzania🏆 Best Actor TV Drama Series Tanzania — Sadam Nawanda (Nawanda)🏆 Best Actress TV Drama Series Tanzania — Magdalena Munisi (Wendy)Huu ni ushindi wa kila mmoja aliyekuwa sehemu ya safari hii — cast, crew, production team, na mashabiki wote waliotuunga mkono tangu siku ya kwanza.Asanteni sana kwa kuamini NOMA na kwa kuendelea kutupa support kubwa namna hii.Ushindi huu ni wa familia nzima ya NOMA. 🌹🌹🌹Hii si mwisho…Safari bado inaendelea.#NOMA#ZIFF2026#PeoplesChoiceAwards by @adamoo14
155
a month ago
Download
⏭️📽️🔜 by @adamoo14
31
a month ago
Download
Baada ya Kikao maalumu na familia, sasa tupo tayari Kwa ajili ya project mpya yamoto. See you soon ✌️@amokfilms by @adamoo14
62
a month ago
Download
🙏🏻Asante Sana my Brother @adamoo14 @amokfilms_tz Kwa Kuniamini Na kunipa Nafasi Ya kuwa mmoja Ya waliotengeneza #NOMAEP yenye Soundtrack Bora Ya Tamthilia pendwa Nchini Ya @nomaseries Imeniongezea watu amasa Ya kujiamini Na kunifanya Nijione kwenye nafasi kubwa Katika Sanaa Yangu. #NOMAEP OUT NOW TAP LINK AND LISTEN 🎵🔥🔥 by @adamoo14
26
a month ago
Download
ALHAMDULILLAH 🙏🏾NOMA SERIES officially is the Best TV Series of the Year 2025–2026 at @business_awards_africa Business Awards.Na pia tunajivunia ushindi wa Best Actor — Habibu Mtambo @alexander_malick Hii ni ushindi mkubwa kwa familia nzima ya NOMA.Asanteni kwa support yenu, kura zenu, na upendo mnaotuonyesha kila siku.Hongera kwa cast wote, crew wote, producer, director, na team nzima iliyofanya kazi usiku na mchana kuhakikisha NOMA inafika hapa ilipo.Special congratulations to Habibu Mtambo kwa performance bora iliyogusa watu wengi na kuonesha ubora wa kazi ya Kitanzania. This is more than an award.This is proof that passion, consistency, and hard work pay off. @amokfilms_tz by @adamoo14
78
a month ago
Download
Baada ya mahojiano na Wataalamu @officialboneka na @adamoo14 kupitia kipindi chetu cha #Mtaa107 cha hapa @ufmradiotz ,ulikua wasaa mzuri tuliojadili mambo mazuri kuhusu filamu na Uigizaji nchini Mahojiano yako you tube channel ya Ufmradiotz #Mtaa107 by @adamoo14
12
2 months ago
Download
Between light and silence, every frame captures the weight of a life-changing moment. The vision is clear. The story unfolds soon. 🦅🦅 by @adamoo14
21
2 months ago
Download
Kuna kipindi nilikuwa nikiangalia tuzo za @ziffestival kwa mbali nikijiambia kimoyomoyo… “siku moja na sisi tutafika hapa.” Nilikuwa naota tu kuona kazi yangu ikitajwa kwenye majukwaa makubwa ya filamu Afrika Mashariki. Leo hii, ndoto hiyo imekuwa kweli. NOMA imechaguliwa kwenye tuzo za ZIFF, na kwa kweli hii sio ushindi wangu peke yangu bali ni ushindi wa kila mtu ambaye ameiamini NOMA tangu siku ya kwanza. ❤️Shukrani kubwa kwa familia yangu kwa support yao kwenye safari hii.Asante sana team nzima ya NOMA pamoja na wasanii wote waliofanya kazi usiku na mchana kuhakikisha tunaifikisha NOMA hapa ilipo leo. Hii nomination ni ya wote. 🙏Pia shukrani maalumu kwa @official_nawanda @alexander_malick na @miriam_boma kwa kazi kubwa ya casting. Zaidi ya 90% ya wasanii mnaowaona kwenye NOMA wao ndio waliowapendekeza au kuwaleta. Endeleeni kubebana na kuwapa wengine nafasi ya kuonekana. Na kwa upendeleo, shukrani za kipekee kwa @iam_nick92 na @selesupro … hawa ndio NOMA wenyewe. 🫡🔥Kutoka Tandale na leo hii kutambulika kama best producer nchini na soon tunaenda kutambulika nje ya mipaka ya Tanzania sio kitu ambacho kila mtu anaweza kukifanya, Shukrani za kipekee sana @sinemazetuhd kwa kuendelea kuamini kwenye vipaji vyetu Asanteni mashabiki wote kwa support yenu kutoka siku ya kwanza mpaka leo. Huu ni mwanzo tu. 🚀🏆#NOMASeries #ZIFF #AMOKFilms by @adamoo14
75
2 months ago
Download
🏆 OFFICIAL SELECTION 🏆Kwa heshima na furaha kubwa NOMA imechaguliwa rasmi kwenye Zanzibar International Film Festival 2026 katika category ya Best Series.Hii ni hatua kubwa kwa safari yetu ya kusimulia hadithi za Kiafrika kwa ubora wa kimataifa 🌍Asanteni kwa support yenu yote tangu mwanzo.Hii ni kwa ajili ya mashabiki, cast, crew na kila aliyeamini kwenye NOMA 🎥#NOMA#ZIFF2026#OfficialSelection#BestSeries#TanzaniaToTheWorldAfricanStoriesNomaSeries by @adamoo14
90
2 months ago
Download
The story of TANZANIA ONE @selesupro Niliwahi kusema na narudia tena leo bila kuogopa mtu yeyote — upande wa film cinematography Tanzania bado sijamuona D.O.P. anayekufikia. The way unavyoona frame, movement, emotions na mood ya scene ni tofauti sana. Kamera mikononi mwako sio equipment tena… ni language.Lakini kinachonishangaza zaidi ni kwamba ku-shoot sio hata strongest weapon yako pekee.Editing… 🔥Bongo tumesikia sana stories za editors, hype nyingi na majina mengi. Ila wewe ulivuka hiyo stage mapema sana. Wewe sio editor wa kukata scene, wewe ni master wa storytelling. Unajua emotion iishi wapi, ukimya ukae sekunde ngapi na audience ihisi nini kabla hata dialogue haijatoka.Color grading… 🎨Watanzania tunapenda sana hype lakini ukweli usemwe. Linapokuja suala la colors, hujapata wa kufanana naye. Kuna namna unavyocheza na rangi mpaka frame zinaonekana kama zimechorwa kwa mkono. Watu watanielewa mbele ya safari. Hii sio kawaida, hii ni sanaa.Sound engineering… 🎧NOMA isingekuwa NOMA bila “noma” za sound. Na wish watu waone projects ambazo bado hazijatoka waelewe una wazimu gani kwenye hii department. The attention to detail kwenye sound design yako ni crazy. Soon nakutazama ukiwa producer mkubwa wa Bongo Flava tusipokuwahi mapema 😅Na moja ya somo kubwa kabisa ulilotuachia ni issue ya trailers. Kwa mara ya kwanza Tanzania tumeona series inayotoa trailer kila season huku project ikiendelea kuruka. Hilo pekee limebadilisha mindset ya editors wengi nchini. Mpaka leo bado hakuna aliyefanya ulichofanya consistently kwenye back-to-back trailers. Respect kubwa sana hapo.Keep up the good work brother 🫡 by @adamoo14
78
2 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up