Instagram story viewer> @akilieducation> Posts
43.5K
followers
181
following
Taarifa sahihi kuhusu kozi elimu ya juu๐Ÿ“š
8M kwa mwaka inatosha kulipia
Ada, malazi & chakula India๐Ÿ’ต
Usisubiri mpaka ukose chuo
Jaza link hii ๐Ÿ‘‡
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Maandalizi ya Akili Alumni Marathon 2026 yanaendelea kupamba moto huku Akili Alumni ( @akilievents ) ikianza rasmi kuwatambua Watanzania waliopata elimu nje ya Nchi na wanaoendelea kufanya mambo makubwa ndani na nje ya Nchi โ€˜Alumni Championsโ€™.

Akili Alumni Marathon ni mbio za kipekee zitakayofanyika Dar es salaam tarehe 06 Aprili 2026 zikiwaleta pamoja Alumni wa Tanzania waliosoma nje ya Nchi, Runners, Wanafunzi, Wazazi, Makampuni na Vyuo vikuu zaidi ya 100 Duniani ambapo lengo kubwa ni kukusanya ufadhili wa Wanafunzi 100 wenye vipaji kusoma kozi za teknolojia za kisasa kama Artificial Intelligence, Cyber Security na Blockchain Technology ili kuandaa kizazi kipya cha Wataalam wa teknolojia kwa Tanzania.

Sehemu ya safari hii ni kuwatambua Watanzania waliokwenda kusoma nje ya Nchi na sasa wanatoa mchango mkubwa kwa Taifa na Dunia ili wawe mfano wa kuigwa kwa Vijana wa Tanzania ambapo hadi sasa Akili Alumni imeshawatambua baadhi ya Alumni Champions wafuatao:

* Abdulmajid Nsekela โ€” Managing Director, CRDB Bank
* Prof. Mohamed Janabi โ€” Director, WHO
* Dr Tulia Ackson โ€” Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania
* Dennis Lazaro Londo โ€” Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara
* Benjamin Fernandes โ€” Co-Founder, NALA Money
* Mika Chavala โ€” Founder, Swahili Nation Network
* Leodger Leonard Kachebonaho โ€” CEO, Emwani Coffee
* Lloyd N. Leslie โ€” Founder, KaribuBongo
* Mika Chavala โ€” Founder, Swahili Nation Network

โ€œNa huu ni mwanzo tu, bado tunatafuta Alumni wengi zaidi wa Tanzania waliosoma nje ya Nchi wajitokeze ili tuwatambue na wakimbie pamoja nasi kwenye marathon hii ya kihistoria, kama wewe ni Alumni wa Chuo cha nje ya Nchi, jisajili kwenye website yetu kama Alumni na pia jiunge kukimbia marathon hiiโ€ - Akili Alumni.

Mahali: Leaders Club, Dar es Salaam
Mgeni Rasmi: Profesa Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu
Malipo: Tsh 50,000 (35000 ya usajili, 15000 ya mchango)
Tarehe: 06/04/2026
Lipa namba: 43029299 (Tigo Mix by Yas)
Mbio: 5km | 10km | 21km

Baada ya malipo, tuma ujumbe WhatsApp: +255 759 125 077

au jisajili moja kwa moja kupitia:
๐ŸŒ www.akilialumnimarathon.org by @akilieducation
110
7 months ago
Download
Mwezi huu @akilieducation pamoja na @maulidkitenge mtangazaji maarufu Tanzania watasafiri na kundi la wanafunzi kuelekea nchini India.

Kozi zinazopatikana kwa budget ya million 8, ada, malazi na chakula ni pamoja na

1. Bachelor in Civil Engineering
2. Bachelor in Optometry
3. Bachelor in Law (Sheria)
4. Bachelor in Digital Marketing
5. Bachelor in Computer Science
6. Bachelor in Radiology
7. Bachelor in Business Administration
8. Bachelor in Medical Lab Technology
9. Bachelor in Mechanical Engineering
10. Bachelor in Artificial Intelligence
11. Nk Nk

Je, una budget ya milioni nane na upo tayari kusoma kozi Zenye tija na fursa za ajira nchini India?

Comment "nipo tayari" tutakutumia maelekezo ya Nini Cha kufanya ili uweze kutimiza ndoto zako za elimu ya juu

Share post hii kadri uwezavyo watu wengi wapate ujumbe huu

Follow @akilieducation @akilieducation @akilieducation

#vyuovikuunjeyanchi #studyabroad #studyinindia #tanzania #muhas #udsm #mbeya #dodoma #mwanza by @akilieducation
168
a year ago
Download
Leo hatutabeza kabisa kozi nyingine kama Civil Engineering na Electrical Engineering kwani na zenyewe zina umuhimu wake katika jamii.

Lakini UKWELI USEMWE!

Dunia tunayoishi leo siyo dunia tuliyoishi miaka 10 iliyopita.

TUMEINGIA KWENYE AI ERA! ๐Ÿค–๐Ÿ”ฅ

Artificial Intelligence inabadilisha namna benki zinavyofanya kazi, hospitali zinavyohudumia wagonjwa, viwanda vinavyozalisha bidhaa na biashara zinavyoendeshwa.

Makampuni makubwa duniani yanawekeza mabilioni kwenye AI. Hata Tanzania, taasisi zetu za fedha, telecom na biashara zinazidi kuhitaji wataalamu wenye ujuzi huu.

Imagine mpaka viongozi wa sekta ya benki wamekuwa wakisisitiza umuhimu wa kupata watu wenye AI SKILLS!

Hii inakuonyesha kwamba dunia haiangalii vyeti pekee. Inataka kujua UNAWEZA KUFANYA NINI?

Sasa fikiria mtoto wako leo ana miaka 18, unampeleka kusoma Bachelor in Artificial Intelligence.

Anajifunza:

๐Ÿค– Machine Learning\
๐Ÿง  Deep Learning\
๐Ÿ“Š Data Science\
๐Ÿ’ป Programming\
โš™๏ธ Automation\
๐Ÿ‘๏ธ Computer Vision\
๐Ÿ”ฌ AI Systems Development

Baada ya miaka michache anakuwa na uwezo wa kutengeneza AI applications, automation systems, data solutions na teknolojia zinazoweza kutumiwa na makampuni mbalimbali.

Na uzuri wa AI ni kwamba mtoto halazimiki kusubiri kuajiriwa!

Anaweza kujenga software, kutoa AI solutions kwa biashara, kufanya freelancing au kuanzisha kampuni yake mwenyewe.

Siyo kwamba kila mhitimu wa AI anapata ajira moja kwa moja, lakini mwanafunzi mwenye SKILLS HALISI na projects nzuri anaweza kujitengenezea fursa nyingi.

MZAZI, USISOMESHE MTOTO KWA MAZOEA TU!

Angalia dunia inapoelekea miaka 10, 20 mpaka 30 ijayo.

Na sasa HABARI MUHIMU! ๐Ÿšจ

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ ZIMEBAKI NAFASI 2 TU ZA BACHELOR IN ARTIFICIAL INTELLIGENCE NCHINI INDIA!

๐Ÿ’ฐ MILIONI 8 TU KWA MWAKA

โœ… Ada\
โœ… Malazi\
โœ… Chakula

Hii ni budget ya mojawapo ya vyuo tunavyofanyia udahili nchini India.

โฐ UDAHILI UNAFUNGWA TAREHE 15 OKTOBA!

Mzazi, usisubiri mpaka nafasi ziishe ndipo uanze kuulizia.

Comment โ€œAIโ€ tukutumie admission requirements.

๐Ÿ“ž 0793939320\
๐Ÿ“ Akili Education โ€” ITV Road, Neolife Building

Akili Education | Speed & Results ๐Ÿš€ by @akilieducation
5
an hour ago
Download
โ€œNilianza safari hii nikiwa Burundi na maswali mengi. Leo niko airport, nina visa, nina ticket, naelekea India!โ€ โœˆ๏ธ

Huyu ni PATIENCE GATABAZI, kijana kutoka BURUNDI anayekwenda India kusoma Bachelor in Data Science.

Lakini msione tu picha ya airport mkadhani ilikuwa rahisi. ๐Ÿ˜ญ

Gatabazi hakuhitaji chuo pekee. Alihitaji mtu wa kumshika mkono kutoka Burundi mpaka siku ya kupanda ndege.

Na hapo ndipo Akili Education tulipoingia! โค๏ธ

Tulimsaidia kuchagua chuo na kufanya application, kufuatilia admission, passport, visa na ticket ya ndege.

Alipofika Dar es Salaam kutoka Burundi kwa hatua za mwisho, hatukumwambia โ€œsasa jiongeze mwenyewe.โ€ ๐Ÿ˜‚

Tulimsaidia hata kupata HOTEL ya kufikia na kumuelekeza kwenye taratibu zilizobaki.

Leo yupo airport, akiwa na nyaraka zake tayari, kuelekea INDIA kutimiza ndoto yake.

Na jambo la kuvutia zaidi?

๐Ÿ’ฐ BUDGET YA CHUO ANACHOENDA NI TZS MILIONI 8 KWA MWAKA!

โœ… Ada ya chuo\
โœ… Malazi\
โœ… Chakula

Anaenda kusoma DATA SCIENCE, kozi inayomfundisha kutumia data, statistics, programming na technology kutatua matatizo na kusaidia maamuzi kwenye biashara, benki, afya na industries mbalimbali.

Sasa niseme jambo kwa wazazi wa BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ, CONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ na RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ:

Huhitaji kuishi Dar es Salaam ili Akili Education ikusaidie kutafuta chuo nje ya nchi.

Unaweza kuanza mchakato ukiwa nchini kwako. Tunakushauri kuhusu vyuo, gharama, nyaraka na hatua za safari kulingana na mahitaji yako.

India, Malaysia, China, Canada, UK na destinations nyingineโ€”tunaweza kukusaidia kutafuta option inayokufaa.

MSIKILIZE GATABAZI MWENYEWE KWENYE VIDEO HII. โค๏ธ

Alianza na maswali. Leo anaondoka na majibu.

KESHO ANAWEZA KUWA MTOTO WAKO! โœˆ๏ธ

Comment โ€œBURUNDIโ€ au โ€œSTUDY ABROADโ€ tukutumie muongozo.

๐Ÿ“ž 0793939320
๐Ÿ“ Akili Education โ€” ITV Road, Neolife Building by @akilieducation
8
3 days ago
Download
Leo tumemsindikiza Ester kuelekea DUBAI kusoma katika Middlesex University Dubai, moja ya matawi ya kimataifa ya chuo kikuu cha Middlesex University cha nchini Uingereza. ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช

Na kuna jambo moja ambalo wazazi wengi wa Tanzania bado hawajalielewa kuhusu DUBAI.

Dubai siyo sehemu ya kwenda kufanya shopping, kutalii na kupiga picha kwenye majengo marefu tu. 

DUBAI NI MOJA YA SEHEMU NZURI SANA KUMPELEKA MTOTO AKASOME CHUO KIKUU.

Unajua kwanini?

Dubai ni kitovu cha biashara, aviation, finance, technology, logistics, tourism na international investment.

Unapompeleka mtoto kusoma Dubai, humpatii degree pekee.

Unampa nafasi ya kukutana na wanafunzi kutoka mataifa mbalimbali, kujenga international network na kupata exposure ya namna biashara na teknolojia zinavyoendeshwa duniani.

Fikiria mtoto anasoma Business, Cyber Security, Artificial Intelligence, Aviation au Finance akiwa kwenye mazingira ambayo industries hizo zinafanya kazi kila siku.

HII NDIYO EXPOSURE TUNAYOIZUNGUMZIA! ๐Ÿ”ฅ

Na jambo zuri zaidi kuhusu Middlesex University Dubai ni kwamba ni campus ya chuo kikuu cha Uingereza.

Mtoto anapata fursa ya kusoma programme ya chuo cha UK akiwa Dubai, karibu zaidi na Tanzania kuliko kusafiri mpaka Uingereza.

Ndiyo maana Akili Education tunaendelea kuwashauri wazazi wasiangalie nchi pekee wanapochagua chuo.

ANGALIA CHUO, KOZI NA MAZINGIRA ANAYOKWENDA KUSOMEA MTOTO.

Leo Ester Luja ameanza safari yake ya kutimiza ndoto hiyo. โค๏ธโœˆ๏ธ

Lakini kuna HABARI MBAYA kidogo! ๐Ÿšจ

KESHO ndiyo mwisho wa udahili wa Middlesex University Dubai kwa intake hii tunayoshughulikia.

Kama ulikuwa unasubiri, umechelewa kidogoโ€ฆ

LAKINI BADO HUJACHELEWA KABISA!

Wasiliana nasi leo tuangalie kama unaweza kukamilisha application kabla ya dirisha kufungwa, au tukushauri intake inayofuata.

Mzazi, usisubiri mtoto akose options zote ndipo uanze kutafuta chuo nje ya nchi.

Karibu Akili Education. ๐ŸŒ

Comment โ€œDUBAIโ€ tukutumie kozi, gharama na admission requirements.

๐Ÿ“ž 0793939320
๐Ÿ“ ITV Road, Neolife Building by @akilieducation
11
3 days ago
Download
Wahenga wanasema, โ€œKizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.โ€

Jana wakati tupo airport tunamsafirisha Furaha Kafonogo kwenda India ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ kusoma Bachelor in Cyber Security, tulimuomba dada yake atoe neno moja kuhusu Akili Education.

Akatuambia:

โ€œNeno moja halitoshi kuelezea Akili Education.โ€ โค๏ธ

Leo amejitokeza mbele ya Watanzania kushuhudia huduma tuliyowapa mpaka Furaha akafikia ndoto yake.

Furaha ametokea Singida na amehitimu PCB katika Babro Johansson Model Girls Secondary School.

Walipoanza process familia ilikuwa na mashaka.

โ€œHivi kweli itawezekana?โ€

Tukawaambia jambo moja: TUAMINI, TUFANYE KAZI YETU.

Hatua kwa hatua tukaanza.

Admission โœ…
Passport โœ…
Visa โœ…
Ticket na maandalizi ya safari โœ…

Jana yale yaliyokuwa mashaka yakageuka kuwa machozi ya furaha airport. ๐Ÿ˜ญโค๏ธโœˆ๏ธ

Mtoto wao alikuwa anaondoka Tanzania kuelekea India kuanza Bachelor in Cyber Security.

Na jambo zuri zaidi?

Chuo alichoenda Furaha ni moja ya options zetu zenye budget ya:

๐Ÿ”ฅ TZS MILIONI 8 KWA MWAKA

โœ… Ada
โœ… Malazi
โœ… Chakula

Mzazi, usikate tamaa kabla hujauliza.

Huenda chuo unachokijua ni ghali, lakini tukakutafutia option inayolingana na budget yako na qualifications za mtoto.

Ndiyo maana dada yake Furaha kwenye video hii anawaambia wazazi:

โ€œNENDENI AKILI EDUCATION.โ€

Tunakuongoza kuanzia uchaguzi wa kozi na chuo, admission, passport, visa mpaka ticket na safari.

EWE MZAZI, PELEKA MTOTO SHULE. โค๏ธ

Usikubali mtoto akae nyumbani kwa sababu amekosa selection, hakupata kozi aliyotaka au unaamini kusoma nje ni kwa matajiri pekee.

Familia ya Furaha ilianza na mashaka.

Leo wanafurahia matunda. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœˆ๏ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ

MSIKILIZE DADA YAKE KWENYE VIDEO HII.

Una mtoto unayetaka kusomesha nje? Comment โ€œNATAKAโ€ tukuelekeze pa kuanzia.

๐Ÿ“ž 0793939320
๐Ÿ“ Akili Education โ€” ITV Road, Neolife Building by @akilieducation
11
4 days ago
Download
Pichani ni Isack ambaye jana amesafiri kuelekea India ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ kusoma Bachelor in Radiology & Imaging Technology.

Lakini ACHANA NA ISACK KIDOGO ๐Ÿ˜‚

Leo tunaongea na ENGINEERS!

Kama ulisoma Bachelor ya Engineering halafu Masters unataka kurudia kitu kilekile bila specialization inayokupa direction mpya, FIKIRIA MARA MBILI.

Dunia imebadilika. Engineering ya leo inaunganishwa na AI, Cyber Security, Automation, Smart Infrastructure na Aerospace.

Hizi ni baadhi ya M.Tech zenye potential kubwa kwenye industries zinazokua duniani:

๐Ÿค– M.TECH MACHINE LEARNING & ARTIFICIAL INTELLIGENCE

Engineering inakutana na AI. Unaingia kwenye Machine Learning, intelligent systems, automation na technologies zinazotengeneza mifumo inayojifunza na kufanya predictions.

๐Ÿ” M.TECH INFORMATION SECURITY & CYBER FORENSICS

Siyo Cyber Security pekee. Inaingia kwenye cyber attacks, digital evidence, cybercrime investigation na information security.

๐Ÿ—๏ธ M.TECH CONSTRUCTION

Nzuri kwa Civil Engineers wanaotaka kubobea zaidi kwenye planning, management na utekelezaji wa miradi mikubwa ya construction na infrastructure.

โœˆ๏ธ M.TECH AEROSPACE ENGINEERING

Hapa unaingia kwenye aircraft, aerospace systems, aerodynamics na technologies zinazohusiana na aviation na space.

Na HIZO NI CHACHE TU! ๐Ÿ˜ณ

๐Ÿ‘‰ SWIPE kuona M.Tech nyingine kama Data Science, Robotics & AI, VLSI Design, Structural Engineering, Transportation, Environmental Engineering, Power Systems, Biotechnology na Food Technology.

Na habari nzuri?

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ Unaweza kusoma INDIA kwa budget ya:

๐Ÿ”ฅ TZS MILIONI 12 KWA MWAKA 
โœ… Ada 
โœ… Malazi 
โœ… Chakula

Engineering degree yako isiishie kukupa title ya โ€œEngineer.โ€

Ongeza SPECIALIZATION inayokupa nafasi ya kuingia kwenye industries za mwaka wa mbele. ๐Ÿš€

๐Ÿšจ UDAHILI UNAFUNGWA KESHO!

Una Bachelor ya Engineering? Comment โ€œMTECHโ€ tukutumie list na tuangalie programme inayolingana na background yako.

SHARE na Engineer mmoja. Anaweza kuwa anatafuta Masters lakini hajui aanzie wapi.

๐Ÿ“ž 0793939320 
๐Ÿ“ Akili Education โ€” ITV Road, Neolife Building by @akilieducation
6
5 days ago
Download
Pichani ni Furaha Kafonogo. Furaha tayari yupo AIRPORT kuelekea India kusoma Bachelor in Cyber Security katika Poornima University. โค๏ธโœˆ๏ธ

Nyumbani ni SINGIDA, lakini amemaliza Form Six PCB katika Babro Johansson Model Girls Secondary School.

Na kuna SOMO KUBWA sana hapa:

PCB MPAKA CYBER SECURITY! ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ”

Miaka ya nyuma ukisema PCB, mawazo ya kwanza yalikuwa Medicine, Pharmacy, Nursing na kozi nyingine za afya.

Lakini DUNIA IMEBADILIKA.

Leo tuna Artificial Intelligence, Cyber Security, Data Science, Robotics, Cloud Computing na teknolojia nyingine zinazotengeneza ajira na fursa ambazo miaka kadhaa iliyopita hazikuwa kwenye mawazo ya wanafunzi wengi.

Combination aliyosoma mtoto isiwe gereza la ndoto zake.

Kulingana na eligibility ya chuo, mwanafunzi anaweza kuwa na pathways nyingine tofauti na zile tulizozoea.

Furaha ameamua kuingia CYBER SECURITY. ๐Ÿ”

Benki, mobile money, telecom, hospitali, serikali na biashara zinavyozidi kuwa digital, ndivyo ulinzi wa data, mifumo na fedha unavyozidi kuwa muhimu.

Na jambo lingine tunalojifunza kwa Furaha ni hili:

SINGIDA SIYO KARIBU NA DAR ES SALAAM. ๐Ÿ˜…

Lakini umbali haukumzuia yeye wala familia yake kutafuta elimu wanayoitaka.

Ndiyo maana Akili Education tunataka mtoto awe Singida, Kigoma, Songea, Bukoba, Mwanza au kijiji chochote Tanzaniaโ€”asiamini kwamba fursa za kusoma nje ni za watu wa Dar es Salaam pekee.

Na Poornima University anakoenda Furaha ni moja ya options zetu za India kwa budget ya:

๐Ÿ”ฅ **TZS MILIONI 8 KWA MWAKA**

โœ… Ada 
โœ… Malazi 
โœ… Chakula

HUNA PASSPORT? Tunakusaidia kwenye mchakato.

HUNA CHETI CHA KUZALIWA? Tunakuongoza kukamilisha nyaraka zinazohitajika haraka ili usichelewe na admission.

๐Ÿšจ KESHO, TAREHE 7 OKTOBA, ndiyo mwisho wa dirisha hili la udahili tulilonalo.

Usisubiri mpaka kesho jioni ndipo useme:

โ€œNa mimi nilikuwa nataka kwenda India.โ€ ๐Ÿ˜ญ

FANYA APPLICATION MAPEMA, UKASOME KOZI ZA MWAKA WA MBELE. ๐Ÿš€

Leo ni Furaha kutoka SINGIDA kwenda INDIA kusoma CYBER SECURITY.

KESHO ANAWEZA KUWA MTOTO WAKO. โค๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœˆ๏ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ

Comment โ€œCYBERโ€ tukutumie maelezo.

๐Ÿ“ž 0793939320 
๐Ÿ“ Akili Education โ€” ITV Road, Neolife Building by @akilieducation
10
6 days ago
Download
Pichani ni Alvin Robert, mhitimu wa Imperial Secondary School iliyopo Pwani, Tanzania. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Leo hii Alvin yupo AIRPORT akielekea INDIA ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ kusoma BBA in FinTech & Artificial Intelligence katika Lovely Professional University (LPU).

Na wazazi wa watoto wa ECA, EGM na PCM, SOMENI HII VIZURI.

FinTech & AI ni mchanganyiko wa BIASHARA + FEDHA + TECHNOLOGY + ARTIFICIAL INTELLIGENCE.

Badala ya mtoto kusoma biashara kwa ujumla pekee, anajifunza dunia mpya ya fedha inayokwenda kwenye:

๐Ÿ’ณ Digital Banking & Payments 
๐Ÿค– Artificial Intelligence 
๐Ÿ“Š Financial & Data Analytics 
๐Ÿ“ฑ FinTech Applications 
โš™๏ธ Automation 
๐Ÿ’ฐ Financial Management 
๐Ÿ” Technology kwenye financial services

Angalia Tanzania leo.

Benki zinakuwa digital. Mobile money inakua. FinTech companies zinaongezeka. Mikopo inatolewa kupitia technology. Fraud detection inatumia data. AI inaingia kwenye financial services.

HAPO NDIPO DUNIA INAPOKWENDA.

Na specialization ya BBA inayochanganya FinTech & AI bado si rahisi kuipata Tanzania kama programme kamili, ndiyo maana tunawapeleka wanafunzi wetu India kupata exposure hii mapema.

Kuhusu MSHAHARA ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

Kwa baadhi ya nafasi nzuri za FinTech, banking, data na technology, graduate mwenye skills zinazotafutwa anaweza kulenga packages zinazofikia karibu TZS MILIONI 3 kwa mwezi au zaidi kadri experience na uwezo wake unavyoongezeka.

Lakini tuseme ukweli: degree pekee haihakikishi mshahara wa milioni 3. Skills, kampuni, nchi, internship na performance ya graduate ndiyo vinaamua.

Na kinachotufurahisha zaidi, wanafunzi wanaoingia kwenye programme hii sasa wanakuwa miongoni mwa batches za mwanzo kabisa tunazozifuatilia Akili Education. Tunataka kuona watakuwa wapi miaka mitatu ijayo. ๐Ÿ”ฅ

Mzazi, kama mtoto wako amesoma:

ECA โœ… 
EGM โœ… 
PCM โœ…

na ana interest na BUSINESS + TECHNOLOGY, muulizie FINTECH & AI.

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ LPU University, India 
๐Ÿ’ฐ TZS MILIONI 12 KWA MWAKA 
โœ… Ada 
โœ… Malazi 
โœ… Chakula

๐Ÿšจ UDAHILI TULIONAO UNAFUNGWA KESHO!

Leo Alvin yupo airport.

Miaka mitatu ijayo tutarudi kwenye post hii. ๐Ÿ˜‰

Comment โ€œFINTECHโ€ tukutumie maelezo ya mwisho ya admission.

๐Ÿ“ž 0793939320 
๐Ÿ“ Akili Education by @akilieducation
24
6 days ago
Download
Pichani ni Isac Jategi akiwa amesimama na mama yake mzazi. โค๏ธ

Huyu mama amepambana usiku na mchana kuhakikisha mtoto wake anapata nafasi ya kusoma kozi anayoitaka.

Baada ya Isac kukosa tu selection ya KWANZA ya vyuo vya ndani, mama hakusema:

โ€œTusubiri selection ya piliโ€ฆโ€

โ€œTusubiri ya tatuโ€ฆโ€

Alianza kutafuta option nyingine mapema.

Na leo tunapoandika post hii, ISAC YUPO AIRPORT tayari kuelekea INDIA ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ kusoma Bachelor in Radiology & Imaging Technology. ๐Ÿฉป๐Ÿ”ฅ

Hii ni moja ya kozi za afya ambazo options zake za kusomea hapa Tanzania si nyingi ukilinganisha na kozi nyingine zinazojulikana zaidi.

Radiology & Imaging Technology inamwandaa mwanafunzi kufanya kazi na teknolojia zinazotumika kusaidia madaktari kuona kinachoendelea ndani ya mwili wa mgonjwa kupitia medical imaging.

Mwanafunzi anakutana na maeneo kama X-Ray, CT Scan, MRI na imaging procedures mbalimbali kulingana na programme na clinical training yake.

Na habari nzuri ni kwamba kupitia Galgotias University, India ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ tuna option ya programme hii kwa budget ya takribani:

๐Ÿ’ฐ TZS MILIONI 12 KWA MWAKA

Ada 
Malazi 
Chakula

Lakini HABARI MBAYA ni hiiโ€ฆ ๐Ÿšจ

ZIMEBAKI SEAT 3 TU!

Na deadline ya udahili tuliyonayo ni KESHO, TAREHE 7 OKTOBA.

Mzazi, usisubiri mpaka options zote zifungwe ndipo uanze kutafuta chuo.

Kama mtoto wako amemaliza Form Six na hakupata chuo au kozi aliyokuwa anaitaka, njoo Akili Education tuangalie options zilizobaki na eligibility yake.

Leo hii tunawasindikiza wanafunzi WATATU:

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ Isac , Alvin, Furaha

Wazazi wao nao walianza na kuuliza swali moja tu:

โ€œTUNAANZIA WAPI?โ€

Leo watoto wao wanaondoka kwenda India. 

KESHO ANAWEZA KUWA MTOTO WAKO.

Comment โ€œRADIOLOGYโ€ au wasiliana nasi haraka kabla ya seats zilizobaki kujaa.

๐Ÿ“ž 0793939320 
๐Ÿ“ Akili Education โ€” ITV Road, Neolife Building by @akilieducation
9
6 days ago
Download
Kozi kama za KILIMO huwezi kuangalia degree pekee. Ni muhimu kusoma kwenye chuo chenye mazingira ya kutosha ya practical, laboratories, research na mashamba ya mafunzo.

Ndiyo maana moja ya options tunazopendekeza ni Lovely Professional University LPU nchini India.

School of Agriculture ya LPU ina agricultural research/farm facilities pamoja na specialized laboratories za maeneo kama Agronomy, Soil Science na Entomology. Chuo pia kinaweka mkazo kwenye research katika Agriculture na allied fields.

Na hapa ndipo panavutia zaidi ๐Ÿ‘‡

Kama tayari una Bachelor inayohusiana na Agriculture/Horticulture na unatafuta specialization ya Masters, LPU ina options hizi za miaka 2

๐ŸŒพ M.Sc. Agronomy 
๐ŸŒฑ M.Sc. Soil Science 
๐Ÿงฌ M.Sc. Genetics & Plant Breeding 
๐Ÿ› M.Sc. Entomology 
๐Ÿฆ  M.Sc. Plant Pathology 
๐Ÿฅฌ M.Sc. Vegetable Science 
๐ŸŽ M.Sc. Fruit Science 
๐ŸŒบ M.Sc. Floriculture & Landscaping

Hizi siyo Masters za kusoma theory tu.

Fikiria Tanzania tunahitaji kuongeza productivity ya mazao, kuboresha mbegu, kupambana na wadudu na magonjwa, kusimamia afya ya udongo, kuongeza uzalishaji wa matunda na mboga na kutumia science kutatua changamoto za wakulima.

Hapo ndipo tunahitaji WATAALAMU WALIOBOBEA.

Mtu wa Genetics & Plant Breeding anaangalia namna ya kuboresha varieties za mazao.

Plant Pathology anaingia kwenye magonjwa ya mimea.

Entomology ana-specialize kwenye insects na pest management.

Soil Science anaingia kwenye afya, fertility na matumizi endelevu ya udongo.

Agronomy anaangalia science ya crop production na farming systems.

Hizi ni Masters ambazo zinaweza kuwa na relevance kubwa kwa watu waliopo kwenye agriculture, agribusiness, research, government projects, NGOs, seed companies na agricultural development.

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ Kupitia Akili Education:

๐Ÿ’ฐ TZS MILIONI 12 KWA MWAKA 
โœ… Ada 
โœ… Malazi 
โœ… Chakula

Kama una ndugu, rafiki au mfanyakazi aliyesoma Agriculture, USIPITE NA POST HII.

Share kwake. Huenda hii ndiyo opportunity aliyokuwa anatafuta.

Comment โ€œAGRICULTUREโ€ tukutumie requirements na muongozo wa application.

๐Ÿ“ž 0793939320 
๐Ÿ“ Akili Education โ€” ITV Road, Neolife Building by @akilieducation
13
6 days ago
Download
Leo Oktoba 5 ni Siku ya Walimu Duniani, na sisi Akili Education tumeamua kufanya kitu kidogo tofauti.

TUMEAMUA KUGAWANA KIDOGO TULICHONACHO NA WALIMU WA TANZANIA. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโค๏ธ

Tunajua hatuwezi kuwafikia walimu wote. Hatuwezi kuwalipa thamani halisi ya kazi wanayoifanya. Lakini tunaweza kusema ASANTE kwa namna ndogo tunayoweza.

Kama wewe ni MWALIMU, comment hapa chini:

๐Ÿ‘จ๐Ÿพโ€๐Ÿซ Jina lako 
๐Ÿซ Shule unayofundisha 
๐Ÿ“š Somo unalofundisha 
๐Ÿ“ฑ Namba yako ya simu

UOKOTE CHOCHOTE KITU kutoka Akili Education kama ishara ndogo ya shukrani yetu. ๐ŸŽ

Na tunaomba jambo moja kwa kila Mtanzania atakayeona post hii:

Ukishuka kwenye comments ukaona namba ya mwalimu, hata kama HUMJUI, ukiguswa na moyo mtumie chochote.

1,000/= 
2,000/= 
5,000/= 
10,000/=

Na ujumbe unaoambatana na muamala:

โ€œMWALIMU, ASANTE KWA KAZI UNAYOFANYA.โ€ โค๏ธ

Fikiria kama leo mwalimu mmoja akifungua simu akakuta watu 10 ambao hajawahi kukutana nao wamemtumia hata 1,000/= wakisema Happy Teachersโ€™ Day.

Hiyo ndiyo Tanzania tunayotaka. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Walimu ndiyo waliotufundisha kusoma, kuandika na kuhesabu kabla hatujawa Madaktari, Engineers, Lawyers, Entrepreneurs na viongozi.

Pichani ni Mwl. Magoda na Mwl. Yusuph Pangoma, miongoni mwa walimu wanaotumia pia mitandao kufikisha elimu kwa maelfu ya Watanzania. Tunawapongeza wao na WALIMU WOTE TANZANIA. ๐Ÿ‘๐Ÿพ

Pia tunawakumbuka walimu waliotutangulia mbele za haki, akiwemo Mwl. Elias Kihombo, Busanji Physics na Moddy Physics. ๐Ÿ•Š๏ธโค๏ธ

Leo comment section hii iwe ya WALIMU.

MWALIMU, WEKA NAMBA YAKO. ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

Na wewe ambaye si mwalimu, ukiona namba moja imekugusaโ€ฆ

MTUMIE CHOCHOTE. โค๏ธ

Happy World Teachersโ€™ Day! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐ŸŽ‰

Akili Education 
๐Ÿ“ž 0793939320 
๐Ÿ“ ITV Road, Neolife Building by @akilieducation
178
6 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up