Instagram story viewer> @akilieducation> Tagged
57.4K
followers
192
following
Taarifa sahihi kuhusu kozi elimu ya juu๐Ÿ“š
8M kwa mwaka inatosha kulipia
Ada, malazi & chakula India๐Ÿ’ต
Usisubiri mpaka ukose chuo
Jaza link hii ๐Ÿ‘‡
POSTS STORIES REELS TAGGED
DAY 07!! 04 DREAM HOUSE ๐Ÿ  

Comments 10,000 = Passport & Mkataba wa Kazi!! 

Wazazi wa Arusha Kama unahitaji mtoto wako akasome nje ya Nchi basi @akilieducation wapo Kwaajili yako Kwa Tsh 8Million mtoto wako anaenda kusoma India ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ Tena akiwa na ufaulu wa D Mbili tu !! Muda ni sasa wasiliana na @akilieducation 

Please comments !! ๐Ÿ”ฅ

Sponsored by @akilieducation
35k
DAY 04 !! 04 DREAM HOUSE ๐Ÿ  

Wanafunzi wote mnaotamani kwenda kusoma Nje ya Nchi especially India , @akilieducation Wanaweza kukupeleka kwa Tsh 8M tu !! Unaenda kusoma course yako pendwa!! 

Kwa maelekezo zaidi ๐Ÿ‘‡
Wapigie ๐Ÿ“ž 0793939320
Call ๐Ÿ“ž 0759125077

Sponsored by @akilieducation
257
KOZI UNAYOWEZA KUANZA KUPATA FURSA ZA KAZI UKIWA BADO CHUO โœˆ๏ธ๐Ÿ”ฅ

Toka nimezaliwa sijawahi kusikia jambo kama hili ๐Ÿ˜‚

Kama wewe ni mzazi au mwanafunzi, TEGA SIKIO.

Kuna kozi moja nataka wazazi wengi waijue:
โœˆ๏ธ BACHELOR IN AVIATION MANAGEMENT

Watu wengi wakisikia Aviation wanafikiri lazima mtoto awe Pilot au Air Hostess. HAPANA!

Aviation Management inakuandaa kuingia kwenye upande wa biashara na uendeshaji wa sekta ya angaโ€”airports, airlines, cargo, logistics, ground handling, passenger services, airline sales & marketing na aviation operations.

Na kitu kinachoifanya hii programme ivutie ni exposure ya industry. 

Kupitia internships na placements, mwanafunzi anaweza kuanza kupata fursa za kazi akiwa bado chuoni, kulingana na skills, performance na opportunities zinazopatikana.

Sasa wazazi wa ARTS, EGM, ECA na hata CBG, msifikiri watoto wenu wana options chache!

Kulingana na eligibility ya chuo, Aviation Management inaweza kuwa option nzuri sana hata kama mtoto hakusoma PCM au PCB.

Fikiria mtoto wako miaka michache ijayo akiwa anafanya kazi kwenye airport, airline, air cargo company, logistics company, ground handling au aviation business ndani au nje ya Tanzania. ๐ŸŒโœˆ๏ธ

Na kwa option tunayofanyia udahili India:

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ Budget takribani TZS MILIONI 10 KWA MWAKA
โœ… Ada
โœ… Malazi
โœ… Chakula
โœˆ๏ธ Pamoja na makadirio ya gharama za safari kulingana na package

Mzazi, kama mtoto amemaliza Form Six na bado mnajiuliza โ€œASOME NINI?โ€, msichague kozi kwa mazoea.

Angalia dunia inaenda wapi. Angalia industries zinazokua. Angalia mtoto anaweza kujenga skills gani.

AVIATION MANAGEMENT iwe mezani. โœˆ๏ธ๐Ÿ”ฅ

Onana na Akili Education tukupatie muongozo, tuangalie eligibility na tukusaidie admission mpaka safari ya India.

Comment โ€œAVIATIONโ€ tukutumie maelezo.

๐Ÿ“ž 0793939320
๐Ÿ“ ITV Road, Neolife Building

Mimi nimewasemea tu ๐Ÿ˜‚, wataalamu wa admission ni Akili Education.

Follow: @akilieducation
346
Michongo ni mingi sana huku
531
Michongo ni mingi
40
Nimepenyezewa hapa za ndani kabisa kuwa selection za vyuo zimetoka. Wengi hawajapata vyuo walivyotaka na wengine wamepata kozi ambazo wakiziangalia vizuri wanajiuliza:

โ€œHivi kweli mtoto wangu akimaliza hii kozi ataenda wapi?โ€

Mimi kazi yangu ni USEMAJI ๐Ÿ˜‚, lakini leo ngoja niwasemee na wazazi kidogo.

Kwa dunia inapoelekea, kama una mtoto amemaliza Form Six, hizi ni baadhi ya kozi ambazo ningekuambia uziangalie kwa jicho la tatu.

Kwa PCB:
๐Ÿฉป Bachelor in Radiology
๐Ÿ‘๏ธ Bachelor in Optometry
๐Ÿซ€ Bachelor in Cardiovascular Technology

Kwa PCM:
๐Ÿค– Artificial Intelligence
๐Ÿ” Cyber Security
๐Ÿ“Š Data Science

Kwa EGM/ECA:
๐Ÿ’ฐ International Accounting
๐Ÿ’ณ FinTech & AI

Kwa ARTS:
๐Ÿ“ฑ Digital Marketing
โœˆ๏ธ Aviation Management

MKeka ndiyo huo, kazi ni kwako mzazi. ๐Ÿ˜‚

Mimi nimewaambia tu.

Wataalamu kabisa wa haya mambo ni Akili Education. Wanaweza kukaa na mtoto wako, kuangalia matokeo yake, kumshauri kozi, kumtafutia chuo na kumsimamia mpaka anaondoka kwenda kusoma nje ya nchi.

Na niliposikia gharama nikasema ngoja niwaambie na hili:

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ Kuna options India zinazoanzia takribani TZS MILIONI 8 TU KWA MWAKA โ€” ADA + MALAZI + CHAKULA.

Kwa hiyo kama mtoto hajapata chuo alichotaka au kapata kozi ambayo hamjaridhika nayo, msikate tamaa wala msichelewe kufanya maamuzi.

Admissions za nje nazo zinaendelea.

๐ŸŽฅ Swipe muone watoto wa watu ambao tayari wapo airport wanaondoka kwenda kusoma. โœˆ๏ธ๐Ÿ˜‚

Wacheki Akili Education kupitia link hapo chini au piga:

๐Ÿ“ž 0793939320
๐Ÿ“ ITV Road โ€“ Neolife Building, Dar es Salaam

Mimi kazi yangu ni USEMAJI. ๐Ÿ˜‚
Mkeka nimewapa, kazi imebaki kwenu wazazi. Usikubali kuachwa! ๐Ÿ”ฅ
111
back to up