Instagram story viewer> @aznas_foundation> Posts
970
followers
6
following
Connecting Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ & China πŸ‡¨πŸ‡³ | Sourcing & Investment Partners | Helping you buy from China & Chinese investors find opportunities in Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
POSTS STORIES REELS TAGGED
πŸ‘πŸ‘πŸ‘ @aznas_printing , @aznas_studio  @aznas_embroidery  @aznas_studio  Ni mwaka mwingine tena tumefanikiwa kuwa wadhamini wakuu wa shughuli ya vijana iliyofanyika Jumapili, tarehe 19 ya mwezi huu β€” EAST AFRICA YOUTH PANEL @eastafrican_youthpanel . Tukio hili linawakutanisha na kutambua wajasiriamali na wafanyabiashara chipukizi wanaochochea ukuaji wa uchumi wa Tanzania.

Aznas Company LTD tunajivunia kutoa huduma za:
- Printing
- Branding
- Designing
- Audio & Video Coverage
- Structure Consultancy katika Event Planning
kama inavyoonekana kwa ufupi kupitia coverage hii. Kwa kifupi, sisi ni *One Stop Shop* kwa huduma zote za ubunifu na uchapishaji.

Kwa zaidi ya miaka 8 ya uzoefu katika soko la uchapishaji, tumejenga umahiri unaotupa nafasi ya kufanya kazi kwa usahihi, ubora wa hali ya juu, na uelewa mpana wa kile mteja anahitaji ili kuongeza utambulisho wake kibiashara na kuwafikia wateja wake ipasavyo.

Karibu Aznas Company LTD β€” Familia bora ya Printing nchini Tanzania.
πŸ“ž Mawasiliano:

Simu: +255 622 037 937
 +255 710 900 700

Barua pepe: info@aznas.co.tz

πŸ“ Ofisi: Mikocheni A, 5 Asmara St, Dar es Salaam, Tanzania

_Aznas Company LTD familia bora ya Printing Nchini Tanzania._ 

Cc @eastafrican_youthpanel  @gsmhometz  @bdozen  @discountcentretz  @dukahuru  @ewura_tz  @mjinifm  @jkwhitetanzania  @homecitymall_internationaltz  @itsallaboutcards @jamiiforums @laughs_on_leonardo  @modewjifoundation  @ellafoundationtz  @gsmfoundationtz  @kikwete_foundation  @mkapafoundation  @awesofoundation  @simulizinasauti  @simukitaa_  @mrisho_hassan_  @mr_june14  @directornicco  @reubenndege @kenedytheremedy  @jabirsalehtherealest  @mbabavc  @jimmykindoki @abagodmarketing_tz  @vodacomtanzaniafoundation  @tanzania_children_youth_org 
#EastAfricanYouthPanel #GoldSponsor #CommunitySupport #YouthEmpowerment #InspiringTheNextGeneration #ProudSponsor #AwardsNight #AznasArtsCentre #TheBestPrintingFamily. by @aznas_foundation
25
a year ago
Download
20% DISCOUNT OFF @aznas_printing Katika kuelekea Mwisho wa Mwaka, tutakuwa na discount mpaka ya 20% Kwenye huduma zetu mbalimbali kwa Wateja wetu.
Sisi ni ONE STOP PRINTING SHOP Tunatoa huduma za PRINTING, BRANDING,  ENGRAVING, EMBROIDERY, SCREEN PRINTING , DTF PRINTING , UV DTF PRINTING MUGS PRINTING, SUBLIMATION PRINTING , BANNERS PRINTING, STICKERS PRINTING etc Karibu sana @aznas_printing 

PIA TUNA STUDIO ZA AUDIO NA VIDEO, so tunatengengeneza matangazo ya aina zote,huduma zote sehemu moja, huna haja kuhangaika kutafuta huduma sehemu mbali mbali, KARIBU AZNAS kila kitu una kipata under one roof:
@aznas_printing 
@aznas_embroidery 
@aznas_studio 
@aznas_dtf 

tunapatikana mikocheni A
0622 037 937
0710900700
#videos #screen #photoshoots #largeformat #customcutting #voiceovers #uniforms #customcuttingboards  #uv  #embroidery  #screenprinting  #digitalpainting  #digitalmarketingservices by @aznas_foundation
27
a year ago
Download
Society by itself is non-existent. Society is what you and I, in our relationship, have created.

@aznas_music @aznas_printing  @melian_foundation taken in Dar es Salaam, Tanzania by @aznas_foundation
7
24 days ago
Download
WEEK HII NI YA KING OF THE STREETS @boshoo_ze_son πŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘‘ 
Au Unaweza muita KOROGWE FINEST πŸ”₯

AMEINGIA EPISODE 9: β€œKITU NA BOX” 
Chini ya @aznas_music | NUMBER ONE BONGO HIP HOP LABEL

Watu wangu, leo tunaingia na NGUVU YA MITAANI.
Huyu hapa ni SAUTI YA MITAANI - @boshoo_ze_son ni moja ya waandishi bora kabisa kwenye kizazi hiki na ni Mtoa Ujumbe mzuri πŸ”₯

Anaiwakilisha Hip Hop halisi kutoka chini mpaka juu.
Kama bado una RAPPER wako namba 1 Kwenye kizazi hiki basi mlete wapimane ubavu na mwamba huyu. 
Kwa boshoo ninaweza kuweka dau kwa wale wazee wa kubeti 😀

Leo tunampa JUKWAA lake.
Kwa sababu *HII NI #REALHIPHOPTZ* ✊

*WIKI HII NI YAKE* πŸ’ͺ
*TUMSUPPORT: SHARE VIDEO HII. ENEZA KILA MAHALI.*
https://youtu.be/XXyDTIFr1dI?si=WyFbIjTBisLAGIwQ

Angalia Full Video YouTube πŸ‘† Link Bio

Audio: @mandvdg
Video: @kento_dz
Studio: @aznas_music
Powered by: @aznas_printing @aznas_link @aznas_media
@azmamponda

#AZNAS40Bars #Episode9 #Boshoo #KituNaBox KorogweFinest BongoFlava RapTz TanzaniaMusic SupportTzArtists VijanaWaMungu by @aznas_foundation
16
2 months ago
Download
https://chat.whatsapp.com/J92byQTeNPfEaWjwadOh6h?s=cl&p=i&ilr=2
πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
KWA WALE AMBAO WAMEKUWA WAKIHITAJI LINK YA KUJIUNGA KWENYE GROUP LA WHATSAPP LA  @aznas_music 
Fuateno link hiyo hapo juu ili  kujiunga @aznas_music by @aznas_foundation
7
2 months ago
Download
AJALI πŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺ 

TUMEPOTEZA WENGI SANA... 

Kila siku tunasikia habari za ndugu zetu, marafiki na jamaa zetu wamepoteza maisha kwenye ajali za Boda Boda na magari ya moto. 
Inaumiza moyo πŸ’”

Kama una ndugu, rafiki au jamaa anayeendesha Boda Boda au pikipiki yoyote... 
UJUMBE HUU NI KWA AJILI YAKE. 

Baada ya @nikkimbishi999, @azmamponda, @blackqueen_tz, @cado_kitengo na @oscaroscarjr...
SASA NI ZAMU YA MTU AMBAYE ANAZUNGUMZA KWA VITENDO πŸ‘‡

**@nyumbumjanjatz** 🀝 @polisi.tanzania
Amekuwa mstari wa mbele kuhamasisha usalama barabarani na kutoa elimu kwa jamii yetu. 
Tunaamini mamlaka zitaona mchango wake mkubwa huu.

Nawashukuru kwa kazi nzuri: 
@latra_tz @zartsa_zanzibar @zatra @trafiki @zimamototanzania @tira.tz @osha_tanzania_official @wizara_elimutanzania @wizara_afyatz @maendeleoyajamii @wizara_ya_vijana_na_uwezeshaji

**THIS WEEK IS FOR @nyumbumjanjatz πŸ’ͺ** 
TUMSUPPORT. TUMSHARE. UJUMBE UFIKI MBALI.

Tazama Video Kamili ya "AJALI" - AZNAS 40 BARS EPISODE 5 hapa πŸ‘‡
https://youtu.be/mgQgpnbCiq0

---
**CREDITS**
Audio: @mandvdg 
Video: @kento_dz

**FOR BUSINESS & BRANDING**
@aznas_printing | @aznas_link | @aznas_music 
@aznas_awards | @aznas_media

#AZNAS40Bars #Episode5 #AJALI #nyumbumjanja #AznasMusic BongoFlava RapTz VijanaWaMungu UtaniWenyeUkweli RoadSafetyTZ BodaBodaSafety by @aznas_foundation
217
2 months ago
Download
πŸ”₯ HIRING NOW πŸ”₯
AZNAS PRINTING 

**Position:** Embroidery Machine Operator 
**Location:** Dar es Salaam, Mikocheni

+255622037937 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @aznas_foundation
0
2 months ago
Download
@aznas_printing @aznas_music @aznas_link 
HII NI WEEK YA @oscaroscarjr 😀πŸ”₯
MZEE ANAKIMBIZA MBAYA... ZINGINE ZIMA πŸ˜‚πŸ’€

Najua wazee wa kutaka:
πŸš— Gari za bure
🏠 Nyumba za bure 
🍻 Pombe za bure

Lazima waone kama jamaa kazingua kweli πŸ˜‚
Wanaume wakweli tunamuelewa. TUNAPUSH! πŸ’ͺ

NB: Mkitaka BEAT ZA BURE pia @mandvdg yupo πŸ˜€πŸ˜€

#TeamOscar Anatuangusha kabisa
Angalia β€œMTOTO WA MUNGU” Ep 5 hapa πŸ‘‡
https://youtu.be/thcdpdozJUg?si=rbzPb23xANpvxbnf

@oscaroscarjr @aznas_music @aznas_media @aznas_link

#AZNAS40Bars #Episode5 #MtotoWaMungu #MzeeWaKaliua 
BongoFlava RapTz VijanaWaMungu UtaniWenyeUkweli by @aznas_foundation
58
3 months ago
Download
@therealjongwe MBEYA TUNAONGEEA 😀

MBEYA kuna TALENT nyingi sana. Hakika!
Lakini wasanii wenzangu wa Green city TUBADILIKE.

Siyo kila siku kukaa nyumbani πŸ˜€
Industry inataka VITENDO, inataka FIGHTING SPIRIT

Nimejaribu kuwaleta vijana 3... mkianza hatua moja tu wanasema β€œNinataka kurudi nyumbani” 

Kama unataka mafanikio toka nje ya confort zone, Kama unataka watu wakusikie, JITOE.

BAADHI YA WASANII WA MBEYA @jadah_makanta @mbeyaboy_chuma  @dizastavina  @shaulinsenetamwanazuoni  @makantatz  kuna vijana wengi sana hapo, @kinasawazi_mbeya  kuna vijana wengi hapo, kuna Cypher moja ya presenter wa Ilasifm ina vijana noma sana 

Nani mwingine yuko tayari kutoka comfort zone? 
Comment β€œNIKO TAYARI” πŸ‘‡
Tuondoke na @aznas_music  @aznas_printing  @aznas_link  @aznas_awards 

NIWEKEE LIST YA WASANII WAKALI WA MBEYA, @izzo_bizness_mbeya 

#AZNAS40Bars #MbeyaToTheWorld #FightingSpirit #BongoFlava taken in Dar es Salaam, Tanzania by @aznas_foundation
47
3 months ago
Download
@aznas_printing 
JAMANI!! 😭πŸ”₯
MPKA SASA HIVI @oscaroscarjr ANAKIMBIZA MBAYA

Wanaume wa Dar sikilizeni πŸ‘‡

Ukitaka NYUMBA YA BURE - wa kukupa yupo βœ…
Cha kukufanya - kipo βœ… 
Na MAFUTA - yapo βœ…

Ukitaka POMBE ZA BURE- wa kukupa yupo βœ…
Cha kukufanya - kipo βœ…
Na MAFUTA - yapo βœ…

SASA MBONA HAMKUBALI KUPUSH β€œMTOTO WA MUNGU” ??? πŸ˜‚

#TeamOscar Anatuangusha kabisa πŸ’€
Angalia Ep 5 hapa πŸ‘‡
https://youtu.be/thcdpdozJUg?si=rbzPb23xANpvxbnf

@oscaroscarjr @aznas_music @aznas_media @aznas_link

#AZNAS40Bars #Episode5 #MtotoWaMungu #MzeeWaKaliua 
BongoFlava RapTz VijanaWaMungu UtaniWenyeUkweli taken in aznas_printing by @aznas_foundation
500
3 months ago
Download
From Boardroom to Dubai 🌍 
From Hustle mode to Love mode ❀️

Kichwa kimepata kupumzika. Tunarejea tukipambana zaidi πŸ’ͺ

Business Inquiries πŸ‘‡ 
@aznas_printing | @aznas_link | @aznas_music | @aznas_awards by @aznas_foundation
16
3 months ago
Download
Asanteni sana @falcon_animal_feeds_ltd  kwa kufanya kazi nasi, tunafurahia kazi yenu nzuri mnayofanya β€œπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯JE UNAHITAJI KUAGIZA MIZIGO CHINA? πŸ‡¨πŸ‡³
@aznas_link β€œConnecting Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ & China πŸ‡¨πŸ‡³ | Sourcing & Investment Partners”

JE UNAHITAJI kuagiza kutoka CHINA? πŸ‡¨πŸ‡³ Tusikupe presha! 😊 Aznas Link inakusaidia kuagiza:
Machine | Materials | Bidhaa zote
Bei ya wholesale + Ufuatiliaji hadi mlangoni

Tupo: Mikocheni A, DSM
WhatsApp: +25576100xxxx (tuma namba yako)

Tuma β€œAGIZA” sasa tukusaidie πŸ‘‡
@aznas_link tupo kwa ajili yako!
Tanakusaidia kuagiza na kufanikisha ndoto yako β€” popote ulipo nchini Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Pia tunatoa huduma za:
Embroidery | Printing | Branding | Engraving | Audio & Video Production

πŸ“Tupata Mikocheni A, Dar es Salaam
πŸ“© DM @aznas_link au tuma ujumbe sasa!

#AznaSLink #BiasharaNaChina #PrintingDar #BrandingTZ #EmbroideryTZ

Contact us:
πŸ“§ Email: ceo@aznas.co.tz
πŸ“Έ Instagram: @azmamponda | @aznas_printing @aznas_music @aznas_media
πŸ“ž Office: +255622037937
πŸ“± CEO: +255761003003 by @aznas_foundation
12
3 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up