Instagram story viewer> @aznas_foundation> Tagged
970
followers
6
following
Connecting Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ & China ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ | Sourcing & Investment Partners | Helping you buy from China & Chinese investors find opportunities in Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
POSTS STORIES REELS TAGGED
Mr Ceo @aznas_link  @aznas_printing  @aznas_media  A.k.a The african Ambassador
@suti_fashion
11
WEEK HII NI YA KING OF THE STREETS @boshoo_ze_son ๐Ÿ‘‘๐Ÿ‘‘๐Ÿ‘‘ 
Au Unaweza muita KOROGWE FINEST ๐Ÿ”ฅ

AMEINGIA EPISODE 9: โ€œKITU NA BOXโ€ 
Chini ya @aznas_music | NUMBER ONE BONGO HIP HOP LABEL

Watu wangu, leo tunaingia na NGUVU YA MITAANI.
Huyu hapa ni SAUTI YA MITAANI - @boshoo_ze_son ni moja ya waandishi bora kabisa kwenye kizazi hiki na ni Mtoa Ujumbe mzuri ๐Ÿ”ฅ

Anaiwakilisha Hip Hop halisi kutoka chini mpaka juu.
Kama bado una RAPPER wako namba 1 Kwenye kizazi hiki basi mlete wapimane ubavu na mwamba huyu. 
Kwa boshoo ninaweza kuweka dau kwa wale wazee wa kubeti ๐Ÿ˜ค

Leo tunampa JUKWAA lake.
Kwa sababu *HII NI #REALHIPHOPTZ* โœŠ

*WIKI HII NI YAKE* ๐Ÿ’ช
*TUMSUPPORT: SHARE VIDEO HII. ENEZA KILA MAHALI.*
https://youtu.be/XXyDTIFr1dI?si=WyFbIjTBisLAGIwQ

Angalia Full Video YouTube ๐Ÿ‘† Link Bio

Audio: @mandvdg
Video: @kento_dz
Studio: @aznas_music
Powered by: @aznas_printing @aznas_link @aznas_media
@azmamponda

#AZNAS40Bars #Episode9 #Boshoo #KituNaBox KorogweFinest BongoFlava RapTz TanzaniaMusic SupportTzArtists VijanaWaMungu
16
@nyumbumjanjatz AJALI ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช 

TUMEPOTEZA WENGI SANA... 

Kila siku tunasikia habari za ndugu zetu, marafiki na jamaa zetu wamepoteza maisha kwenye ajali za Boda Boda na magari ya moto. 
Inaumiza moyo ๐Ÿ’”

Kama una ndugu, rafiki au jamaa anayeendesha Boda Boda au pikipiki yoyote... 
UJUMBE HUU NI KWA AJILI YAKE. 

Baada ya @nikkimbishi999, @azmamponda, @blackqueen_tz, @cado_kitengo na @oscaroscarjr...
SASA NI ZAMU YA MTU AMBAYE ANAZUNGUMZA KWA VITENDO ๐Ÿ‘‡

**@nyumbumjanjatz** ๐Ÿค @polisi.tanzania
Amekuwa mstari wa mbele kuhamasisha usalama barabarani na kutoa elimu kwa jamii yetu. 
Tunaamini mamlaka zitaona mchango wake mkubwa huu.

Nawashukuru kwa kazi nzuri: 
@latra_tz @zartsa_zanzibar @zatra @trafiki @zimamototanzania @tira.tz @osha_tanzania_official @wizara_elimutanzania @wizara_afyatz @maendeleoyajamii @wizara_ya_vijana_na_uwezeshaji

**THIS WEEK IS FOR @nyumbumjanjatz ๐Ÿ’ช** 
TUMSUPPORT. TUMSHARE. UJUMBE UFIKI MBALI.

Tazama Video Kamili ya โ€œAJALIโ€ - AZNAS 40 BARS EPISODE 5 hapa ๐Ÿ‘‡
https://youtu.be/mgQgpnbCiq0

โ€”
**CREDITS**
Audio: @mandvdg 
Video: @kento_dz

**FOR BUSINESS & BRANDING**
@aznas_printing | @aznas_link | @aznas_music 
@aznas_awards | @aznas_media

#AZNAS40Bars #Episode5 #AJALI #nyumbumjanja #AznasMusic BongoFlava RapTz VijanaWaMungu UtaniWenyeUkweli RoadSafetyTZ BodaBodaSafety
15
AJALI ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช 

TUMEPOTEZA WENGI SANA... 

Kila siku tunasikia habari za ndugu zetu, marafiki na jamaa zetu wamepoteza maisha kwenye ajali za Boda Boda na magari ya moto. 
Inaumiza moyo ๐Ÿ’”

Kama una ndugu, rafiki au jamaa anayeendesha Boda Boda au pikipiki yoyote... 
UJUMBE HUU NI KWA AJILI YAKE. 

Baada ya @nikkimbishi999, @azmamponda, @blackqueen_tz, @cado_kitengo na @oscaroscarjr...
SASA NI ZAMU YA MTU AMBAYE ANAZUNGUMZA KWA VITENDO ๐Ÿ‘‡

**@nyumbumjanjatz** ๐Ÿค @polisi.tanzania
Amekuwa mstari wa mbele kuhamasisha usalama barabarani na kutoa elimu kwa jamii yetu. 
Tunaamini mamlaka zitaona mchango wake mkubwa huu.

Nawashukuru kwa kazi nzuri: 
@latra_tz @zartsa_zanzibar @zatra @trafiki @zimamototanzania @tira.tz @osha_tanzania_official @wizara_elimutanzania @wizara_afyatz @maendeleoyajamii @wizara_ya_vijana_na_uwezeshaji

**THIS WEEK IS FOR @nyumbumjanjatz ๐Ÿ’ช** 
TUMSUPPORT. TUMSHARE. UJUMBE UFIKI MBALI.

Tazama Video Kamili ya "AJALI" - AZNAS 40 BARS EPISODE 5 hapa ๐Ÿ‘‡
https://youtu.be/mgQgpnbCiq0

---
**CREDITS**
Audio: @mandvdg 
Video: @kento_dz

**FOR BUSINESS & BRANDING**
@aznas_printing | @aznas_link | @aznas_music 
@aznas_awards | @aznas_media

#AZNAS40Bars #Episode5 #AJALI #nyumbumjanja #AznasMusic BongoFlava RapTz VijanaWaMungu UtaniWenyeUkweli RoadSafetyTZ BodaBodaSafety
217
@aznas_printing @aznas_music @aznas_link 
HII NI WEEK YA @oscaroscarjr ๐Ÿ˜ค๐Ÿ”ฅ
MZEE ANAKIMBIZA MBAYA... ZINGINE ZIMA ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’€

Najua wazee wa kutaka:
๐Ÿš— Gari za bure
๐Ÿ  Nyumba za bure 
๐Ÿป Pombe za bure

Lazima waone kama jamaa kazingua kweli ๐Ÿ˜‚
Wanaume wakweli tunamuelewa. TUNAPUSH! ๐Ÿ’ช

NB: Mkitaka BEAT ZA BURE pia @mandvdg yupo ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

#TeamOscar Anatuangusha kabisa
Angalia โ€œMTOTO WA MUNGUโ€ Ep 5 hapa ๐Ÿ‘‡
https://youtu.be/thcdpdozJUg?si=rbzPb23xANpvxbnf

@oscaroscarjr @aznas_music @aznas_media @aznas_link

#AZNAS40Bars #Episode5 #MtotoWaMungu #MzeeWaKaliua 
BongoFlava RapTz VijanaWaMungu UtaniWenyeUkweli
58
@therealjongwe MBEYA TUNAONGEEA ๐Ÿ˜ค

MBEYA kuna TALENT nyingi sana. Hakika!
Lakini wasanii wenzangu wa Green city TUBADILIKE.

Siyo kila siku kukaa nyumbani ๐Ÿ˜€
Industry inataka VITENDO, inataka FIGHTING SPIRIT

Nimejaribu kuwaleta vijana 3... mkianza hatua moja tu wanasema โ€œNinataka kurudi nyumbaniโ€ 

Kama unataka mafanikio toka nje ya confort zone, Kama unataka watu wakusikie, JITOE.

BAADHI YA WASANII WA MBEYA @jadah_makanta @mbeyaboy_chuma  @dizastavina  @shaulinsenetamwanazuoni  @makantatz  kuna vijana wengi sana hapo, @kinasawazi_mbeya  kuna vijana wengi hapo, kuna Cypher moja ya presenter wa Ilasifm ina vijana noma sana 

Nani mwingine yuko tayari kutoka comfort zone? 
Comment โ€œNIKO TAYARIโ€ ๐Ÿ‘‡
Tuondoke na @aznas_music  @aznas_printing  @aznas_link  @aznas_awards 

NIWEKEE LIST YA WASANII WAKALI WA MBEYA, @izzo_bizness_mbeya 

#AZNAS40Bars #MbeyaToTheWorld #FightingSpirit #BongoFlava
47
back to up