Instagram story viewer> @bekamipango> Posts
50.9K
followers
430
following
Head of Projects and Business Development @wasafifm @wasafitv
Projects and marketing expert
[email protected]
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
UNAPO WABARIKI WENGINE NIKUMBUKE NA MIMI.

ASANTE SANA MUNGU🙏🙏
#mipangoyabekamipango 
#shitshappens by @bekamipango
43
6 days ago
Download
Happy Birthday Master .

Happy birthday Mentor.

Happy birthday Big boss.

Happy birthday Partner.

Bahati mbaya nimeshamaliza maneno yote mazuri juu yako dhidi ya mafanikio yangu.

Umenitengeneza na kunijenga kwa nguvu na akili zako zote bila kujali maneno ya watu.(Much respect Kaka)

Uliniamini kwa kiwango cha juu kipindi ambacho Hakuna aliyekua na imani na Mimi juu ya uwezo wangu wa kazi.(Thank you so much Big Man)

Nilipo kuja Wasafi Kama freelancer hakuna aliyenikubali wala kunielewa zaidi yako. Ulinipa sikio ulinipa ushirikiano, ulinipa moyo na kuna wakati ilikulazimu ukutane na Mimi kwa Siri ili kuepusha vita nilizokua nakutana nazo.(Good bless you bro)

Licha ya kunipa nafasi kubwa sana kwenye taasisi zote za wasafi lakini umekua mwekezaji mkubwa kwenye biashara  na project zangu zingine.(Much respect Big boss)

Nje tu ya kua mwekezaji kwenye project na biashara zangu zingine Ila umeniamini hadi kua partner wako kwenye baadhi ya biashara.(Good bless you My brother)

Leo hii Hakuna jambo lolote ninalo lifanya lisilo kua na mchango wako. Asante kwa kunichongea barabara Mimi na vijana wengine wengi . Mungu akubariki sana 

ZAWADI YANGU KWAKO NI KUKUHESHIMISHA KWA KIWANGO CHA JUU SANA. ENJOY YOUR DAY BOSS @diamondplatnumz by @bekamipango
59
14 days ago
Download
Siku zote Maisha ni Leo , Jana ni Shule , Kesho yetu ni fumbo Kali sana na Unyeyekevu ndiyo nyenzo muhimu.

Jana ni shule kwasababu kila maumivu, kila mafanikio yalikuwa somo. Tusiyalilie, tuyasome.

Leo ni maisha kwasababu ndio nafasi pekee tuliyonayo ya kupenda, kusamehe, kufanya kazi, kucheka. Kesho haijaja na jana haipo.

Kesho ni fumbo kwakua hatujui tutaamka salama, hatujui milango itafunguka lini. Ndio maana kutamani bila kumshukuru Mungu kwa leo ni kujidanganya.

Tulipo leo, kuna watu walikuepo jana na hawapo tena. Na tunapotamani kufika kesho, kuna watu wapo hapo tayari na wangetamani kurudi leo yetu.

Unyenyekevu si kujishusha, ni kukumbuka kuwa kila hatua uliyopiga, kuna mtu alikubebea, na kila kilele ulichofika, kuna mtu alikupisha.

KADRI UNAVYO ZIDI KUPANDA JUU NDIVYO UNAVYOTAKIWA KUINAMA CHINI. BE HUMBLE 
#mipangoyabekamipango 
#ukurasampya by @bekamipango
15
15 days ago
Download
Asanteni sana wote kwa pongezi na salamu za kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Wapo ambao inawezekana sijaweza kujibu DM au Comments zenu Naomba mnisamehe sana🙏 Mambo yalikua mengi sana.

Upendo niliokutana nao kupitia jumbe mbalimbali kwenye Whatsp na Dm umenifanya nigundue Kwamba Mimi ni mtu wa aina gani? Asanteni sana.

Mnisamehe wote mlionialika kwenye matukio muhimu kwaajili yangu lakini nikashindwa kuja kwasababu tulikua na tukio muhimu zaidi siku ya jumapili pale Superdome. Nashukuru wote mmenielewa🙏.

Asante sana Mke wangu na familia yangu kwa zawadi nzuri mlizonipatia🙏😍.

UKURUSA MPYA. by @bekamipango
41
16 days ago
Download
HAPPY BIRTHDAY TO ME.  Asante sana Mungu kwa upendeleo wako kwenye maisha yangu. ILA ;

Eeh! Mungu Baba si Kwamba nateseka au Nina wivu na Baraka za wengine hapana Nipo Sawa.

Eeh! Baba siyo Kwamba Nina kukumbusha Kwamba labda umenisahau hapana Najua unanijua kwa jina na unaona yote nayo yapambania.

Umenibariki kwenye mengi yasiyo hesabika, Ila Baba Naomba unikumbuke katika hii ndoto yangu kwenye hiyo picha hapo juu.

Leo ikiwa ni kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa nimeanza safari ya kupambania ndoto yangu ambayo kiuhalisia ni ngumu kutimia Ila kwakua wewe upo naamini itawezekana. Haijalishi itachukua miaka 10 au 20 Ila Naomba Unikumbuke katika hili Mungu wangu , Baba nakungoja.

Nimeishi kichwani kwangu na hiyo picha kwa miaka zaidi ya 30 kutokana na hasira na machungu ya sehemu niliyokua naishi.

Nimeishi na hiyo design kwenye laptop yangu kwa miaka 10 nikisubiri siku ya kwenda kuanza kuifanya ikawe kweli.

Leo hii nimeanza safari ya kwenda kuifanya ikawe kweli . Baba Nakuomba unikumbuke Sina Mwingine wa kumtegemea zaidi yako na kibinadamu ni ngumu kufanikisha hili jambo Ila kwakua wewe upo naamini itawezekana. 

Leo siwezi kusherehekea siku hii muhimu kwangu Ila itaenda kua siku maalumu ya maombi juu ya hii safari ya kutimiza hii ndoto. BABA NAOMBA UNIKUMBUKE🙏

HAPPY BIRTHDAY BEKAMIPANGO 🎂
#unikumbukenamimi 
#babanakungoja
#mipangoyabekamipango by @bekamipango
241
19 days ago
Download
Unaondoa maumivu, unaondoa aibu,
Unajaza upweke wangu, na kuniita kwa jina langu.

Katika wakati niliokuwa nimechoka,
Wakati nilihisi nimebaki peke yangu,
Wewe uliniona.

Ulikuja ukaondoa machozi yangu,
Ukaondoa aibu yangu, ukanipa jina jipya.
Leo si yule wa jana,
Kwa sababu upendo wako umenibadilisha.

Sina cha kukulipa Mungu wangu,
Ila moyo wangu wote ni wako. 🤍
#MunguMwema 
#birthdayloading🎂 
#mipangoyabekamipango by @bekamipango
25
a month ago
Download
Kumtegemea Mungu siyo kumaanisha hakutakua na majaribu dhidi yako.
Ni kumaanisha hata kwenye jaribu upo na mshindi upande wako.

Kwahiyo Usiogope majaribu Kama mshindi wa vita yupo upande wako basi tayari ushindi ni wako.
#mipangoyabekamipango by @bekamipango
41
a month ago
Download
Mh. Rais pole sana.

Wakati huu mgumu unatukumbusha kuwa sisi ni Watanzania - Taifa moja, watu wa damu moja.
Tunaamini chini ya uongozi wako, kwa msaada wa Mungu, tutapita hili na tutasimama imara zaidi.
Mungu akujalie ujasiri na hekima. Tuko pamoja nawe katika kipindi hiki kigumu kwako na familia.

MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿 by @bekamipango
17
a month ago
Download
Recharged , Refocused, Ready to conquer.

BACK TO WORK.
#mipangoyabekamipango by @bekamipango
57
a month ago
Download
WANANGU WA RUJEWA USANGU IGARAKO, MBEYA SONGWE TUKUYU MASOKO, YANKURUTITII NDIKO NITOKAKO.

MBEYA CITY SATND UP🔥.
#mipangoyabekamipango by @bekamipango
52
2 months ago
Download
Maisha ni hatua. 
Usiwe na haraka ya kupanda ngazi zote kwa mara moja.
Panda moja moja na Jifunze kwenye kila hatua. 
Ukianguka Inuka na endelea mbele haijalishi una maumivu gani? 
Siku zote LISILO KUUA LINA KUFUNZA TU.
#mipangoyabekamipango by @bekamipango
67
2 months ago
Download
Uncle umetulaza na Viatu wiki nzima 😂😂😂 na bado nikiangalia kalenda yako ya matukio ndiyo nachoka kabisaa🤣🤣.

Hongereni sana @diamondplatnumz  na @officialzuchu kwa hii baraka kubwa mliyo zawadiwa na Mungu.
#mipangoyabekamipango by @bekamipango
40
2 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up