Instagram story viewer> @bongorecordsltd> Posts
10.5K
followers
32
following
Welcome To Our World🌍
POSTS STORIES REELS TAGGED
Je mnadhani kama akiteuliwa kuwa MKUU WA WILAYA @millardayo atakubali? Haya twendeni YouTube channel ya Bongo Records Limited tayari tumewawekea kipindi cha The Legend show tukiwa na huyu mwanahabari nguli Afrika Mashariki. Link kwenye bio yangu

Tunadhaminiwa na @tanzanite_premium_vodka 

Cc;@majani187 @davidmulokozi @thelegendshow_tz @bongorecordsltd @matisuperbrandsltd 

#bongorecords 
#legends taken in Masaki by @bongorecordsltd
7
2 years ago
Download
Hivi kwanini watu wengi wakisikia jambo au habari huwa hawaamini mpaka waende kwenye page ya @millardayo ? Kwanini anaaminika hivi? Unajua kwa miaka mingapi amejitafuta mpaka kujipata? Kwanini hajawahi kufanya kazi kwenye vyombo vya habari vya kimataifa moja kwa moja? Usikose kipindi cha The Legend show Ijumaa hii 

Ikifika saa kumi jioni kuwa wa kwanza kuangalia kipindi cha The Legend show kupitia YouTube channel ya Bongo Records na tafadhali subscribe uone vipindi vilivyopita 

Tunadhaminiwa na @tanzanite_premium_vodka 

Cc;@majani187 @davidmulokozi @thelegendshow_tz @bongorecordsltd

#bongorecords 
#Legends taken in Mjini by @bongorecordsltd
16
2 years ago
Download
Good morning Africa, hello world... Niko na Bilionea @davidmulokozi licha ya kuwa mmiliki wa Mati Group of companies lakini mwaka jana alianzisha taasisi kwa ajili ya kurejesha kwa jamii, na hata kabla ya taasisi hiyo ameishasomesha vijana zaidi ya 50 mpaka ngazi ya vyuo ndani na nje ya Tanzania. 

Unataka kujua mengi kuhusu bilionea huyu? Subscribe kabisa YouTube channel ya Bongo Records Limited saa kumi tutakuwekea kipindi cha The Legend show nikiwa nae.

Tunadhaminiwa na @tanzanite_premium_vodka 

Cc;@majani187 @bongorecordsltd @thelegendshow_tz @matisuperbrandsltd 

#Legends 
#bongorecords 
#mulokozi taken in Masaki by @bongorecordsltd
4
2 years ago
Download
Safari ya biashara na uwekezaji ya bilionea @davidmulokozi haikuwa rahisi ila alipambana bila kelele mpaka kufika alipofika leo. Angeweza kuwekeza kokote lakini kwanini alichagua Babati? Ikifika Ijumaa saa kumi jioni kuwa wa kwanza kuangalia kipindi cha The Legend show kupitia YouTube channel ya Bongo Records

Tunadhaminiwa na @tanzanite_premium_vodka 

Cc;@majani187 @davidmulokozi @thelegendshow_tz

#bongorecords 
#Legends by @bongorecordsltd
12
2 years ago
Download
Msikilize vizuri @mkandamizaji kisha, subscribe YouTube channel ya @bongorecordsltd kuona kipindi cha THE LEGEND SHOW 

Episode ya nne nikiwa na mama @zainabansell Mkurugenzi Mtendaji na mwanzilishi wa @zaratanzaniaadventures tayari iko youtube na link iko kwenye bio yangu 

The Legend show tunadhaminiwa na @tanzanite_premium_vodka 

Cc;@majani187 @davidmulokozi @thelegendshow_tz 

#legends 
#bongorecords taken in Dodoma, Tanzania by @bongorecordsltd
3
2 years ago
Download
"Kwahiyo baada ya muda nikataka kuongeza biashara, nikaona kuuza tiketi peke yake sitaweza kufika mbali. Nikaangalia mlima Kilimanjaro, nakunywa hapo kahawa yangu. Nikasema naenda kuuza huu mlima Kilimanjaro, Kilimanjaro lazima niuuze" - @zainabansell Mkurugenzi Mtendaji na mwanzilishi wa @zaratanzaniaadventures 

Ijumaa hii saa kumi kamili jioni utajua mengi kutoka kwa legend huyu wa utalii, subscribe kabisa YouTube channel ya @bongorecordsltd kuona kipindi hiki na vilivyopita. 

The Legend show tunadhaminiwa na @tanzanite_premium_vodka 

Cc;@majani187 @davidmulokozi @thelegendshow_tz 

#legends 
#bongorecords taken in Moshi Kilimanjaro by @bongorecordsltd
12
2 years ago
Download
MNISAMEHE KWA KUCHELEWESHA

Ijumaa ndio hii na tayari nimekuwekea episode ya 3 ya The Legend show na niko na Mzee Matumla. Katikati ya mahojiano nilimuonyesha Mzee Matumla video fupi ya Colorado king @hassanmwakinyojr

 Tunakurudisha mwanzo kabla haijawa leo, vipindi vilivyopita viko YouTube kwenye channel ya @bongorecordsltd na link iko kwenye bio yangu na @thelegendshow_tz usisahau ku-subscribe, share na likes nyingi

Sponsored by @tanzanite_premium_vodka 

Cc;@majani187 @davidmulokozi

The Legend show 

#KunjaSuraKunjuaRoho taken in Mjini by @bongorecordsltd
5
2 years ago
Download
Ijumaa hii kweye THE LEGEND SHOW nitakuwa nikifanya mahojiano na The living legend @majani187
CEO wa @bongorecordsltd na Godfather wa muziki wa Bongo Flava. Kuna mengi ambayo hamjui, kuwa wa kwanza kuona episode ya pili ya The Legend show. Tuendelee kubonyeza link kwenye bio yangu na ya @thelegendshow_tz ili kuona kipindi kilichopita cha The Legend show 

Usisahahu ku-subscribe kabisa YouTube channel ya @bongorecordsltd uwe wa kwanza kuona vipindi vyangu.

Tunadhaminiwa na @matisuperbrandsltd kupitia kinywaji cha @tanzanite_premium_vodka 

Cc;@majani187 @davidmulokozi 

#TheLegends
#Wakongwe
#Tanzania taken in Masaki by @bongorecordsltd
31
2 years ago
Download
Anaitwa RAS OMEGA, Mtanzania mwenye asili ya Zimbabwe. Ametajwa sana kwenye ngoma za @johmakinitz na wengineo. Kipindi cha kwanza kabisa cha THE LEGEND TV SHOW @thelegendshow_tz kesho Ijumaa saa kumi kinataonyesha mahojiano niliyofanya nae.

Subscribe kabisa YouTube channel ya @bongorecordsltd uwe wa kwanza kuona vipindi hivi.

Tunadhaminiwa na @matisuperbrandsltd kupitia kinywaji cha @tanzanite_premium_vodka 

Cc;@majani187 @davidmulokozi 

#TheLegends
#Wakongwe
#Tanzania taken in Babati, Manyara by @bongorecordsltd
16
2 years ago
Download
TANGAZO MAALUM KWA WATU WANGU

Najua wengi mnanifahamu zaidi upande wa muziki maana ndio nilianza nao, kuna huu upande mwingine wa UTANGAZAJI ambapo nimekuwa kwenye media tofauti kwa miaka 24 sasa...

Nimekuwa nikianzisha vipindi tofauti tofauti na kujikita zaidi kwenye usimamizi na ubunifu na sasa niko tayari kuwaletea THE LEGEND TV SHOW ambayo itakuwa ikionekana kila Ijumaa kwenye YOUTUBE channel ya Bongo Records 

Kaa tayari kuona mahojiano yangu na wakongwe mbalimbali kutoka kila sekta na TUNAANZA IJUMAA HII.

Shukran kwa @matisuperbrandsltd kwa kuamini uwezo wangu na kupitia kinywaji cha @tanzanite_premium_vodka hakika watazamaji watapata vipindi vizuri sana...

Nenda YouTube subscribe kabisa Bongo Records maana Ijumaa sio mbali

@thelegendshow_tz ya @bongorecordsltd ni utamu mwingine unaokuja.

Cc;@majani187 taken in Arusha, Tanzania by @bongorecordsltd
4
2 years ago
Download
LEGENDS TOUR Babati highlights 

Cc;@matisuperbrandsltd
@bongorecordsltd
@strongdrygin 

#LegendsTour
#StrongDryGin
#HiiNdioYetu by @bongorecordsltd
11
2 years ago
Download
Mara nyingi unaowachukia wakishangiliwa,maumivu yake ni makubwa kuliko kifo cha kamba ....

We great-full to @matisuperbrandsltd  @bongorecordsltd 

#samiatunaondokanae

@samia_suluhu_hassan @davidmulokozi @nchimbie 
@jokatemwegelo @mohamed_mchengerwa 

👏🏿 @rich_onee 🎤 @soggydoggyanter taken in Babati, Manyara by @bongorecordsltd
0
2 years ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up