Instagram story viewer> @chungu2249> Posts
27
posts
37
followers
68
following
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
"Wacha inyeshe tujue wapi panapovuja..." Na hapa pamevuja haswa! Siasa za CHADEMA ya sasa zimejaa ubadhirifu na kelele, huku misingi ya nidhamu waliyoiacha enzi za Mbowe ikiwa imezikwa rasmi na akina Heche@heche by @chungu2249
0
15 days ago
Download
Mchana mnatupia suti na kukanusha kwa nguvu zote, usiku mnaingia "Chakula cha Usiku" kuratibu machafuko! 🎭 CHADEMA na "wanaharakati" wenu, mbona sasa sauti za kwenye mitandao na hotuba zenu za majukwaani hazioani? Mbinu za kizamani hizi, nchi haiendeshwi kwa ramli za mitandaoni. by @chungu2249
1
a month ago
Download
UJASIRIAMALI WA KISIASA!WANANCHI WAMECHOKA KUJAZA MATANGAZO YA "TONE TONE" ILI VIONGOZI WAPATE MAGARI YA KIFAHARI HUKU CHAMA KIKIBAKI NYUMA. UTAPELI HUU UMEFIKA MWISHO!@john_heche2025 @mariasarungi @godbless_lema by @chungu2249
1
a month ago
Download
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania *Mhe. Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN* akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026. by @chungu2249
0
2 months ago
Download
TAZAMA TABIA ZA VIONGOZI WA CHADEMA ZINAHARIBU MAADILI YA KITANZANIA.#KataaWahaini#ChamaChaVikoba by @chungu2249
0
3 months ago
Download
Tusikubali kuongozwa na hawa chadema @chadematzofficial by @chungu2249
0
3 months ago
Download
SIKILIZA VIDEO👆🏿HECHE NA MARIA SARUNGI NI WATU WA DILI WATUMIA KESI YA LISU KUJINUFAISHA WAO.#KataaWahaini#TanzaniaNiSalama by @chungu2249
0
3 months ago
Download
Mapenzi Motomoto kati ya Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu na Kondoo wake Hilda Newton kama walivyonaswa na paparazi wetu, Mchungaji anakula kondoo wake by @chungu2249
0
3 months ago
Download
Angalia jinsi chadema wlaivyowapiga askari @chadematzofficial @hechejohn by @chungu2249
0
3 months ago
Download
*ODERO AMVAA LEMA, WANAHARAKATI: “MSIHUJUMU MARIDHIANO YA TAIFA”*- Asema mashambulizi kwa wakili wa Tundu Lissu na kupinga mazungumzo ni dalili ya siasa za migawanyikoNa Mwandishi WetuMwanachama wa CHADEMA Odero Charles Odero ameibuka na kuwakosoa vikali Godbless Lema pamoja na baadhi ya wanaharakati akiwatuhumu kuhujumu juhudi za maridhiano ya kitaifa yanayolenga kurejesha amani, haki na mshikamano nchini.Odero ambaye aliwahi kugombea uenyekiti wa chama hicho katika uchaguzi uliowashindanisha na Tundu Lissu na Freeman Mbowe, alisema kinachoendelea ndani na nje ya chama kinaashiria mgawanyiko unaoweza kudhoofisha juhudi za kisiasa na mustakabali wa taifa.*AKEMEA MASHAMBULIZI KWA WAKILI WA LISSU*Katika tamko lake, Odero alilaani mashambulizi dhidi ya Wakili Paul Kisabo, akidai baadhi ya makada wa CHADEMA na wanaharakati wamekuwa wakimshambulia kutokana na msimamo wake katika mchakato wa mazungumzo.Alisema hatua hiyo si tu haikubaliki bali inaonesha ukosefu wa nidhamu ya kisiasa na kuhatarisha mafanikio ya maridhiano.*“MAZUNGUMZO SI YA MTU MMOJA”*Odero alisisitiza kuwa mazungumzo ya maridhiano hayawezi kuangaliwa kwa jicho la mtu au kundi fulani, bali ni mchakato mpana wa kitaifa unaohitaji uvumilivu na mshikamano.“Haya si mazungumzo ya mtu mmoja au chama kimoja, ni kwa mustakabali wa nchi nzima,” alieleza.Aliongeza kuwa Tundu Lissu ameonesha ujasiri wa kisiasa kwa kuweka mbele maslahi ya taifa kuliko misimamo mikali ya kisiasa.*AONYA SIASA ZA HOFU NA MIGAWANYIKO*Kwa mujibu wa Odero, wanaopinga juhudi za maridhiano bila hoja za msingi wanachochea siasa za hofu na mivutano badala ya kujenga matumaini kwa wananchi.Alisema mwenendo huo unaweza kuendeleza machafuko ya kisiasa na kuchelewesha kupatikana kwa suluhisho la kudumu la kitaifa.*AITAKA CHADEMA IJITENGA NA WANAHARAKATI*Katika hatua nyingine, Odero alipendekeza CHADEMA ijitenganishe wazi na wanaharakati wa nje, akisema kuna hatari ya taasisi ya kisiasa kupoteza mwelekeo wake inapovamiwa na ajenda za activism.“Si sahihi activists kuingia kwenye taasisi ya kisiasa na kuiteka, chama lazima kijikite kwenye siasa zake,” alisisitiza.*KIPAUMBELE: UHURU WA LISSU*Odero alielekeza by @chungu2249
0
3 months ago
Download
HAWA NI WACHOCHEZI NA NI WATU WANAOTAKA TAIFA KETU LIWE NA TASWIRA MBAYA TUNAPASWA KUWAKATAAA HAWANA NIA NJEMA NA TAIFA HILI.HILI GENGE HUTUMIKA NA MATAIFA MBALIMBALI KUTENGENEZA CHUKI DHIDI YA WATANZANIA NA SERIKALI YAO HAWAFAI #KATAAWAHUNI@sativa_256tz @mariasarungi watagini hawa watu wajue baadhi ya watanzania wanaona hawa ni msaada kwao lakini hawa ndo chanzo cha machafuko kwa sababu ya mambo yao binafsi (MASLAHI) by @chungu2249
0
3 months ago
Download
*VITA YA KUTOKUAMINIANA YAENDELEA KUWAVURUGA CHADEMA WASHTAKIANA KWA WAFADHILI WAO.*Barua hii inaweka bayana taswira ya siasa za malumbano ya ndani, siasa za kuhasimiana kwa makundi, na siasa za kushindana kwa nafasi badala ya kushindana kwa hoja. Badala ya kuja na ajenda mbadala ya uchumi, mageuzi ya sera, au dira ya kitaifa, kinachoonekana ni siasa za mashaka, tuhuma, na kuombana uthibitisho kwa wahisani wa nje.Huu ni uthibitisho kwamba ndani yao kuna mgogoro wa mamlaka, mgogoro wa uhalali, na mgogoro wa kuaminiana. Chama kinachoshindwa kusimamia taratibu zake za ndani, kinachoshindwa kujenga umoja wa kiuongozi, kinawezaje kusimamia dola? Uongozi wa taifa si majaribio ya maabara; unahitaji uthabiti, nidhamu ya taasisi, na mwelekeo mmoja wa kimkakati.Siasa za kweli ni ushindani wa maono si mashindano ya nani ana barua kali zaidi dhidi ya mwenzake. Wananchi wanahitaji mbadala wa sera, si maigizo ya migogoro ya ndani. Wanahitaji hoja za kupambana na changamoto za wananchi, ajira kwa vijana, uwekezaji, na ustawi wa jamii si drama za kuomba wahisani wafanye uchunguzi dhidi ya wenzao.Hii ni dalili ya upinzani uliokosa dira ya pamoja. Ni siasa za taharuki badala ya siasa za mkakati. Ni siasa za kushambuliana badala ya siasa za kujenga hoja. Taasisi yoyote inayotaka kupewa dhamana ya kuongoza nchi lazima kwanza ionyeshe uwezo wa kujiongoza yenyewe kwa umoja na uwajibikaji.Wananchi hawadanganyiki. Wanaona tofauti kati ya siasa za hoja na siasa za misuguano. Wanaelewa tofauti kati ya chama kinachojenga taasisi na chama kinachopambana na kivuli chake chenyewe. Wakati Mwenezi wa CCM akipita shina kwa shina kuimalisha chama huku wapinzani wanaendelea kutafunana wenyewe kwa wenyewe.Mwisho wa yote, uhalali wa kisiasa haujengwi kwa barua za kulalamika nje ya nchi. unajengwa kwa imani ya wananchi, mshikamano wa ndani, na sera zinazotekelezeka. Bila hayo, kelele za kisiasa hubaki kuwa kelele tu zisizo na nguvu ya kubadilisha taifa na wananchi wazalendo watazipuuza. by @chungu2249
0
5 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up