Instagram story viewer> @desmile_tz> Posts
6.1K
followers
173
following
🎤 Desmile TZ
⚡ Singeli | Bongo Flava | Afro-pop 🇹🇿
📞 +255678262926
📩 Email: [email protected]
👇 Watch Kucheza Unajua Link⬇️️
POSTS STORIES REELS TAGGED
Wanasema milango mingine haifunguki kwa nguvu, bali inafunguliwa na watu waliotumwa na Mungu kwenye safari yako.

Dada yangu @officialzuchu , ahsante kwa kunifungulia mlango huu mkubwa. Msaada wako, imani yako, na nafasi uliyonipa kwenye #KUCHEZAUNAJUA  ni kitu ambacho kimeandikwa kwa wino usiofutika kwenye historia ya muziki wa DeSmile. 🙏❤️

Inachukua roho ya kipekee sana kwa msanii mkubwa kama wewe @officialzuchu kuusikia muziki kutoka mtaani na kuamua kuupa thamani ya kimataifa. Ahsante sana Zuchu kwa upendo huu, energy yako kwenye ‘Kucheza Unajua’ imefanya wimbo huu kuwa kitu cha kipekee mno kwangu na kwa mashabiki.

Kwa Kaka angu @matua_tz (CEO @afro.mob ), ahsante kwa kuwa chanzo cha mwangaza huu. Bila mchango na upendo wako, story hii isingekuwa na mwanzo huu wa dhahabu.

Project mpya ipo hewani rasmi kuanzia LEO! Link ipo kwenye bio. Nenda kaitazame sasa hivi! 🎬

#desmiletz #kuchezaunajua #zuchu #matuatz taken in Dar es Salaam, Tanzania by @desmile_tz
66
19 days ago
Download
CHECHEIIIIIIIIIII 

jamani eeeh hii Ni rapsha rapsha mvua enyewe inakuja Aya tustukue kabla ya Kupata chakula 😎 #KUCHEZAUNAJUA ndo swali

Tuondokee @matua_tz @desmile_tz by @desmile_tz
3k
19 days ago
Download
Inatupasa kuanza kwa shukrani. Leo nina hisia kali sana moyoni mwangu nikitazama hatua hii kubwa. Huu ni mwanzo rasmi wa safari yangu ya muziki, ndoto ambayo nimeipigania kwa muda mrefu sana. 🥺🎶
Upendo, heshima na shukrani za dhati ziende kwa dada yangu, staa mkubwa @officialzuchu kwa kuniamini, kunishika mkono, na kunipa nafasi hii adhimu kwenye Project hii #KuchezaUnajua. Huu sio msaada tu, ni baraka kubwa kwenye maisha yangu. 🙌❤️

Full Dance Video imeshatoka na ipo YouTube sasa hivi. Naomba mnisindikize kwenye safari hii mpya kwa kwenda kuitazama.

Tafadhali support kijana wenu..
Gusa link kwenye Bio yangu au search YouTube “Zuchu ft DeSmile - Kucheza Unajua”. Tafadhali Subscribe kwenye chaneli, Like video, na uache Comment yako ya baraka. Sapoti yenu ndio nguvu yangu. 🙏🚀

 #desmile #zuchu #kuchezaunajua #wasafi taken in Dar es Salaam, Tanzania by @desmile_tz
129
19 days ago
Download
1 THE BEST IN TOWN 🔥 M W A N Z A M A I D S Tz🇹🇿

Squad @mwanza.maidstz 
@officialzuchu ft @desmile_tz #kuchezaunajuachallenge🚀 
🎥 @hqstudiostz255 by @desmile_tz
8
4 hours ago
Download
@desmile_tz Kutumbuiza Kwenye BATI BORA COMEDY SHOW MWANZA ROCKCITY MALL 13 NOV 2026 @lakezoneconnect 
@batiborakandayaziwa by @desmile_tz
1
4 hours ago
Download
Hii ndio nyimbo bora ya mwaka by @desmile_tz
2
7 hours ago
Download
Hiyo lini hiyooo
#hanssabdallah #mkakamwembamba #dance #music #matua by @desmile_tz
46
8 hours ago
Download
Usipange kukosa by @desmile_tz
1
11 hours ago
Download
FIGHTER IS BACK EP LISTENING PARTY💿 @samakispotmorogoro ⚠️‼️🧲🚨 ITAFANYIKA MOROGORO TAREHE 27/10/2026 USIPANGE KUKOSA SHABIKI ZANGU KWA HESHIMA 🙏🏿🙏🏿🙏🏿. ❕GATE 4K 🧨 by @desmile_tz
7
a day ago
Download
Today class was hot in ARUSHA ❤️join us every Saturday 

In : @arushafinestdanceacademy 
🎵: @officialzuchu @desmile_tz 
Teacher : @tibuduma 
#arusha #kucheza by @desmile_tz
73
2 days ago
Download
Cheza kma umemuona ex 😅❤️
#kuchezaunajua 

💃: @mateoyamy @tibuduma 
 #dance #arusha by @desmile_tz
20
2 days ago
Download
Kucheza Unajua😁🤖

#dance #amj2thegreat #robotdance #animation #explorepage✨ by @desmile_tz
116
2 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up