Instagram story viewer> @desmile_tz> Tagged
POSTS STORIES REELS TAGGED
WE DID IT! 🚀❤️ KUCHEZA UNAJUA  has officially hit 5M VIEWS And Still Trending #1 on YouTube! 🥳💃🏽🕺🏽

This is OUR victory! 🙌🏽🔥 More blessings, more music, and bigger milestones ahead for Our Queen @officialzuchu 👸🏽

5M AND COUNTING! 🚀🔥

#zuchu #kuchezaUnajua #5Mviews #viral
19
Hakuna baraka kubwa kwenye sanaa kama kukubalika na kuungwa mkono na mtaa wako. Hatua ya kurudisha project ya “Kucheza Unajua” mtaani kupitia Dance Class ilikuwa na lengo la kuadhimisha vipaji vyenu, na mmetupatia heshima kubwa sana.

Napenda kuchukua nafasi hii kutoa shukrani za dhati kwa vikundi vyote vya dance, ma-dancer binafsi, na mashabiki wote wa familia ya @afro.mob na @good_people_gang mliofurika uwanja wa Gombelo. 

Shot🎥 @shotbyblvck_ 🙌

Ushirikiano na uwepo wenu pamoja na wa @officialzuchu na @desmile_tz umefanya tukio hili kuwa la kipekee na lenye thamani kubwa.

Mungu awabariki sana kwa upendo huu. Huu ni mwanzo wa mambo makubwa zaidi yanayokuja! 🌍🏆

#kuchezaunajua #DanceKitaani #appreciationpost #matuatz  #zuchu
33
#zanzibardance#afrosingeli#Dancemotion#viralvideos 

🎶 : @officialzuchu & @desmile_tz 

☝️One Day I want to teach the young generation that even when you get old, you can still continue dancing ✨
22
14
✨Tunauza Vitambaa Vya Suit ( JUMLA NA REJAREJA) Na Tunashona Suit Classic🔐✅

📍Duka lipo Mwanza, Mtaa Wa Sukuma

📲 Call / WhatsApp 0759094696
25
back to up