Instagram story viewer> @dingo_creator> Posts
7.6K
followers
986
following
I do drawing | graphic design | videographer | story and Article writer|story content creator | Head of creativity and digital department @dreamfmtz
POSTS STORIES REELS TAGGED
๐Ÿ’”๐Ÿ˜ช Kila Ninayempata ananitoa damu ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ฐ

๐ŸŽถ @vanillahmusic  si mwimbaji wa Bongo Fleva tu, bali pia ni mtunzi wa nyimbo na mbunifu wa sauti anayebadilisha hisia kuwa melodi na maneno kuwa simulizi zinazogusa mioyo. Kupitia kipaji chake, anaendelea kuwakilisha muziki wa Tanzania na kupanua wigo wake kimataifa taken in Mbeya, Tanzania by @dingo_creator
18
9 hours ago
Download
Mbeya TAREHE 30/10  Jambo ni Moja tu ๐Ÿ˜‚
Fanya Uchukue Tiketi yako mapema 

๐ŸŽŸ๏ธ Regular 20K | VIP 30K | V.V.I.P 70K
๐Ÿ‘ฅ Table ya watu 4 โ€” 300K

Tiketi zinapatikana๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ

@Vunjabei ~ (Mwanjelwa)
@icaretechnologytz_backup ~ (kabwe)
@ndiyo_supermarket ~ (Maghorofani)
@mbeyaboy_brand ~ (Soweto) 
@selle_creative ~ Mwanjelewa
@jofuquality ~ soweto 

๐Ÿ“ž 0629845627
๐Ÿ“ธ Instagram: @standupcomedy_mbeya taken in Mbeya, Tanzania by @dingo_creator
1
10 hours ago
Download
Zimesalia Siku chache Sana, Mbeya Itasimama kwa Kicheko @standupcomedy_mbeya ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜‚

Tarehe 30/10

Tukutane Tughimbe Hall Mafyati

๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ™๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜‚ taken in Mbeya, Tanzania by @dingo_creator
1
11 hours ago
Download
Kuna simulizi nyingi za wasanii, lakini si kila simulizi lina uwezo wa kukufanya usimame, ugeuke nyuma na kujiuliza: huyu mtu alifikaje hapa? Kuna wanaoanza na jukwaa kubwa, wengine huanza na majina makubwa, lakini wapo wanaoanza kimya kimya katika mitaa isiyokuwa na taa za umaarufu, wakibeba ndoto ambazo hakuna anayeziona. Hii ni simulizi ya mmoja wao. Kijana aliyekulia katika mazingira ya madrasa, Qurani na Qaswida, lakini ndani yake akabeba dunia nyingine ya maneno, mashairi na ubunifu. Ni simulizi ya Salum Othuman Rashid, ambaye leo tunamfahamu kwa jina moja lenye uzito wake: Nacha.

Na kama kuna sehemu ambayo simulizi hii inapaswa kuanzia, basi ni Nyasubi, Kahama mahali ambapo kabla hajawa Nacha, alikuwa kijana wa kawaida mwenye ndoto zisizo za kawaida. Hapo ndipo maneno yalianza kupata maana mpya kwake; ndipo nyumba ikawa โ€œmbanyo,โ€ na lugha ikaanza kugeuka kuwa uwanja wake wa kuchezea. Lakini nyuma ya ubunifu huo kuna safari yenye milango iliyofunguka kwa bahati, vipaji vilivyogunduliwa kwa wakati, na maamuzi yaliyobadilisha kabisa mwelekeo wa maisha yake.

Basi, acha turudi nyuma kidogoโ€ฆ kabla Nacha hajawa Nacha.

โœ๏ธ @dingo_creator
๐ŸŽ™๏ธ @ell taken in Mbeya, Tanzania by @dingo_creator
20
10 days ago
Download
Fanya Uwahi tiketi yako mapema, ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ™Œ

cc
@standupcomedy_mbeya taken in Mbeya, Tanzania by @dingo_creator
1
13 days ago
Download
hatimaye furaha ya Wanambeya imerudi tena ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kikubwa wahi ticket yako mapema

cc
@standupcomedy_mbeya taken in Mbeya, Tanzania by @dingo_creator
5
13 days ago
Download
Asanteni sana wote mliofanikisha mimi kushinda tuzo ya Checcah Awards 2026 kama Best Graphics Designer โ€“ Mkoa wa Mbeya na Songwe. 

Sio kwamba mm ni bora zaidi, bali ni kwa sababu ya upendo, support na imani yenu kwangu. 

 Tuzo hii si yangu peke yangu; ni ushindi wa kila mmoja aliyewahi kuniamini, kunipa nafasi na kuthamini kazi yangu. ๐Ÿ™๐Ÿ™ 

๐Ÿ“ธ@_dee_photographer
Cc @von_shots

Studio: @freeztake_studio

๐Ÿ“ฝ๏ธ @baba_afrikaa

Outfit @kabmitindo

Cc@checcah_awards taken in Songwe Region by @dingo_creator
68
21 days ago
Download
TBT

BUT THE LAST SLIDE IS THE BEST EVER SEEN BEFORE๐Ÿ™๐Ÿ˜Š

Cc
@heis_elly5 taken in Mbeya, Tanzania by @dingo_creator
30
24 days ago
Download
Hongera sana My big Sis @imani.luvanga ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ’ฏโค๏ธ

๐Ÿ“ธ @kingsfmradio taken in Mbeya, Tanzania by @dingo_creator
3
25 days ago
Download
Hii ya leo si simulizi tu, bali ni maisha yenyewe Siku moja akiwa bado mtoto, Ndele Samba aliona watoto wa jirani wakila chakula huku yeye akiwa hana hata uhakika wa mlo wake. Badala ya kucheza kama watoto wengine, maisha yakampeleka kwenye kubonda kokoto na kusukuma mikokoteni ili kusaidia familia.

Hapo ndipo safari yake ilipoanza safari ya mtoto wa Uyole ya Kati ambaye alijifunza mapema kwamba maisha hayatoi kila kitu bure. Alilala njaa, akafanya kazi akiwa mdogo na baadaye akabeba majukumu makubwa ya familia, lakini katikati ya yote hayo kulikuwa na kitu kimoja hakukiacha: ndoto ya siku moja kuwa mtu mkubwa. Hii ndiyo hadithi ya Ndele Samba Twende Tusikilize kwa pamoja mpaka Mwisho

๐ŸŽ™๏ธ @heis_elly5
โœ๏ธ @dingo_creator taken in Mbeya, Tanzania by @dingo_creator
32
a month ago
Download
Jivunie Nyumbani. Vaa Fahari Yako hii ni chapa ya Mtoto wa Mbeya, kutoka Mbeya City Giant zax

Kwa TSh 20,000 tu, unaweza kupata T-shirt hii ya kipekee na kuwa sehemu ya kuonyesha fahari ya nyumbani kwako popote ulipo.

Zaidi ya yote, @twenty_seven7_branding Tunafanya Logo designage 

Jivunie Nyumbani. Vaa Mbeya. Tetea Ubunifu wa Kitanzania. taken in Mbeya, Tanzania by @dingo_creator
2
a month ago
Download
Jivunie Nyumbani. Vaa Fahari Yako hii ni chapa ya Mtoto wa Mbeya, kutoka Mbeya City Giant zax

Kwa TSh 20,000 tu, unaweza kupata T-shirt hii ya kipekee na kuwa sehemu ya kuonyesha fahari ya nyumbani kwako popote ulipo.

Zaidi ya yote, @twenty_seven7_branding Tunafanya Logo designage 

Jivunie Nyumbani. Vaa Mbeya. Tetea Ubunifu wa Kitanzania. taken in Mbeya, Tanzania by @dingo_creator
4
a month ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up