Instagram story viewer> @dingo_creator> Tagged
7.6K
followers
986
following
I do drawing | graphic design | videographer | story and Article writer|story content creator | Head of creativity and digital department @dreamfmtz
POSTS STORIES REELS TAGGED
Kumekucha Hali ilivyo katika Mitaa Mbalimbali ya Jijini Mbeya Asubuhi hii baada ya Bajaji kusitisha huduma ya Usafiri

✍️📹 @dingo_creator

Endelea kufuatilia Mitandao yetu ya kijamii @dreamfmtz kwa taarifa zaidi

#dreamfm
#tunachorandoto
10
Hali ya usafiri ilivyo baada ya Bajaji kugoma Jijini Mbeya imekuwa ngumu, huku wananchi wakilazimika kutembea kwa miguu kufika maeneo yao ya kazi na shughuli nyingine za kila siku. Baadhi ya wananchi wameamua kutumia bodaboda (pikipiki za matairi mawili), huku wengine wakitumia guta kama njia mbadala ya usafiri ili kufika wanakokwenda.

✍️📹 @dingo_creator

Endelea kufuatilia Mitandao yetu ya kijamii @dreamfmtz kwa taarifa zaidi

#dreamfm
#tunachorandoto
44
Hatimaye Vumbi limepungua😊

✍️ @dingo_creator

Endelea kusikiliza Dreamfm 91.3Mhz ukiwa Mikoa ya Nyanda za juu kusini Pia tusikilize popote pale duniani kupitia online Radio Box au Tune In kama Dreamfm Mbeya

#dreamfm
#tunachorandoto
55
Mvua Inanyesha Muda huu Mbeya😊 

Hali ipoje hapo mtaani kwako,,?

✍️📹 @dingo_creator

Endelea kusikiliza Dreamfm 91.3Mhz ukiwa Mikoa ya Nyanda za juu kusini Pia tusikilize popote pale duniani kupitia online Radio Box au Tune In kama Dreamfm Mbeya

#dreamfm
#tunachorandoto
26
Je, umesikiliza Rap Hip-hop ya II? Miamba ya muziki kutoka Mbeya wamekutana katika ngoma moja, akiwemo @msamiart @dizastavina, @drimboy255, @unamed255, @kidbizz99_official, @shamlago_mc na @nyabingi_hapa,  Sasa ni zamu ya Wanambeya kufurahia vipaji vya nyumbani vinavyoendelea kuipa Mbeya heshima kupitia muziki wa Hip-hop.

Je, ni verse ya msanii gani umeikubali zaidi katika ngoma hii?
 
✍️ @dingo_creator

Kubwa zaidi Rap Hiphop inapatikana kwenye Digital Platforms zote. 

Endelea kusikiliza Dreamfm 91.3Mhz ukiwa Mikoa ya Nyanda za juu kusini Pia tusikilize popote pale duniani kupitia online Radio Box au Tune In kama Dreamfm Mbeya

#dreamfm
#tunachorandoto
37
Jamani @sammyloungetunduma 😍😍😊 wana Warembo kibao Mhhh mma bha gwetu

Kubwa zaidi Wana Tunduma Tukutane hapa @sammyloungetunduma Kwenye Uzinduzi wa Albamu ya FROM USAFWANI yake Samba Melody

#dreamfm
#tunachorandoto
16
back to up