Instagram story viewer> @eliasjons> Posts
658
posts
49.4K
followers
1970
following
Das -Meatu 2023-25.
Diwani Kijichi 2015-20.
MPA- Mzumbe Alumn.
PGD-M.Foregn Relations.
Founder @mtarawanjefoundation
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
 by @eliasjons
19
3 months ago
Download
Alhamdullilah @mtarawanjefoundation @joelnanauka_ @waziri_wa_vijana @samia_suluhu_hassan by @eliasjons
11
3 months ago
Download
Taasisi ya @mtarawanjefoundation imegawa Vifaa vya Shule kwa watoto 2,500+ katika Jimbo la KIVULE, Wilaya ya ILALA.

✅ Sare, mMadaftari, Peni, Taulo za Kike, Miswaki, na Sabuni
✅ Elimu ya malezi bora kutoka kwa wataalamu wetu
Huu ni muendelezo wa jitihada zetu za kijamii kuhakikisha kila mtoto anapata nafasi ya kushiriki kikamilifu katika masomo na kukuza maendeleo ya jamii.

💚 Tunajivunia kuunga mkono familia zenye mahitaji na kuendeleza fursa kwa watoto wetu.

#MtarawanjeFoundation #CommunityImpact #EducationForAll #Kivule #Ilala  @waziri_wa_vijana @wizara_elimutanzania  @samia_suluhu_hassan by @eliasjons
18
6 months ago
Download
 by @eliasjons
0
7 hours ago
Download
Ni Mtihani Mzito 😀😀😀 by @eliasjons
2
7 days ago
Download
 by @eliasjons
8
8 days ago
Download
Hafla ya Ugawaji wa Viti Mwendo 500 kwa Wahitaji
20 Agosti 2026,

Jiunge nasi katika tukio hili la kipekee la kugusa maisha ya jamii. Uwe sehemu ya mabadiliko—ndoto zinaanza kwa hatua moja. #Timiza ndoto zako @mtarawanjefoundation by @eliasjons
10
10 days ago
Download
Mchezaji 👌@aishamagoal_10 by @eliasjons
5
15 days ago
Download
Jana, Mkurugenzi wa Mtarawanje Foundation – Tanzania, Eliasa K. Mtarawanje, 

Alishiriki katika hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya watoto kupitia programu ya NIFUATE 2026, inayoongozwa na  kwa kushirikiana na .

Katika kuunga mkono dhamira hiyo, Mtarawanje Foundation ilichangia TSh 10,000,000 kwa ajili ya kusaidia watoto wenye uhitaji.

Tunatoa shukrani za dhati kwa @officialalikiba na @samagoal77 kwa Moyo wao wa kujali na kuwekeza kwa watoto wa leo kwa ajili ya Tanzania ya kesho.

 Pamoja, tunaandika historia ya matumaini kwa kizazi kijacho. @samia_suluhu_hassan by @eliasjons
5
21 days ago
Download
NIFUATE 2026 @officialalikiba @samagoal77 @aishamagoal_10 @samakibanifuate by @eliasjons
17
21 days ago
Download
 by @eliasjons
10
21 days ago
Download
🤙@dcirambaofficial by @eliasjons
1
23 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up