Instagram story viewer> @emanuel_chamwilambo> Posts
233
followers
95
following
Banker 🏦 | Certified Financial Educator - BOT 🇹🇿
BSc. Banking & Finance Graduate 🎓
Nakusaidia Kuelewa Pesa, Banking & Biashara Ili Ukuwe Kifedha 💰
POSTS STORIES REELS TAGGED
Kabla hujatumia mshahara wako ujao hakikisha umesikia hii. taken in Dar es Salaam, Tanzania by @emanuel_chamwilambo
3
2 days ago
Download
Mteja anapaswa kupewa huduma bora . by @emanuel_chamwilambo
0
6 days ago
Download
Fanya jambo hili mapema sana .#BiasharaNdogo #AkibaTZ #PesaZaKijana #money #realestate taken in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania by @emanuel_chamwilambo
2
7 days ago
Download
Kilasiku mpya ni fursa na nafasi mpya kwako kupambana na kujitathimini kifedha. by @emanuel_chamwilambo
0
7 days ago
Download
taken in Dar Es Salaam, Tanzania, East Africa by @emanuel_chamwilambo
0
8 days ago
Download
Kama unataka biashara yako iuze milele ,Basi kuandaa content ni swala lisilo epukika.##uwekezajitz #elimuyafedhatz #finacialfreedom #money #richest taken in Dar Es Salaam, Tanzania, East Africa by @emanuel_chamwilambo
0
9 days ago
Download
#money #uwekezajitz #budgettz #elimuyafedhatz #financetz taken in Dar es Salaam, Tanzania by @emanuel_chamwilambo
0
9 days ago
Download
Oktoba 09, 2026, kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 4:00 asubuhi pale Golden Jubilee Tower, Ground Floor, nimepata bahati ya kushiriki Customer Service Week Breakfast iliyoandaliwa kwa kauli mbiu nzito sana: "Kila Safari ya Mwekezaji ni Muhimu."

Kama Certified Financial Educator (CFE), tukio hili kwangu lilikuwa zaidi ya breakfast. Lilikuwa ni darasa, lilikuwa ni mtandao, na lilikuwa ni kioo cha kutafakari safari yangu binafsi ya kuwahudumia watu kwenye masuala ya fedha.

Kwanza kabisa, SHUKRANI za dhati kwa waandaaji. Mlionyesha maana halisi ya huduma kwa mteja. Kuanzia mwaliko, mapokezi, mpangilio na utoaji wa taarifa, kila kitu kilikuwa kimepangwa kwa weledi. Hii ndio Customer Service tunayoihubiri.

Pili, NETWORKING. Nimekutana na watu wapya wa ajabu sana. Watu kutoka sekta ya uwekezaji, bima, benki, na soko la mitaji. Tumebadilishana mawazo, kadi, na ndoto. Nimejifunza kuwa katika ulimwengu wa fedha, connection ni capital. Leo nimeondoka na marafiki wapya, washauri wapya na ndugu wapya kwenye safari ya kutengeneza uhuru wa kifedha kwa Watanzania.

Tatu, KUJIFUNZA na KUJENGEKA.

Kama mwalimu wa fedha, mara nyingi tunazungumzia akiba, uwekezaji, na bajeti. Lakini leo nimerudi kwenye msingi: HAKUNA UWEKEZAJI BILA UAMINIFU, NA HAKUNA UAMINIFU BILA HUDUMA BORA.

Mwekezaji anapokuja kwako na milioni moja yake, si pesa tu analeta, analeta ndoto yake, jasho lake, na hofu yake. Huduma mbovu inaua ndoto hiyo. Huduma bora inajenga kizazi.

Nimejifunza mambo 3 makubwa ambayo nayabeba moja kwa moja kwenye kazi yangu kama CFE:
1. Kusikiliza kabla ya kushauri. Mteja anataka kusikilizwa, si kuuzwa bidhaa tu. 2. Elimu ni sehemu ya huduma. Kila mteja anayeondoka akiwa anaelewa vizuri zaidi kuhusu uwekezaji wake, amehudumiwa vizuri. 3. Safari haiishii kwenye mauzo. Kila safari ya mwekezaji ni muhimu, kutoka siku ya kwanza anapouliza, hadi siku anapovuna faida. 
Nimeondoka pale Golden Jubilee nikiwa nimejengwa upya. Nimekumbushwa kuwa kazi yangu sio tu kufundisha watu kutengeneza pesa, bali kuwahudumia kwa moyo, kwa taaluma na kwa uwazi ili waweze kutengeneza maamuzi sahihi ya kifedha.

Asanteni sana kwa kunialika. Asanteni kwa kuniamini. Niko tayari kuendelea kushirikiana by @emanuel_chamwilambo
0
9 days ago
Download
Waliowekeza kwenye soko la Hisa/ katika hisa wanapata faida hizi.
Chukua hatua uanze sasa.
0743 605 615 kwa huduma za kitaalamu juu ya uwekezaji wa hisa #UwekezajiTZ #BudgetTZ #FinanceTZ #BudgetTZ #SACCOSTZ taken in Dar Es Salaam, Tanzania, East Africa by @emanuel_chamwilambo
2
10 days ago
Download
Jitahidi sana kama mfanyabiashara kuzingatia mambo haya kwenye Biashara yako #ElimuYaFedhaTZ #FinanceTZ #BudgetTZ #finacialfreedom #money taken in Dar Es Salaam, Tanzania, East Africa by @emanuel_chamwilambo
2
11 days ago
Download
Hizi ni Biashara ambazo kwa sasa zinafanya vizuri sana.#budgettz #uwekezajitz #money #budgettz #financial taken in Dar es Salaam, Tanzania by @emanuel_chamwilambo
13
12 days ago
Download
Honored! 🙏

Nashukuru sana Orbit Securities kwa mwaliko wa Customer Service Week Breakfast.

Kila safari ya mwekezaji ina maana - na mimi kama Certified Financial Educator, nipo tayari kuendelea kuelimisha.

Tukutane Golden Jubilee Tower, 09 Oct 2026.

#OrbitSecurities #CustomerServiceWeek #CFE #FinancialEducation #DarEsSalaam by @emanuel_chamwilambo
2
12 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up