Instagram story viewer> @emanuel_chamwilambo> Tagged
237
followers
108
following
Banker 🏦 | Certified Financial Educator - BOT 🇹🇿
BSc. Banking & Finance Graduate 🎓
Nakusaidia Kuelewa Pesa, Banking & Biashara Ili Ukuwe Kifedha 💰
POSTS STORIES REELS TAGGED
🇹🇿 IFAHAMU VICTOR MENTORSHIP PROGRAM (VMP) - FOR EDUCATORS.
.
Hatimaye tulifanikiwa kufanya kikao chetu cha kwanza cha Victor Mentorship Program (VMP). Katika intake yetu ya kwanza, tulichagua waelimishaji vijana 16 kati ya wengi waliotuma Maombi kutoka maeneo mbalimbali, wakiwemo waelimishaji wa Fedha na Uwekezaji, Biashara, na Maendeleo binafsi.
.
Victor Mentorship Program (VMP) ni Programu ya BURE kabisa inayowajengea uwezo Waelimishaji (Educators) Vijana ili waweze kuwa Waelimishaji wenye ushawishi na wenye kutengeneza Kipato na kuleta athari chanya katika Jamii.
.
PROGRAMU INAWASAIDIA WAELIMISHAJI VIJANA KATIKA 
.
⏩️ Kujenga ushawishi mkubwa ndani na nje ya mitandao ya kijamii kwa Kutengeneza Maudhui (Content) Bora.
.
⏩️ Kujenga Strong Personal Brand itakayowafungulia fursa za kufanya kazi na taasisi na Makampuni makubwa na hata kuwa Influancers.
.
⏩️ Mbinu bora za Kuandika, Kuchapisha na kuuza Vitabu vyao, Pamoja na kuwapa Jukwaa la kuwafikia wasomaji wengi zaidi.
.
⏩️ MUHIMU - Tunawasaidia Waelimishaji Vijana kubadili Ujuzi na Uwezo wao kuwa chanzo cha Kipato cha Uhakika.
.
Kupitia Taasisi yetu ya TANZANIA EDUCATORS INSTITUTE ( @teieducators ) tuna Maono ya Kutengeneza Mtandao wa Waelimishaji 100 wenye Ushawishi Nchini Tanzania katika Kipindi cha Miaka 10 ijayo.
.
Kama wewe ni Muelimishaji Kijana wa Masuala ya FEDHA, BIASHARA au TEKNOLOJIA au MAENDELEO BINAFSI na Ungetamani kushikwa Mkono Popote Ulipi ili kukua kwa haraka basi Tuma neno MENTOR kwenda Whatsapp Number 0744126640 nasi tutaona namna ya kukusaidia. KUMBUKA Programu hii kwa Waelimishaji Vijana Waliokidhi Vigezo ni BURE kabisa chini ya Mentor wetu Kiongozi @victor_mwambene 
.
Kwa Elimu zaidi kuhusu Fedha , Biashara na Mafanikio kutoka kwa Wataalamu mbali mbali Follow @teieducators 
.
Cc
.
@teieducators 
.
@victor_mwambene 
.
📚 TANZANIA EDUCATORS INSTITUTE - “ Find Your Voice . Change Lives “ .
.
#VictorMentorshipProgram #VMP #Mentorship #Educators #certifiedfinancialeducators
40
back to up