Instagram story viewer> @fr.johnassey> Posts
1.4K
followers
35
following
Catholic Priest/School Manager at Tengeru Boys, sharing the Gospel,education, leadership, and service to the poor.
"Education for self-Reliance"
POSTS STORIES REELS TAGGED
Tengeru Boys Secondary School & Holy Ghost Inclusive Secondary School extend their heartfelt best wishes to all our Form Four candidates as they begin their final examinations tomorrow.

May the Almighty God bless you with wisdom, knowledge, understanding, clarity of mind, a good memory, confidence, simplicity, integrity, and success throughout every examination. May His presence go before you, remain with you in every paper, and guide you safely from the beginning to the very end.

To all our parents, alumni, friends, and well-wishers, thank you for your unwavering support and prayers. Let us continue to stand united in prayer ifor our boys,our ambassadors as they represent our schools with excellence and dignity.

May the Almighty Lord hear your prayers, strengthen you, and crown your efforts with outstanding success.

Go with God. Excel with integrity. Return with victory by @fr.johnassey
43
6 hours ago
Download
Tengeru Boys na Holy Ghost Inclusive High School tunawatakia kila la heri watahiniwa wetu wa Kidato cha Nne katika Mitihani ya Taifa.

Tunawaombea hekima, utulivu, afya njema na ujasiri. Mwenyezi Mungu awaongoze, awatangulie na awajalie mafanikio makubwa. Fanyeni kila mtihani kwa bidii, nidhamu na uaminifu.

Tunawaamini, tunawaombea na tunawatakia ushindi!

#TengeruBoys #
#holyghostviziwi_arushatz# by @fr.johnassey
37
a day ago
Download
 by @fr.johnassey
24
7 days ago
Download
Familia nzima ya Tengeru Boys Secondary School inawatakia kila la heri mnapoanza mitihani yenu. Tunawaombea Mungu awajalie hekima, utulivu wa akili, afya njema na ujasiri ili mfanye vizuri katika kila mtihani.

“Umtwike Bwana kazi zako, nayo mawazo yako yatathibitishwa.” (Mithali 16:3)

“Mtu akipungukiwa na hekima, na amwombe Mungu, naye atapewa.” (Yakobo 1:5)

Mungu awatangulie, awasimamie na awape mafanikio mema katika mitihani yenu.

Tunawatakia kila la heri na mafanikio tele! by @fr.johnassey
8
8 days ago
Download
Once a Tengeru boys always a Tengeru Boys by @fr.johnassey
6
9 days ago
Download
Wakati wa mahafali, baadhi ya wazazi walitoa Sadaka ya Shukrani kwa Mwenyezi Mungu wakimshukuru kwa neema zake nyingi alizowajalia wana wao katika kipindi chote cha miaka minne ya masomo katika Shule ya Sekondari Tengeru Boys. Walimshukuru Mungu kwa ulinzi, afya njema, hekima, mwongozo na mafanikio aliyowawezesha kuyafikia hadi kufikia hatua ya kuhitimu.

Kupitia sadaka hiyo, wazazi waliinua sala zao kwa Mwenyezi Mungu wakimwomba aendelee kuwabariki, kuwalinda na kuwaongoza wanafunzi hao wanapoelekea kufanya mitihani yao ya Taifa (NECTA), ili awajalie utulivu wa akili, hekima, afya njema na mafanikio makubwa katika mitihani yao na maisha yao ya baadaye. by @fr.johnassey
11
12 days ago
Download
 by @fr.johnassey
9
14 days ago
Download
 by @fr.johnassey
2
15 days ago
Download
 by @fr.johnassey
1
15 days ago
Download
 by @fr.johnassey
30
23 days ago
Download
Katika usaili wa wanafunzi wa Kidato cha Kwanza uliofanyika Tengeru Boys Secondary School, Meneja wa Shule, Fr. John Assey, aliwahamasisha wazazi pia kuzingatia nafasi zilizopo katika Marian Boys Secondary School pamoja na Shule za Holy Ghost Zanzibar, ambazo zote ni sehemu ya familia moja ya shule za Holy Ghost (Spiritan).

Shule hizi zinaendeshwa kwa misingi ile ile ya malezi bora, nidhamu, ubora wa taaluma na maadili ya Kikristo, zikitoa fursa zaidi kwa wazazi kuwapatia watoto wao elimu yenye ubora ndani ya familia moja ya kuaminika.

Chagua Shule za Holy Ghost leo, mjenge msingi imara wa kesho.

Ukijiunga na Familia ya Tengeru Boys, unabaki kuwa sehemu ya Familia ya Holy Ghost daima. by @fr.johnassey
98
a month ago
Download
 by @fr.johnassey
65
a month ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up