Instagram story viewer> @godmuya> Posts
1889
posts
31.2K
followers
980
following
Husband● Media Personnel
Program Manager | GlobalTV 🇹🇿
Host @safari_godmuya
♟️
#MWENYEKITI
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Dakika 10 za Mahojiano yangu na Kamanda Jumanne Muliro Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam kuhusu ulinzi na Usalama Jijini DSM. taken in Tanzania by @godmuya
0
17 days ago
Download
Nimepata wasaa wa kushiriki katika hafla ya kupokea ripoti ya Jaji Chande leo @ikulu_mawasiliano  jijini Dar es salaam Kesho kwenye #KAMATI asubuhi tutakuwa na Uchambuzi pia na Aliyekuwa mgombea Urais mwaka 2025. by @godmuya
1
3 months ago
Download
Nilipata wasaa wa kuketi na @tunduantiphaslissu Kwa lisaa 1 na dakika 26 tumeyazungumza mengi sana.

Pita hapa utazame Youtube ya @GlobalTVOnline 
 https://www.youtube.com/live/_xLLBAj0HqM?si=Vfc_KmBrtbHjTJDq taken in Global Publishers by @godmuya
5
2 years ago
Download
 by @godmuya
0
a day ago
Download
🔨 by @godmuya
1
2 days ago
Download
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ametangaza msako mkali dhidi ya madanguro na vitendo vya ukiukwaji wa maadili, akisisitiza kuwa Serikali haitavumilia mtu yeyote anayehusika na biashara hizo au kuwatumia watoto katika vitendo vya unyanyasaji.

Mpogolo aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi, ambapo pia alilipongeza Jeshi la Polisi kwa hatua za haraka walizochukua kuwakamata watuhumiwa wanaodaiwa kuhusika na vitendo hivyo.

Alisema taarifa zilizopo zinaonesha kuwa katika Kata ya Zingiziwa kulikuwa na mtu anayeshukiwa kuwatumia watoto wa kike kuwachezesha wakiwa uchi kwa malipo ya kati ya Shilingi 3,000 na 5,000, jambo alilosema ni ukatili mkubwa na ukiukwaji wa maadili ya jamii.

Kwa mujibu wa Mpogolo, mtuhumiwa huyo tayari amekamatwa na Jeshi la Polisi, huku uchunguzi ukiendelea. Aliwataka wananchi kutoshawishiwa kumtetea mtu yeyote anayekabiliwa na tuhuma hizo kabla ya sheria kuchukua mkondo wake.

Wakati huo huo, aliipongeza Ofisi ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa (RPC) na Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) kwa operesheni zilizofanyika hivi karibuni, akieleza kuwa zaidi ya watu 20 walikamatwa katika msako dhidi ya vitendo hivyo. by @godmuya
57
2 days ago
Download
Kama una shamba Wilayani Kisarawe hapa kuna ujumbe wako kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe @petromagoti @dc_magoti by @godmuya
18
3 days ago
Download
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Kinondoni, (RTO), Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP)
Solomon Mwangamilo leo ametembelea studio za Global TV zilizopo Sinza Mori jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mahojiano maalumu. taken in Tanzania by @godmuya
9
5 days ago
Download
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Kinondoni, (RTO), Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Solomon Mwangamilo amesema kuna baadhi ya makosa ya barabarani, mhusika anatakiwa kuadhibiwa na siyo kuelimishwa kwa sababu yanatokana na uzembe na yanahatarisha usalama.

Mwangamilo ameyasema hayo alipotembelea studio za Global TV zilizopo Sinza Mori jijini Dar es Salaam na kufanya mahojiano maalumu huku akiwasihi wananchi kuzingatia sheria za usalama barabarani.

Host @GodMuya

Video kamili ipo Youtube, Global TV.

🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.

#Globaltv #globaltvupdates #globaltvonline #255globalradio #globalpublishers by @godmuya
3
4 days ago
Download
Ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mheshimiwa Edward Mpogolo  @mpogoloe Akizindua MAFUNZO YA ASKARI WA JESHI LA AKIBA (MGAMBO) WILAYA YA ILALA. by @godmuya
81
4 days ago
Download
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Kinondoni, (RTO), Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Solomon Mwangamilo amesema hakuna sababu yoyote ya raia ambaye siyo mwaminifu kuwaogopa polisi.

Mwangamilo ameyasema hayo alipotembelea studio za Global TV zilizopo Sinza Mori jijini Dar es Salaam na kufanya mahojiano maalumu huku akiwasihi wananchi kuzingatia mambo muhimu kwenye magari yao na vyombo vya usafiri kuepusha matukio ya ajali.

Host @GodMuya

Video kamili ipo Youtube, Global TV. by @godmuya
2
5 days ago
Download
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Dalmia Mikaya, amefika katika eneo la Mtaa wa Majengo, Kata ya Vijibweni, kufuatilia mgogoro wa muda mrefu wa ardhi ulioibuka kufuatia malalamiko ya wananchi waliokuwa na hofu ya kubomolewa nyumba zao.

Akizungumza na wananchi, amesema ataunda kamati maalum itakayofuatilia chanzo cha mgogoro huo, kubaini changamoto zilizopo na kupendekeza suluhisho sahihi litakalomaliza mgogoro huo.

Host: @GodMuya taken in Tanzania by @godmuya
8
5 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up