Instagram story viewer> @godmuya> Post
5 days ago
Co Creator: dalmiamikaya
8
Posted On: July 20th 2026, 07:20 pm
Tagged Users:
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Dalmia Mikaya, amefika katika eneo la Mtaa wa Majengo, Kata ya Vijibweni, kufuatilia mgogoro wa muda mrefu wa ardhi ulioibuka kufuatia malalamiko ya wananchi waliokuwa na hofu ya kubomolewa nyumba zao.

Akizungumza na wananchi, amesema ataunda kamati maalum itakayofuatilia chanzo cha mgogoro huo, kubaini changamoto zilizopo na kupendekeza suluhisho sahihi litakalomaliza mgogoro huo.

Host: @godmuya
Comments (8)
kichu.ya6 3 days ago

kichu.ya6

Kama wananchi alie wauzia yupo na anaishi apo apo uyo mwenye hati kapataje aina aja ya kuunda tume mwite mwenye hati na alie waauzia wananchi na uumalizo ilo

kichu.ya6 3 days ago

kichu.ya6

Uyo mwenye hati ameuziwa na nani DC

zachariajuma0701 5 days ago

zachariajuma0701

🔥🔥🔥🔥🔥🔥

jaymie_onlne 5 days ago

jaymie_onlne

👏👏👏

jaymie_onlne 5 days ago

jaymie_onlne

👏👏👏👏👏👏👏

jaymie_onlne 5 days ago

jaymie_onlne

👏👏👏👏👏

russelfrance__ 5 days ago
careenlyimo123 5 days ago

careenlyimo123

Kwa kweli DC apambane wananchi wapate haki yao

More posts

back to up