Instagram story viewer> @habarimorogoro> Posts
9240
posts
17.9K
followers
7377
following
📰 HABARI MOROGORO
📍 Habari, Matukio na Matangazo ya Morogoro
🌿 Utalii wa Uluguru & Udzungwa
📢 Tuma Story au Tangazo lako
📲 WhatsApp: 0714248191
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
🔥 MOROGORO, TUMEKUJA! 🔥Leo usiku tunakutana na mashabiki wote wa Morogoro kwenye Mashabiki Season 2 – Homecoming Festival! 🎉Lamata Village Team tupo ndani ya nyumba tayari kuwapa burudani ya nguvu! 🔥🎬📍 PALES Night Club & Lounge, Stesheni Road, Morogoro📅 Leo – 25 Julai🕗 Usikose usiku huu!Karibu tusherekee pamoja, tupige picha, tuimbe na tufurahie usiku wa kipekee! 🙌🔥Morogoro, mpo tayari? Tuonane usiku huu! ❤️@_bistar @habarimorogoro :Sauti ya Morogoro by @habarimorogoro
2
6 hours ago
Download
🚨 SAFARI YA MOROGORO ILINOGA JANA… LEO NDIYO LEO! 🔥Asubuhi hii tumeamka tayari The Pals Lounge, maandalizi yamekamilika na kila kitu kiko tayari kwa usiku wa historia! 🎉Bistar na Mashabiki Season 2 – Homecoming Festival ni leo. Morogoro, huu ndio usiku wa burudani ya kiwango cha juu, vibe kali na kumbukumbu zisizosahaulika.Kusanya crew yako na tukutane The Pals Lounge. Morogoro, leo hapa ni toshi! Twende tukafanye historia pamoja. 🔥💃🕺@the_palstz @bugale_rama @azamtvtz @azamtvburudani @dijavacompany @dijjahcollection_handbags @sautiyamamatz @herietycyrilychumira @dachihalima @habarimorogoro :Sauti ya Morogoro @_bistar#BistarNaMashabiki #HomecomingFestival #Morogoro #SautiYaMorogoro #LeoNdioLeo ThePalsLounge MorogoroToshi by @habarimorogoro
1
6 hours ago
Download
🎉 KUMEKUCHAAAA!!! 💃🏻💃🏻💃🏻HOME SWEET HOME! 🏡🔥Morogoro, tupo tayari kwa burudani ya nguvu! Usikose kuwa sehemu ya tukio hili.🎟 Tiketi zinapatikana THE PALS LOUNGE.Usisubiri hadi dakika za mwisho—chukua tiketi yako mapema!📞 Kwa mawasiliano zaidi:☎️ 061 281 8442☎️ +255 68 322 2144Karibu tusherehekee pamoja! 🎶🔥@habarimorogoro :Sauti ya Morogoro by @habarimorogoro
0
a day ago
Download
🎉 MOROGORO! JUMAMOSI HATUMWI MTOTO DUKANI! 💃🏻💃🏻Usikose burudani ya nguvu! 🔥🎟 Tiketi zinapatikana THE PALS LOUNGE.⚠️ Epuka foleni, chukua tiketi yako mapema!Viingilio:👧 Watoto – TSh 5,000🧑 Wakubwa – TSh 10,000Meza:🥇 GOLD – TSh 150,000🥈 VIP – TSh 300,000👑 VVIP – TSh 400,000📞 Kwa mawasiliano na kuhifadhi nafasi: 061 281 8442Karibu tusherehekee pamoja! Usichelewe—nafasi ni chache! 🔥🎶@_bistar by @habarimorogoro
0
a day ago
Download
TOFAUTI YA USHURU YAZUA SINTAFAHAMU SOKO LA MAWENZI.Baadhi ya wafanyabiashara wa Soko la Mawenzi, Manispaa ya Morogoro, leo Julai 24, 2026, wamegoma kufungua biashara zao wakipinga kiwango cha kodi ya pango la vizimba pamoja na kile wanachodai kuwa ni utozaji usio sawa wa ushuru ikilinganishwa na Soko Kuu la Kingaru.Wafanyabiashara hao wanadai wanalipa kodi ya pango la vizimba ya Shilingi 20,000 kwa mwezi na wanaitaka Serikali kuipunguza hadi Shilingi 10,000. Aidha, wamesema pamoja na kulipa kiwango hicho, soko hilo bado lina miundombinu duni inayowafanya wateja wengi kushindwa kufika kufanya manunuzi.Baada ya mazungumzo kati ya wafanyabiashara na uongozi wa soko, imeelezwa kuwa majibu rasmi kuhusu malalamiko hayo yanatarajiwa kutolewa siku ya Jumanne.Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mussa Kilakala, alifika katika soko hilo na kuahidi kuyafanyia kazi malalamiko ya wafanyabiashara hao. Kufuatia ahadi hiyo, wafanyabiashara walikubaliana kwa kauli moja kurejea na kuendelea na shughuli zao za biashara kama kawaida huku wakisubiri uamuzi wa uongozi.@habarimorogoro :Sauti ya Morogoro by @habarimorogoro
0
a day ago
Download
AJALI YA MALORI MAWILI YASABABISHA KIFO CHA MTU MMOJA MOROGORO.Malori mawili yamegongana uso kwa uso na kuwaka moto alfajiri ya leo, Julai 24, 2026, katika barabara kuu ya Morogoro–Iringa.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, ACP Andrew Kantimbo, amesema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa lori lililokuwa limebeba mchanga kuelekea Chalinze, ambaye aliacha njia na kugongana na lori lililokuwa limebeba kemikali aina ya Sulphur.Ajali hiyo imesababisha kifo cha mtu mmoja, mwanaume mtu mzima, huku watu wawili wakijeruhiwa na kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.ACP Kantimbo amewataka watumiaji wote wa vyombo vya moto, hususan madereva wa malori ya masafa marefu, kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuepusha ajali zinazoweza kuepukika.@habarimorogoro :Sauti ya Morogoro #Morogoro #Ajali #UsalamaBarabarani #JeshiLaPolisi #Habari by @habarimorogoro
0
a day ago
Download
💦 KARIBU CHOMA WATERFALLS – ULUGURU MOUNTAINS, MOROGORO 🌿⛰️Tunawakaribisha wanafunzi, taasisi, vikundi, familia na wageni binafsi kutembelea Choma Waterfalls, kivutio cha kipekee kilichopo ndani ya Milima ya Uluguru.Njoo ufurahie matembezi ya asili, utalii, kujifunza kuhusu mazingira na uzuri wa mandhari ya milimani. 🌳💧Tunatoa huduma mbalimbali zikiwemo:✅ Uongozi wa watalii (Tour Guide)✅ Ratiba za matembezi na utalii✅ Ushauri wa safari✅ Huduma kwa vikundi na wageni binafsi✅ Usafiri kutoka SGR hadi hotelini na kuendelea na safari za Choma WaterfallsKwa taarifa zaidi kuhusu mapokezi ya wageni, gharama na huduma zetu, tupigie au tutumie WhatsApp:📞 0628 534 041🌿 Choma Waterfalls Morogoro – sehemu sahihi ya kutalii, kujifunza na kufurahia uzuri wa asili.Karibu sana Choma Waterfalls by @habarimorogoro
0
2 days ago
Download
Kumekuchaaaa!!! 🤣🔥Mwenye Morogoro yake ni mkali hatari! 😂😂 Hii Jumamosi huyu lazima ashikiliwe kabisa, maana burudani itakuwa ya kiwango cha juu! 🎤🎉Morogoro, mpo tayari au bado? 👀🔥@dijavacompany @prince.jmmy @kunta_password @lamataleah @juakali_tamthilia @kombolela_season_2_official @azamtvtz @dijjahcollection_handbags @raskazone_classic @jambo_drinks @the_palstz @jovano_world @charlz_mmmh @morogoro_ndio_home @morogoroyetu @habarimorogoro @aboodmediatz @dizzimfm @planetfmtzHabari Morogoro – Sauti ya Morogoro. 🎙️❤️#Morogoro #KombolelaSeason2 #Burudani #HabariMorogoro #SautiYaMorogoro@habarimorogoro :Sauti ya Morogoro @_bistar by @habarimorogoro
0
2 days ago
Download
GreenLeadership | Kijana Anayebadili Maisha Kupitia Kilimo na Mazingira 🌱Mkurugenzi wa Shirika la AgriWezesha Tanzania, Bibi Ignas Deograsia (@ignasdeograsia), ni mmoja wa viongozi vijana wanaotoa mchango mkubwa katika sekta ya kilimo na mazingira.Kupitia ushirikiano na Serikali ya Mkoa wa Morogoro, anaendelea kutekeleza miradi mbalimbali inayolenga kuboresha maisha ya wananchi kupitia kilimo endelevu na uhifadhi wa mazingira.Kitaaluma ni Msimamizi wa Rasilimali Watu, lakini alifanya uamuzi wa kuacha ajira yenye mshahara mzuri na kujikita katika kujiajiri kwa kuanzisha AgriWezesha Tanzania (@agriwezeshatz), taasisi inayojihusisha na maendeleo ya kilimo na mazingira.Katika jukwaa la #VijanaUongoziForum, alipata fursa ya kushiriki uzoefu wake na kuelezea fursa zilizopo katika sekta ya kilimo na mazingira (Green Opportunities), akihamasisha vijana kuona sekta hizo kama chanzo cha maendeleo na ajira.Hongera na ahsante, Bibi Ignas Deograsia, kwa mchango wako katika kuwainua vijana na jamii kupitia kilimo na mazingira. 🌿👏#GreenLeadership #VijanaUongoziForum #Kilimo #Mazingira Morogoro AgriWezesha Vijana@habarimorogoro :Sauti ya Morogoro by @habarimorogoro
0
2 days ago
Download
Mguu wa kutoka Mora umebarikiwa! 🙏🏾✨Kwa wote wanaotoka Morogoro kwenda kutafuta riziki, Mungu awatangulie, awalinde na awabariki katika shughuli zenu za kila siku.Kama wewe ni mtafutaji wa kila siku, tukutane hapa kwa salamu. Mungu azidi kufungua milango ya mafanikio kwetu sote. 🤝#Watafutaji #Morogoro #Maisha #Baraka #SafariNjema@habarimorogoro :Sauti ya Morogoro by @habarimorogoro
0
2 days ago
Download
Jeshi la Polisi Kilombero lakutana na wamiliki na madereva wa vyombo vya moto Ifakara kuimarisha usalama barabaraniJeshi la Polisi Wilaya ya Kilombero limekutana na wamiliki na madereva wa vyombo vya moto mjini Ifakara kwa lengo la kuimarisha usalama barabarani na kupunguza ajali kupitia utoaji wa elimu kuhusu sheria za usalama barabarani.Akizungumza katika kikao hicho, Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kilombero (DTO), Blandina Kasongwa, amesema kila dereva wa chombo cha moto, ikiwemo trekta, anatakiwa kuwa na leseni halali ya Daraja G ili kuimarisha usalama barabarani na kuzingatia matakwa ya sheria.Aidha, DTO Blandina amewataka wamiliki wa vyombo vya moto kuhakikisha madereva wanaowaajiri wanamiliki leseni halali ya Daraja G na wanatimiza masharti yote ya kisheria yanayohusu uendeshaji wa vyombo hivyo.@ikulu_mawasiliano @patrobasskatambi_ @wizara_ya_mambo_ya_ndani @rs_morogoro @dc.kilombero @polisi.tanzania @habarimorogoro :Sauti ya Morogoro #Kilombero #Ifakara #UsalamaBarabarani #JeshiLaPolisi #Morogoro by @habarimorogoro
0
2 days ago
Download
Kumekuchaaaa!!! Mwenye Morogoro yake mkali hatari 🤣🤣🤣🤣hiyo jumamosi ashikiliwe huyu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣@dijavacompany @prince.jmmy @kunta_password @lamataleah @juakali_tamthilia @kombolela_season_2_official @azamtvtz @dijjahcollection_handbags @raskazone_classic @jambo_drinks @the_palstz@jovano_world @charlz_mmmh @morogoro_ndio_home morogoroyetu@habarimorogoro @aboodmediatz @dizzimfm @planetfmtz by @habarimorogoro
15
2 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up