Instagram story viewer> @hasheem_ibwe> Posts
2781
posts
1.4M
followers
834
following
Sports Producer and Presenter @azamtvtz πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
@bundesliga Commentator @azamtvsports
πŸ‡ͺπŸ‡ΈπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡«πŸ‡·πŸ‡ΏπŸ‡²πŸ‡ΈπŸ‡©πŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡ΉπŸ‡·πŸ‡ΆπŸ‡¦πŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡ΏπŸ‡¦
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Assalam aleykum 
ANATAFUTWA
HUYO PICHANI NI MDOGO WANGU KABISA WA KUZALIWA TUMBO MOJA JINA LAKE HALISI NI IDD SALIM IBWE,UMRI MIAKA 27 KABILA MPARE ,WAJIHI NI MWEUPE kimo ni kama Futi 5.4 hivi. NI MFANYABIASHARA NDOGO NDOGO ZAIDI KKOO NA KUNA WAKATI ALIKUWA AKITEMBELEA SANA MAENEO YA CHANIKA AMBAKO ALIKUWA NA STOO KADHAA ZA MKAA.
Ni kitambo kidogo sasa kimepita Tangu ametoweka nyumbani na hakuna anayefahamu yuko wapi, Tumetoa Taarifa sehemu mbali mbali ikiwemo sehemu za mamlaka husika (Polisi) kama ambavyo mnaona nimeambatanisha na Ripoti ya Taarifa (RB) ya kituo cha polisi Maturubai.
Umefika wakati ambao Jeshi la Polisi likiendelea Kufanya jitihada zake ikawa kuna ulazima pia wa kuwashirikisha na Watanzania wenzangu Endapo kuna mtu yeyote Baina yenu anafahamu alipo,alibahatika Kumuona Tafadhali sana tunaomba msaada wenu juu ya hili Kama Familia.
Tumejaribu kumsaka Polisi,Hospitali,Maeneo yake ya Shughuli zake za Hapa na Pale sambamba na marafiki zake lakini Hatujafanikiwa mpaka leo.
.
Kama una Taarifa zake Popote tafadhali wasiliana nasi 0712 879 497 ,0746 394 216 ,0714 720 731
.
HASHEEM IBWE 
AFISA HABARI AZAM FC πŸ™ by @hasheem_ibwe
0
2 years ago
Download
The incredible ride. One happy customer. πŸ™ŒπŸš—
βœ… Toyota Landcruiser LC-300

Thank you for choosing MATRIXX INC LIMITED. Your trust drives us to deliver excellence every day! πŸ’™

πŸ“ Salamander Tower, 3rd Floor, Dar es Salaam
πŸ“ž +255 759 135 755 taken in Salamander Towers by @hasheem_ibwe
0
9 hours ago
Download
Oyaaaaa Kama hii Babaaa Na Kinyagoooo πŸ˜‚ by @hasheem_ibwe
337
11 hours ago
Download
PAAAAAALE CHAMAZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Video Credits to @mrtony_101 πŸ˜‚ by @hasheem_ibwe
6
a day ago
Download
Double the keys. Double the happiness. πŸ”‘πŸ”₯

Leo tunayo furaha kukabidbi Gari mbili kwa wateja wetu
BMW X3-YOM 2014 Diesel Engineβœ…
FORESTER XT - YOM 2014βœ…

 πŸ“ Salamander Tower, 3rd Floor, Dar es Salaam
πŸ“ž +255 759 135 755

Excellence delivered, every time. 🚘
#BMW #Subaru #BMWX3 #ForesterXT taken in Salamander Towers by @hasheem_ibwe
2
a day ago
Download
CALEB ILESEEEEEE SINCE DAY 1

@caleb_ilese TOMBOKA PETIT by @hasheem_ibwe
20
2 days ago
Download
MTALAAMU 🫑πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ by @hasheem_ibwe
26
2 days ago
Download
SAMSUNG SOUND BARπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 πŸ‘‰Price 1,550,000/=
πŸ”₯300w
πŸ”₯HDMI & Optical
πŸ”₯Wireless Connection 
πŸ”₯2 Years Warranty 
πŸ‘‰FREE DELIVERY πŸššπŸ“¦
.
πŸ“Kariakoo Msimbazi B
Jengo la Simba Sports Club
WhatsApp & Calls
0715115174 & 0754382249
#welcome #lampardelectronics taken in Makao makuu ya Simba Sports Club-Msimbazi by @hasheem_ibwe
1
2 days ago
Download
#ThrowBackThursday

Cheka nikutokee ndotoni leo ukilala. by @hasheem_ibwe
213
3 days ago
Download
Moja ya Ndoto zangu Zilikuwa kuwa Muigizaji Mkubwa sana wa Filamu Au Msimamizi wa Wanamuziki wakati naota ndoto zangu za ujana kukua.
Mwaka 2009 nilipomaliza Kidato cha Nne Nikakimbizana nazo Kuanzia TMT ya Kina @monalisatz Hollaa nikahamia @bongostarsearch ya Madam @msritapaulsen Hollaaaa lakini kumbee wito wangu haukuwa kwenye kiwanda cha burudani ya filamu na muziki bali Chumba Cha Habari nikaaminiwa na Azam Media LtD Ajira Rasmi ya Kwanza mpaka leo Achilia Mbali RADIO 5 Arusha na SBM RADIO TEGETA Na Media zingine.

Wito wa Filamu una Watu wao ni hawa kina @officialboneka nimeangalia hii short film ni ya muda mfupi ila imebeba kila kitu Mwanzo Kati na Mwisho 

Sikuwa nimeiona leo nimetazama huyu Jamaa ni wa moto sana na mimi kanifundisha tena jambo ambalo nilijifunza miaka Mingi nyuma kwamba kila mtu na wito wake na usifanye kila kitu mpaka ukaziba nafasi za wenzio ila fanya wito wako kwa ubora na muendelezo ule ule .

"Wakati wa Mungu ni wakati Sahihi "

Kaitazameni Nafsi mtanielewa.

NB:JB,GABO,BONEKA sirudiiii by @hasheem_ibwe
27
3 days ago
Download
JOHN MANOU πŸ‡ΈπŸ‡©

NI MLAMBA LAMBA 9 by @hasheem_ibwe
62
5 days ago
Download
MORTAL KOMBAT EDITION 2026 by @hasheem_ibwe
27
5 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up