Instagram story viewer> @highmark_emmanuel> Posts
9.1K
followers
2600
following
• Isaiah 60:1
• Corporate Photographer
• Philanthropist
• CEO @highmark_studios @highmark_prints
• Kamishna wa Habari TAHLISO 2024/25
POSTS STORIES REELS TAGGED
KHERI YA SIKU YA NANE NANE KWA WAKULIMA NA WAFUGAJI WOTE

Great to meet you Sir @bashehussein taken in Mwanza, Tanzania by @highmark_emmanuel
73
2 months ago
Download
Nimefika kutoa pole katika msiba wa mwekezaji Ndugu yetu  Baozhang mkazi na jirani yetu wa hapa Mabibo, Ubungo Dar es salaam. Natoa pole kwa familia, ndugu jamaa na marafiki walioguswa na msiba huu. Mwenyezi Mungu ampumzishe mahala pema peponi marehemu🙏🏻 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @highmark_emmanuel
150
5 months ago
Download
Alhamdulillah.. Leo imekuwa siku ya kipekee yenye neema na baraka kwangu kupata fursa ya kumkabidhi zawadi Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank, Dkt. Abdulmajid Mussa Nsekela.

Hongera sana kwa mafanikio makubwa ya kuhitimu shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu cha South Africa (UNISA) tarehe 12 Juni 2026. Hii ni hatua muhimu inayodhihirisha kwamba uongozi bora huenda sambamba na elimu, maarifa na kujifunza nyakati zote.

Team ya @highmark_prints Tunakupongeza kwa mafanikio haya makubwa yanayoendelea kuiweka Tanzania kwenye ramani ya viongozi wenye maono na weledi wa hali ya juu. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki, akupe afya njema na hekima zaidi katika kulitumikia taifa na taasisi ya CRDB.

@amnsekela taken in Dar es Salaam, Tanzania by @highmark_emmanuel
67
4 months ago
Download
📍Sumbawanga- Rukwa

Sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge na kumbukizi ya Miaka 27 tangu kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere
Mgeni rasmi akiwa Makamu wa Rais wa JMT Mhe. Deogratius Ndejembi

📸 @highmark_emmanuel taken in Sumbawanga by @highmark_emmanuel
168
4 days ago
Download
Imekuwa neema na baraka kubwa kushiriki THE MARIAN CONCERT 2026, tukio la Kikatoliki lililotuunganisha pamoja katika kumsifu na kumtukuza Mama yetu Bikira Maria.

Kwetu sisi Wakatoliki, Mama Maria ni mfano wa imani, unyenyekevu na utii kwa Mungu, anayetukumbusha daima kumkaribia Kristo na kuimarisha imani yetu ya Kikatoliki.

Pongezi za dhati ziwafikie waandaaji wa tukio hili @daniel_lingwentu na team kwa kufanikisha mkusanyiko huu wa kiroho uliotuleta pamoja katika sala, sifa na utukufu wa Mungu kupitia heshima yetu kwa Mama Maria.

Mama Maria, utuombee! 🙏🤍

📸 @highmark_studios 

#TheMarianConcert2026 #MamaMaria #ImaniKatoliki taken in Dar es Salaam, Tanzania by @highmark_emmanuel
6
7 days ago
Download
Vibe la Kikatoliki in MARIAN CONCERT🔥
Tunamsifu na Kumtukuza Mungu wetu aliyejuu🙏🏽❤️ taken in Dar es Salaam, Tanzania by @highmark_emmanuel
54
8 days ago
Download
Imekuwa ni furaha na baraka kubwa kushiriki katika ndoa takatifu ya kaka yangu, Katibu wa Waziri wa Ujenzi, Eng. Aman Mdekha.

Nawaombea neema, upendo, furaha na baraka nyingi katika safari hii mpya ya maisha. Mwenyezi Mungu awe nguzo kuu ya ndoa yenu, awaongoze katika kila hatua, na awajalie maisha yenye amani, upendo na mafanikio.

#AJ2026❤️ taken in Iringa, Tanzania by @highmark_emmanuel
33
10 days ago
Download
Surround yourself with winners

#jipambanue taken in Tanga, Tanzania by @highmark_emmanuel
56
25 days ago
Download
Nimeshiriki maonesho makubwa ya Ufugaji yanayoendelea Ubena Estate, Pwani. 

Maonesho haya yanawakutanisha wafugaji, wawekezaji na wadau mbalimbali wa sekta ya mifugo ili kujifunza, kubadilishana uzoefu na kufungua fursa mpya za biashara na maendeleo.

Kwa Pamoja tunajenga sekta ya mifugo yenye tija na mchango mkubwa kwa uchumi wa Taifa.

#TriNationsLivestockExpo taken in Pwani, Tanzania by @highmark_emmanuel
73
4 months ago
Download
Nikiwa Jimbo Katoliki la Geita nimeshiriki Misa Takatifu ya kupewa Daraja ya Upadri kwa mashemasi Nane iliyoadhimishwa na Mha. Baba Askofu Flavian Kassala.

Tunajivunia kupata Wachungaji wapya katika nyumba ya Bwana, Nawaombea neema na baraka nyingi katika safari yao ya Wito Mwenyezi Mungu awaongoze na Asanteni sana kwa kuiamini @highmark_studios katika sherehe za Upadrisho na Misa za Shukrani zinazoendelea Jimboni hapa.

@highmark_studios 
#Highmark taken in Geita by @highmark_emmanuel
32
3 months ago
Download
Aspire to live quietly, and to mind your own affairs.
Thessalonians 4:11 taken in Mikumi Morogoro by @highmark_emmanuel
21
6 months ago
Download
Ni faraja sana kuhudhuria Ibaada Takatifu ya Ushemasi  wa Kaka zangu 13 walionipokea Seminary Mwaka 2014 inayoadhimishwa katika Parokia ya Ngokolo Jimbo Katoliki la Shinyanga. taken in Shinyanga, Tanzania by @highmark_emmanuel
77
10 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up