Instagram story viewer> @highmark_emmanuel> Tagged
9.1K
followers
2600
following
• Isaiah 60:1
• Corporate Photographer
• Philanthropist
• CEO @highmark_studios @highmark_prints
• Kamishna wa Habari TAHLISO 2024/25
POSTS STORIES REELS TAGGED
☄️FALSAFA YA LEGACY/KUACHA ALAMA
FALSAFA YA KAZI/WORK ✅✅

….. NAZIDI KUAMINI FALSAFA NDIO SULUHU YA NAMNA SAHIHI TUNAWEZA KUISHI NA KUONA MAANA YA MAISHA YA KILA SIKU. @wasafifm 

Wapo watu hai ambao kwao wanaacha ALAMA kwa maisha yako na kazi wanazofanya zinaleta mafanikio na manufaa kwao na kwa watu @diamondplatnumz @davidmulokozi @leo_.mendez15 @kawanga18m @loloh_smile_ @georges____kitchen @josephmramba_ na wengine wengi si tu wanatafuta kipato bali pia mchango wao unaonekana wazi katika jamii bila majina yako kuwa moja kwa moja kwenye brands zao. Sina maana tofauti ila lengo langu ni kwamba unaweza kuacha alama bila makelele mengi kazi yako ikawa utambulisho wako… kama walivyoishi akina Steven Biko, Mama Teresa, Nelson Mandela, Mwalimu Nyerere, Martin Luther King Jr. na wengine… 🫡☄️

Soma zaidi kwenye kitabu SASA NINAJUA @mkukinanyota  @paulinesbookand
18
☄️☄️FALSAFA YA SHUKRANI, UADILIFU NA MAONO. ✅

… Soma zaidi kwenye SASA NINAJUA @ Mkuki na Nyota au www.amanlyimo.com
#life #lovely
48
👏🏾SHUKRANI🙏🏾
Ninamshukuru Mungu kwa kunipa kipaji na nafasi ya kipekee kupitia @aman_lyimo_ , ya kuniamini na kunipa nafasi ya kuonyesha kipaji changu cha uchoraji wa picha za Penseli na kuweza kumchora na kuitoa kama zawadi maalum kwa Mgeni Rasmi @davidmulokozi Mwenyekiti wa Makampuni ya Mati Super Brands Limited, katika Uzinduzi wa Kitabu chake, SASA NINAJUA ambapo katika hafla hiyo, tar 19/9/2026, Mgeni Rasmi aliwakilishwa vyema na Ndg @mwidadimikidadi, Chief of Logistics @matisuperbrandsltd.

Ilikuwa ni heshima kubwa kwangu, kitendo hiki kuwa alama ya shukrani na upendo. Kila kazi ya mikono yetu inapopata nafasi ya kuheshimiwa mbele za watu, ni Mungu peke yake anayestahili sifa.

Asante @aman_lyimo_ kwa kuniamini. Ahsante sana @davidmulokozi kupokea zawadi hii🙏🏾🙏🏾

@davidmulokozi
@matisuperbrandsltd
@mwidadimikidadi
@david_pencil_art
@miss_catie_michael
30
Nilifika NIT kama mwanafunzi, lakini nikakutana na mtu aliyebadilisha safari yangu. 📸
@highmark_emmanuel alinipa nafasi, akanipa imani, na akanifundisha Photography—leo kile alichonifundisha kimekuwa sehemu ya jina langu: @perfect_artstudio Studio.

Baadhi ya watu hawaji tu kwenye maisha yako… wanaacha alama ndani yako. 🙏🏾📸
36
26
back to up