Instagram story viewer> @intelligencefx> Posts
76.7K
followers
9
following
🌏| Community of Professional Traders
👥| Anchored @intelligencefunds | @intelligencefloor
👇| Become Profitable and consistent trader
POSTS STORIES REELS TAGGED
To Our Community 🏆

Tumejifunza pamoja katika bootcamp ya siku 45. Wengine tulikutana physically na wengine tukaelekezana online.

Event ya leo haikuwa kwa ajili ya kumaliza safari ya bootcamp 2026 bali ilikuwa kwa ajili ya kuanzisha safari ya KUSHINDA PAMOJA

Leo tumeagana tukiwa familia yenye target moja tu, Kuwa Bora Leo Kuliko Jana Kwenye Kila Trade Tutakayofanya 💪 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @intelligencefx
20
an hour ago
Download
Kwenye Bootcamp ya mwaka huu (2026) tulitumia siku 45 kubadili beginners wa masuala ya trading kuwa pro

Kwenye event ya leo tumetumia masaa machache sana kubadili wanafunzi kuwa wana-community wa @intelligencefx na kwetu hii ni baraka kubwa

Hatukuishia kupongezana kwa uelewa tulioukuza ndanibya siku 45 za Bootcamp lakini pia tulifahamiana kuhusi nini tunafanya nje ya trading na kuboresha uhusiano wetu

Event ya leo 🔥🔥 | Tukutane Bootcamp Ijayo taken in Dar es Salaam, Tanzania by @intelligencefx
3
2 hours ago
Download
Tunapofanya event kama hizi za kuwakutanisha wana-community wa @intelligencefx kinachotupa faraja ni kuona watu ambao kwenye Day 1 walikuwa kwenye giza kubwa la masuala ya trading lakini baada ya siku 45 tu wapo kwenye level ambayo wengi waliona kama ni muujiza kuifikia

Faraja ya pili ni kukutana na wanafunzi wenzetu ambao tumeluwa tukijifunza kwa miezi miwili kwa njia ya online lakini leo tumegonga cheers pamoja na kubadilishana mawazo kuhusu tradingi lakini pia kuhusu maisha nje ya trading na njia bora za kuwa stable financially taken in Dar es Salaam, Tanzania by @intelligencefx
4
2 hours ago
Download
Kila trader anahitaji mtu atakayem-challange, atakayemuuliza kwanini uliingia hapa? Je analysis hii ipo sahihi? Hapa umekosea na wakati mwingine utakapofanya kila kitu kwa usahihi basi akupongeze bila hiyana yoyote

Ndio maana tunaanda events kama hizi kila tunapomaliza bootcamp zetu. Lengo ni kujenga urafiki ambao unaweza kuwa na manufaa makubwa kwenye kazi yetu hii ya trading

Tupo very proud na kila aliyefika kwenye event ya leo na kuungana na wana-community wenzetu taken in Dar es Salaam, Tanzania by @intelligencefx
5
2 hours ago
Download
Hii ndio tunaita ‘Beuty With Brains’ 😍

Warembo katika community yetu ya Intelligence FX waliamua kuweka focus kwenye bootcamp ya 2026 na baada ya siku 45 tu wapo hapa wakiwa na uelewa mkubwa kwenye masuala ya trading

Trading sio ya watu wa aina fulani, ni yeyote atakayeamua kufanya maamuzi sahihi na kujifunza kutoka kwa watu sahihi.

Hujachelewa, Ukiwa Tayari Kufanya Maamuzi Sahihi Tu-DM Ili Kuweka Nafasi Yako Kwa Ajili ya Bootcamp Ijayo taken in Dar es Salaam, Tanzania by @intelligencefx
10
2 hours ago
Download
Ilianza kama darasa la kujifunza trading na sasa ni community ya kupeana madini kuhusu maisha in general

Katika event ya leo hatujaishia kupongezana tu kwa kufanikiwa kufikia hatua ya kufanya analysis na ku-trade kwa faida bali pia tumepeana expirience ya maisha taken in Dar es Salaam, Tanzania by @intelligencefx
5
3 hours ago
Download
Tulielekezana, tukakosoana na sasa tunajadiliana na kufahamiana baada ya bootcamp ya siku 45

Event ya leo imetukutanisha physically na hakika kila mmoja wetu amejifunza mengi zaidi. 

We are so proud of our community 🏆 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @intelligencefx
5
3 hours ago
Download
Tumealikika 🔥! Wana-community wa bootcamp 2026 tumekuja kujumuika pamoja lakini hatujaja kinyonge, tumekuja kwa style  sababu sisi ni winners team 🏆 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @intelligencefx
15
4 hours ago
Download
Tunakutana, Tunajadiliana, Tunasherehekea Pamoja. Hii ni community ya bootcamp 2026 katika event iliyotukutanisha pamoja na kufahamiana zaidi

Wengine tulijifunza tukiwa online na wengine tulikuwa physically darasani lakini leo wote tumekutana pamoja taken in Dar es Salaam, Tanzania by @intelligencefx
18
5 hours ago
Download
Siku 45 za Bootcamp 2026 zilikuwa ni siku za utulivu, kutafakari na kujifunza kwa kina kuhusu trading na financial stability lakini leo ni siku ya ku-engage na kusherehekea knowledge tuliyo-share ndani ya siku zote hizi

Leo tunakutana tukiwa na confidence ya ku-trade huku tukiwa na asilimia kubwa za kupata profit

Maandalizi ya event hii yamekamilika na tayari tuna-enjoy kwa pamoja by @intelligencefx
18
5 hours ago
Download
Masaa machache yamebaki kuelekea kwenye event yetu na kila kitu kiko tayari, ila bado kuna kitu kimoja nimekuwa nikifikiria tangu asubuhi

Siku 45 zilizopita wengi wetu hatukujuana kabisa, wengine walikuwa online wengine physically, kila mtu akiwa na sababu yake ya kuja. Kuna aliyekuja kwa sababu amechoka kupoteza pesa, kuna aliyekuja kwa sababu anataka kubadilisha maisha ya familia yake, na kuna aliyekuja kwa sababu tu alikuwa anatafuta watu wanaomuelewa

Tukapitia Beginners, Technical, Psychology, Propfirm masterclass mpaka Stock & Personal Finance, na kwenye hiyo safari tukajifunza kitu ambacho hakiko kwenye course yoyote. Trading ukiwa peke yako ni ngumu sana, ila ukiwa na watu wanaokuelewa, wanaokuuliza umetrade nini leo na wanaokushika mkono ukikosea, inakuwa safari tofauti kabisa

Ndiyo maana huwa tunasema lone wolf anaweza kushinda trade moja ila pack inashinda mwaka mzima

“Talent wins games, but teamwork and intelligence win championships.”

Kesho tunakutana uso kwa uso kwa mara ya kwanza baada ya hizo siku 45, kwenye the most premium experience tuliyowahi kuandaa kwa ajili ya IFX 2026/27 Bootcamp members pekee. Mazingira ni mazuri lakini kitu kikubwa zaidi ni watu utakaokutana nao, connections utakazojenga na mazungumzo ambayo yanaweza kukufungulia milango usiyoitarajia

Kama umekuwa ukifuatilia safari yetu kwa mbali na ukatamani kuwa sehemu yake, huu ndio muda wako. Ukijiunga na bootcamp leo, kesho utakuwa pamoja nasi badala ya kuona picha online baadaye

tuwasiliane sasa

📲 WhatsApp: 0625 554 222 by @intelligencefx
27
a day ago
Download
Siku 45 zilizopita, tulianza bootcamp kama strangers wengine online wengine physically 

Wengine hawakujua hata candle ni nini. Wengine walikuwa wameshaunguza account zaidi ya mara moja. Wengine walikuja kimya kimya, wakiwa wamechoka kujaribu peke yao.

Usiku baada ya usiku, tulikaa pamoja.
Beginners course. Technical course. Psychology course. Propfirm masterclass. Stock & Personal Finance.

Kulikuwa  na siku nzito zenye maswali mengi na maswali yaliyoamsha watu saa nane usiku. Lakini hakuna aliyepitia hayo peke yake.

Na kitu ambacho wengi kwenye trading hawakijui strategy inaweza kufundishwa na mtu yeyote. Kinachoifanya IntelligenceFX kuwa tofauti si chart, ni watu. Ni ile hali ya kujua kuna mtu atakushika mkono siku utakapotaka kukata tamaa.

“Talent wins games, but teamwork and intelligence win championships.”

Lone wolf anaweza kushinda trade moja Pack inashinda mwaka mzima ndiyo maana sisi hatushindi kwa bahati. Tunashinda kwa consistency.

Ijumaa hii, kwa mara ya kwanza baada ya siku 45, tunakutana uso kwa uso hii si event ya kawaida tumeandaa the most premium experience ever kwa ajili ya IFX 2026/27 Bootcamp members pekee. Mazingira ni ya hadhi, lakini thamani halisi iko kwenye chumba chenyewe: watu utakaokutana nao, connections utakazojenga, na mazungumzo yanayoweza kubadilisha mwelekeo wa maisha yako.

Mlango huu hautafunguliwa kwa kila mtu ni kwa wale walioamua na habari njema ni kwamba bado kuna nafasi.
Ukijiunga na bootcamp sasa, Ijumaa hii utapata nafasi ya kuattend kwenye hii event Hutakuwa ukiangalia picha zetu online  ukijiuliza “ingekuwaje kama ningekuwepo?”

📲 WhatsApp: 0625 554 222 by @intelligencefx
87
a day ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up