Instagram story viewer> @intelligencefloor> Posts
8.2K
followers
8
following
🌍 | Africa’s First Professional Trading Floor
👥 | Traders Behind @intelligencefunds | @intelligencefx
📍 | 4th floor, Penisula Noble Center - Masaki
POSTS STORIES REELS TAGGED
market breakdown at the floor 📊

Hapa tunashare jinsi tunavyo-view market, tunachotazama, na namna tunavyopanga ku-manage different market conditions,

Kwa new traders, this is one of the best moments to get real experience ya ku-deal na technical analysis kwenye mazingira halisi, kusikia mitazamo tofauti, ku-challenge your own analysis na kuelewa kwa nini trader anaweza kuona kitu tofauti na mwingine,

Experience ya aina hii ni kwa ajili ya kukujenga ndani ya muda mfupi zaidi kuliko kujifunza theory pekee,

professional trading is not just about knowing what to look at, it’s about learning how to think, analyse and manage the market# by @intelligencefloor
14
9 days ago
Download
tuna very special physical event this week, 

baada ya mfululizo wa siku 45 za ku-share true financial market and money management skills, intense practical kupitia 2026/2027 Bootcamp & Mentorship, 

IntelligenceFx Team tunakutana na bootcamp members wetu kwa siku maalum ya kufahamiana zaidi, ku-share ideas, kujenga connections na ku-create opportunities za kushirikiana ndani na nje ya trading, 

hatutaki mahusiano yetu yaishie online tu, 

we want to build a real community, people who can connect, collaborate and grow together, 

na honestly, this is going to be one of the best days of the quarter, 

the best part?

bado unaweza kuwa sehemu ya hii experience kwa kujiunga na 2026/2027 Bootcamp & Mentorship, 

yes, physical sessions zinakaribia kuisha, lakini recordings za sessions zote zimehifadhiwa kwa quality ya juu sana na zinapatikana ndani ya IntelligenceFx App, 

na ukijiunga, hupati access ya bootcamp recording pekee,

unapata access ya:

• Foundation Course
• Advanced Technical Course
• Trading Psychology Training
• Prop Firm Masterclass
• 2026/2027 Bootcamp & Mentorship recordings
• Training mbalimbali tulizowahi kufanya
• Resources zote zinazopatikana ndani ya IntelligenceFx App

na currently unapata package hii kwa zaidi ya 80% discount

but here is the important part…

this is the last opportunity to join this bootcamp,

Soon this month tutafunga kabisa admission,

na kwa nature ya program hii, ukikosa nafasi hii, bootcamp nyingine inaweza kuchukua miaka kabla haijarudi,

Wasiliana nasi WhatsApp 0625554222,

if you’ve been waiting for the right time to join IntelligenceFx, this might be your last chance for a very long time 🔥 taken in Masaki by @intelligencefloor
20
9 days ago
Download
first week of a new quarter, happy new month traders, 

we’re entering the final quarter of the year, and honestly, this is a good time to pause and reflect, 

look at what worked, what didn’t, the mistakes you made, the lessons you learned, and most importantly, how you can do better this quarter, 

don’t feel pressured to force results, just focus on making better decisions, managing your risk and staying consistent, 

one good trade doesn’t make you a great trader, and one bad trade doesn’t make you a failure, 

keep learning, keep improving, keep showing up, 

let’s make this quarter a good one. by @intelligencefloor
13
11 days ago
Download
hii ndio sababu tunafanya tunachofanya,

to transfer financial market skills at a level that changes lives and sets new standards,

these words are more than powerful,

stay close,

watch how phenomenal performance unfolds, taken in Masaki by @intelligencefloor
36
12 days ago
Download
Ilikuwa ni special Q&A session kwenye 2026/27 Bootcamp & Mentorship Program,

Brother Richard aliweza ku-share experience yake kwenye trading journey, lessons alizojifunza pamoja na ushauri muhimu kwa bootcamp members wenzake,

Bootcamp record zote zipo ndani ya @intelligencefxapp, 

Leo tunaendelea na part ya stock market masterclass, ya jana ilikuwa so powerful 🔥, 

Trading is more than just charts, entries and profits, ni safari ya discipline, patience, consistency na continuous learning,

Let’s experience the professional side of trading. by @intelligencefloor
8
15 days ago
Download
Hongera sana kwa brother Kelvin Minja kwa kufanikiwa kupita Phase 1 na Phase 2 ya $10,000 Prop Firm Challenge 👏🔥

Kelvin ni mmoja wa community members wetu ambao tumekuwa tukiona journey yake kwa karibu, kutoka kwenye learning, practice, execution na review za trades mpaka kufikia hatua hii

Kupita phases zote mbili za Prop Firm Challenge si jambo la bahati, inahitaji discipline, patience, proper risk management na uwezo wa kufuata trading plan bila kuruhusu emotions ku-control decisions

Na kitu kizuri zaidi ni kwamba Kelvin hakufanya hivi kwa kukimbiza profits, bali kwa ku-focus kwenye process na kulinda account

Kama trader, hii ndiyo mindset tunayopenda kuona

Survive first, stay consistent, then let the results speak

Nyuma ya hii milestone kuna masaa mengi ya kukaa Trading Floor, kufanya analysis, ku-review trades, kujifunza kutokana na mistakes na kuendelea kuboresha execution

Tunafurahia sana kuona members wetu wakibadilisha knowledge na skills wanazopata kuwa real trading results

Brother Kelvin, Phase 1 passed, Phase 2 passed, $10,000 funded account journey secured 💯🔥

Na kama sehemu ya commitment yetu ya ku-support members wanaoonyesha consistency, tunakuahidi kwamba ukipata withdrawal yako ya kwanza kwenye account hii, tutakununulia FREE Prop Firm Account yenye size kubwa kuliko account unayo-trade sasa

Hii si reward tu, ni investment yetu kwenye journey yako ya kujenga professional trading career

Endelea kulinda capital, fuata process yako, kuwa patient na usiruhusu pressure ya kutaka kupata profits haraka ikubadilishe mfumo wako

Hongera sana Brother Kelvin, hii ni hatua nyingine kubwa kwenye journey yako

Keep learning, keep improving and keep growing 🚀📈

Simplicity, Accuracy and Consistency 💯 taken in Masaki by @intelligencefloor
29
17 days ago
Download
kuna kitu kinaendelea ndani ya hii bootcamp ambacho honestly sikutarajia 

na feedback tunazopata kutoka kwa members ni za kutoa goosebumps

Yaani ndio kwanza tuko nusu ya safari, lakini tayari watu wanaanza kuona perspective zao kuhusu trading na maisha kwa ujumla ikibadilika

Hii ndiyo bootcamp ya kwanza yenye experience ya kitofauti kabisa, from live streaming hadi final recordings

Honestly, this one is phenomenal

Personally, nawaonea wivu kidogo bootcamp members wa @intelligencefx 😅

Nafikiria kipindi mimi nilipokuwa najifunza trading, kama ningepata experience kama hii, sijui ningekuwa wapi leo

But for you, you’re not late…

Bado unaweza kuwa sehemu ya bootcamp hii na kupata access ya recordings zote kutoka kwenye comfort ya nyumbani kwako

📲 WhatsApp: 0625554222

Let’s experience the professional side of trading by @intelligencefloor
67
a month ago
Download
A few highlights from our latest Market Breakdown at the Intelligence Floor where we break down the market, sharpen our analysis and prepare with a clear plan before the market moves, 

Hapa tunajenga traders wanaoweza kuuelewa market, kufanya decisions kwa confidence na kuwajibika,

Intelligence Floor → Where traders become professionals taken in Masaki by @intelligencefloor
18
a month ago
Download
Mara nyingi tunalaumu sana strategy pekee but this has to relate so much with your personal habits 

there is no way that ur so undisciplined in other part of life na ukaweza kuona matokeo makubwa kwenye trading ....!!!

Make sure you start by shaping you first before blaming the strategy 

welcome to the professional side of trading 💪 by @intelligencefloor
6
a month ago
Download
Hakuna kitu rahisi kama kukata tamaa kwa hapa mwaka ulipofikia ...!! ukijipimaa toka january hakuna cha maana umefanya its very easier to conclude kwamba tutaanza upya mwakani 

ila ukweli ni kwamba Mwaka bado hujaisha na zimebaki siku 121 paka tuufunge mwaka 2026 na kisaikolojia inahitaji siku 66 tu wewe kujenga tabia fulani au kujifunza kitu fulani na ukaweza kukifanya bila changamoto yoyote. 

So hii ni kama leo unaeza chagua skill na ukajifunza twice paka mwaka uishe hata kama wewe ni slow learner kiasi gani you can make that change today and being honest this is the time you should start learning and taking your forex career serious 

Usisubiri January ndo uanze na new year new goals ….!!!!

Leo ukisecure seat ya IFX 202/27 bootcamp unapata 

→ Courses zote zinazogusa pillars muhimu za trading
  Hapa namaanisha Foundation cours , Technical course ,Phsychology course and numbers side of trading 
→ Previous Bootcamp Series zote
→ Accelerator Program
→ Community ya serious traders
→ Siku 45 za Live Streamed Classes
→ Case Studies, Assignments & Q&A → Bonus: Stock Market Masterclass

Na yote haya unapata kwa zaidi ya 90% discount,

Tarehe tisa ndio mwisho wa admision kwenye bootcamp hii  na intake hii ikifungwa hujui
utasubiri muda gani kupata nyingine, gap ya previous Bootcamp na hii ni zaidi ya miezi 18,

Kama umechoka kuchoma account, ku-fail challenges na kuanza upya kila wakati, hii ni nafasi ya kujenga skills ambazo zitabaki na wewe maisha yote,

Usi-invest kwenye challenge nyingine kabla huja-invest
kwenye trader ambaye ata-trade hiyo challenge,

Chek us on this whatsApp +255 625 554 222to reserve your seat 

Our mission is to impact millions by @intelligencefloor
6
2 months ago
Download
New week, new chance to do better than you did last week,

New goals, new opportunities, new moves,

Stay focused, stay disciplined and keep pushing,

This week, we go harder, by @intelligencefloor
22
2 months ago
Download
When was the last time ulikaa chini with your trading patner and actually discuss about the trades that you take or the opportunity that you see....? by @intelligencefloor
22
2 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up