Instagram story viewer> @intelligencefloor> Tagged
POSTS STORIES REELS TAGGED
Hapa hatuangalii tu kama unaingia sokoni na kufanya trades, tunataka kujua pia unaelewa nini na umefika wapi kwenye learning process yako.

Ndio maana kila member anapewa hii document ya kujaza, ili tuweze kuona progress yake, vitu alivyoelewa na maeneo ambayo bado anahitaji kuongeza juhudi.

Forex ni zaidi ya kuangalia charts kila siku. Unatakiwa uweze kuelewa unachojifunza na kuona mabadiliko kwenye uwezo wako.

We’re not just building traders, we’re building understanding.

Sisi @intelligencefx members na timu ya @intelligencefloor, dhamira yetu ni kuhakikisha kila member anapata maarifa sahihi, anaendelea kukua na anakuwa na uwezo wa kujivunia safari yake ya kujifunza kupitia uelewa, nidhamu na maendeleo yanayoonekana.
18
Kuchambua soko si kuwa na bias ya upande mmoja. 

Ni kuelewa kinachotokea sokoni kwa wakati husika, kina maana gani sasa, na kinaweza kumaanisha nini kwa wakati ujao.

Hapa @intelligencefloor tunapata wasaa mzuri kila siku wa kuchambua soko pamoja na kuelewa kwa kina kinachoendelea. 

Leo nakupa nafasi ya kuona kwa macho yako kinachofanyika hasa kwenye breakdown zetu. 

👉 Tembelea YouTube channel ya @intelligencefx ujifunze zaidi.

💬 Kisha niambie kwenye comment: umejifunza nini cha tofauti leo?
12
it’s not about money, ni kuhusu kupeana motisha, kushare powerful trading ideas na kujenga team yenye uwezo wa kufanya kazi pamoja, ku-execute with confidence, ku-journal trades na kudumisha discipline 🔥

unatamani kuona analysis na review ya trades zilizofanyika recently na traders wetu pale kwenye trading floor? 👀

kaa karibu na YouTube channel ya IntelligenceFx this week, leo tunaanza na video namba 1, na tuna mengi ya ku-share kutoka kwenye trading floor

📺 leo saa 21:00, YouTube ya IntelligenceFx

don’t miss this one 🔥
36
market breakdown at the floor 📊

Hapa tunashare jinsi tunavyo-view market, tunachotazama, na namna tunavyopanga ku-manage different market conditions,

Kwa new traders, this is one of the best moments to get real experience ya ku-deal na technical analysis kwenye mazingira halisi, kusikia mitazamo tofauti, ku-challenge your own analysis na kuelewa kwa nini trader anaweza kuona kitu tofauti na mwingine,

Experience ya aina hii ni kwa ajili ya kukujenga ndani ya muda mfupi zaidi kuliko kujifunza theory pekee,

professional trading is not just about knowing what to look at, it’s about learning how to think, analyse and manage the market#
14
tuna very special physical event this week, 

baada ya mfululizo wa siku 45 za ku-share true financial market and money management skills, intense practical kupitia 2026/2027 Bootcamp & Mentorship, 

IntelligenceFx Team tunakutana na bootcamp members wetu kwa siku maalum ya kufahamiana zaidi, ku-share ideas, kujenga connections na ku-create opportunities za kushirikiana ndani na nje ya trading, 

hatutaki mahusiano yetu yaishie online tu, 

we want to build a real community, people who can connect, collaborate and grow together, 

na honestly, this is going to be one of the best days of the quarter, 

the best part?

bado unaweza kuwa sehemu ya hii experience kwa kujiunga na 2026/2027 Bootcamp & Mentorship, 

yes, physical sessions zinakaribia kuisha, lakini recordings za sessions zote zimehifadhiwa kwa quality ya juu sana na zinapatikana ndani ya IntelligenceFx App, 

na ukijiunga, hupati access ya bootcamp recording pekee,

unapata access ya:

• Foundation Course
• Advanced Technical Course
• Trading Psychology Training
• Prop Firm Masterclass
• 2026/2027 Bootcamp & Mentorship recordings
• Training mbalimbali tulizowahi kufanya
• Resources zote zinazopatikana ndani ya IntelligenceFx App

na currently unapata package hii kwa zaidi ya 80% discount

but here is the important part…

this is the last opportunity to join this bootcamp,

Soon this month tutafunga kabisa admission,

na kwa nature ya program hii, ukikosa nafasi hii, bootcamp nyingine inaweza kuchukua miaka kabla haijarudi,

Wasiliana nasi WhatsApp 0625554222,

if you’ve been waiting for the right time to join IntelligenceFx, this might be your last chance for a very long time 🔥
20
first week of a new quarter, happy new month traders, 

we’re entering the final quarter of the year, and honestly, this is a good time to pause and reflect, 

look at what worked, what didn’t, the mistakes you made, the lessons you learned, and most importantly, how you can do better this quarter, 

don’t feel pressured to force results, just focus on making better decisions, managing your risk and staying consistent, 

one good trade doesn’t make you a great trader, and one bad trade doesn’t make you a failure, 

keep learning, keep improving, keep showing up, 

let’s make this quarter a good one.
13
hii ndio sababu tunafanya tunachofanya,

to transfer financial market skills at a level that changes lives and sets new standards,

these words are more than powerful,

stay close,

watch how phenomenal performance unfolds,
36
Kabla hujafund account yako au kuplace trade kwa sababu ya NFP leo, jiulize haya maswali ni  manne tu ..!

	1.	Wewe ni trader au gambler?
	2.	Risk unayotaka kuchukua iko ndani ya trading plan yako?
	3.	Unatrade kwa uamuzi wako, au umeaminishwa kwamba NFP ni shortcut?
	4.	Unaelewa kweli news zinasogeza market vipi, na kwa nini?

Kama umesita kwenye hata swali moja, endelea kusoma...! nikueleweshe kitu 

News trading ni nini?
Ni kutrade wakati wa matangazo makubwa ya kiuchumi (kama NFP) ukitegemea price itamove kwa speed kubwa sana

at some point inasound kama opportunity Ila huu ndo uhalisiaa unaotokea kwenye hizi dakika chache 

- Spread zinaongezeka mara 5–10. Unaingia ukiwa tayari kwenye hasara.
- Slippage Unaweka order kwenye price fulan, inafunguliwa price nyingine kabisa.
- Stop loss zinapigwa price inaruka pande zote mbili ndani ya sekunde, inakutoa, kisha inaenda direction uliyotabiri.

Sasa jiulize: kama news trading ni rahisi hivi, kwa nini kila mwezi kuna “NFP group,” “NFP live session,” “NFP signals” zinazouzwa?

Kwa sababu volatility inaleta volume ,Volume inaleta pesa kwa broker na kwa anayekuuzia ticket 

Kama umelipia group au event ili “kula NFP,” jitafakari mara mbili.

You are the product.

Welcome to the professional side of trading 💪
17
back to up