Instagram story viewer> @jerrykalindo> Posts
2.5K
followers
792
following
INJILI | MAOMBI | NOVENA | ROZARI MARATHON
#tmcsduce #biblemarathon #bibleconnect
POSTS STORIES REELS TAGGED
Mpeni Bwana utukufu mpeni Bwana Utukufu na nguvu.
Zaburi. 96:1-10
Ikiimbwa umaridadi mkubwa na mzaburi wetu @mwalongoazalia

#ukatolikini by @jerrykalindo
0
11 hours ago
Download
Haya #jitwikegodorouende ukamwimbie mungu bila majivuno.

#ukatolikini 
#tym14 by @jerrykalindo
1
14 hours ago
Download
 by @jerrykalindo
0
18 hours ago
Download
 by @jerrykalindo
0
a day ago
Download
POPE LEO XIV IS FIT🥰
Pope Leo XIV is fit to be discharged from Gemelli Hospital today, October 17, 2026 following a highly successful recovery from lung cancer surgery.

MEDICAL UPDATES:
From his doctors, Dr. Luigi Carbone and Professor Stefano Margaritora, confirm that blood tests and a chest X-ray completed this morning show his clinical condition has stabilized and improved enough for him to return to the Vatican this afternoon.

HEALTH STATUS
Hospital Discharge:
He is scheduled to leave the hospital in the early afternoon.

His post-operative recovery has progressed rapidly, allowing him to carry out normal daily activities completely on his own.

On Friday, he was already standing unaided and celebrating Mass with the hospital staff.

PUBLIC APPEARANCE:
The Vatican announced he will make his first public appearance tomorrow, Sunday, to lead the traditional Angelus prayer from the window of the papal apartment.

MEDICAL BACKGROUND:
The 71-year-old pontiff underwent a 90-minute operation on Tuesday, October 13, to remove the lower lobe of his right lung after being diagnosed with lung adenocarcinoma or a common form of non-small cell lung cancer.

Plans are currently still moving forward for his upcoming apostolic trip to South America scheduled for November.

#jerrykalindo #tmcsduce #viwawa #vaticannews by @jerrykalindo
0
2 days ago
Download
PAPA LEO XIV AMEPONA:
Papa Leo XIV ataruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Gemelli leo, tarehe 17 Oktoba 2026, kufuatia kupona vyema sana baada ya kufanyiwa upasuaji wa saratani ya mapafu.

Taarifa za kitabibu kutoka kwa madaktari wake, Dkt. Luigi Carbone na Profesa Stefano Margaritora.
Taarifa zinathibitisha kuwa vipimo vya damu na eksirei ya kifua vilivyofanyika asubuhi ya leo vinaonyesha kuwa hali yake ya kiafya imetengemaa na kuimarika kiasi cha kumwezesha kurejea Vatikani mchana wa leo. 

HALI YA AFYA:
Amepangiwa kuondoka hospitalini mapema mchana wa leo.

Baba Mtakatifu Amepona kwa kasi kubwa baada ya upasuaji, jambo linalomwezesha kufanya shughuli zake za kawaida za kila siku bila kuhitaji msaada wowote.

Hadi kufikia Ijumaa, alikuwa tayari anaweza kusimama mwenyewe bila msaada na aliweza kuongoza Ibada ya Misa pamoja na wafanyakazi wa hospitali hiyo. 

KUONEKANA HADHARANI:
Vatikani imetangaza kuwa atajitokeza hadharani kwa mara ya kwanza kesho, Jumapili, ili kuongoza sala ya jadi ya 'Angelus' akitokea dirishani katika makazi yake.

HISTORIA YA MATIBABU:
Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki, mwenye umri wa miaka 71
Alifanyiwa upasuaji wa dakika 90 siku ya Jumanne, tarehe 13 Oktoba, ili kuondoa sehemu ya chini ya pafu lake la kulia baada ya kugundulika kuwa na 'adenocarcinoma' ya mapafu; aina ya saratani ya mapafu.

Mipango inaendelea kama ilivyopangwa kwa ajili ya ziara yake ya kichungaji barani Amerika ya Kusini, iliyopangwa kufanyika mwezi Novemba.

WITO: Tuzidi kumuombea Baba Mtakatifu afya njema na uzima ili aendelee kuliongoza Kanisa katika hali ya ushindi na kumtukuza Bwana Yesu Kristo.

#jerrykalindo #tmcsduce #viwawakurasini #vaticannews by @jerrykalindo
0
2 days ago
Download
HUYU NDIYE ASKOFU MPYA WA JIMBO KATOLIKI LA HAIMEN - CHINA:
Ignatius Ding Zuyao.
Aliwekwa wakfu kuwa askofu mpya wa Kikatoliki wa Jimbo la Haimen katika Mkoa wa Jiangsu, China, mnamo tarehe 15 Oktoba 2026.

IGNATIUS DING ZUYAO:
Alizaliwa mwaka 1986 Qidong, Jiangsu China, na ana umri wa miaka 40 hadi sasa.
Alikwenda kusoma katika seminari ya Sheshan iliyoko Shanghai mwaka 2001 hadi 2004.

Alipata digrii yake ya Falsafa na Teolojia ya Kanisa katika Seminari ya Teolojia iliyopo Beijing.

Aliwahi kuhudumu kama Paroko wa Haimen 27/10/211.
Pia alihudumu kama Paroko wa Linjiang na Caojiazhen.
Na February 2023 kama Paroko wa Qingnian Donglu huko Nantong.
 
Tarehe 15 Oktoba 2026 DING ZUYAO alisimikwa na kuwekwa Wakfu kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Haimen.

Muktadha wa Uteuzi:
Aliteuliwa na Papa Leo XIV chini ya mfumo wa makubaliano ya muda kati ya Vatikani na China.

Katika hafla hiyo iliyoidhinishwa na serikali, mamlaka za eneo hilo na Chama cha Uzalendo cha Wakatoliki wa China zilitambua uteuzi huo kupitia Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini China.

Tumtakie DING ZUYAO neno la Baraka na matashi mema, Huduma na utume  uliyo tukuka zaidi kwa maendeleo ya Kanisa Duniani kote.

#jerrykalindo #viwawa #tmcsduce taken in Haimen, Guangdong, China by @jerrykalindo
3
2 days ago
Download
 by @jerrykalindo
0
2 days ago
Download
Utukufu (makalala CTC) live performance dominika ya 28.

#catholic #ukatolikini by @jerrykalindo
8
2 days ago
Download
 by @jerrykalindo
0
2 days ago
Download
 by @jerrykalindo
0
5 days ago
Download
 by @jerrykalindo
3
5 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up