Instagram story viewer> @jerrykalindo> Tagged
2.5K
followers
795
following
INJILI | MAOMBI | NOVENA | ROZARI MARATHON
#tmcsduce #biblemarathon #bibleconnect
POSTS STORIES REELS TAGGED
Tazama raha za kumwimbia Bwana tukutene tarehe 08.11.2026 Pale EACLC, Ubungo uenjoy mziki mtakatifu.

#ukatolikini 
#jitwikegodorouende
17
Najua kuna wakati maisha yanaweza kuwa magumu kiasi cha kukufanya ujisikie umechoka, umepoteza matumaini na hujui kesho yako itakuwaje. Lakini nataka nikukumbushe jambo moja muhimu kuwa usiangalie ukubwa wa matatizo yako kuliko ukuu wa Mungu aliyekuumba.

Mtazame Mungu usitazame shida zako, huenda kesho ikawa bora zaidi kuliko leo.

#kanisakatoliki #muzikimtakatifu #mkatolikidaima #kwayakatolikitanzania
10
back to up