Instagram story viewer> @johnjakson_tz> Posts
5788
posts
270.3K
followers
2407
following
Radio & TV Personality| @cloudsfmtz
GhettoPodcast 🎙️
Drip Influencer⌛️
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Tajiri Dr Willy Chambulo ametupa mtazamo wake linapokuja suala lakudrip 😊 #DRIPCHEK by @johnjakson_tz
1k
2 months ago
Download
Dr @amnsekela anazingatia Saa na Viatu vikali kwenye Drip zake 🔥 #CRDBBankCEOAwards2026 by @johnjakson_tz
48
3 months ago
Download
Mteja hatongozwi” 😁@dominic_mmasi #GhettoPodcast, Full Episode Link kwenye bio Powered By @tutume_worldwide by @johnjakson_tz
515
6 months ago
Download
Kwakuwa ni ngoma ya zamani basi @_praise_wisdom ame-dedicate wimbo huu kwa watu wazima wote. Hii ni #XXLUnplugged utaisikia kila siku ya Alhamis🔥 Producer @eliastza Sound Engineer @djscratchdesigner 🎥 @ali_mapichapicha_ ✍️ @neypaul01 by @johnjakson_tz
625
2 days ago
Download
Msanii Lil Wayne amesema yeye ni muoga wakulala hivyo hakumbuki mara ya Mwisho kulala ilikuwa ni lini, @drisaacmaro ametuelezea kuhusu changamoto inayoweza kujitokeza endapo mtu asipopata usingizi. #Whatspoppin by @johnjakson_tz
720
2 days ago
Download
Erling Haaland amegeuza neno moja tu, “Nice,” kuwa moja ya saini zake maarufu zaidi kwenye Instagram. Mshambuliaji huyo wa Manchester City amekuwa akiweka(comments) kwenye post za viral, meme na fan edits, kisha kuacha neno moja tu: “Nice.” #Whatspoppin by @johnjakson_tz
203
3 days ago
Download
@clickmaster_1 kwenye #DRIPCHEK 😊🔥🔥 by @johnjakson_tz
97
4 days ago
Download
Unaambiwa Mwanamke mmoja aliyekiss na Chris Brown tejini huenda akaachwa baada yamume wake kutaka kutoa Talaka, sikia zaidi hapa #Whatspoppin by @johnjakson_tz
789
8 days ago
Download
Nyota wa England na Real Madrid, Jude Bellingham, licha ya Timu yake kutolewa jana Bado ameendelea kuwa gumzo kubwa ndani na nje ya uwanja wakati wa Kombe la Dunia 2026, huku umaarufu wake ukipanda kwa kasi isiyo ya kawaida, sikia zaidi kwenye #Whatspoppin.Cheza Mchongopesa kwa:‎‎➡️ Lipa Bili‎➡️ namba ya kampuni-321333‎➡️ kumbu kumbu namba Andika neno PESA‎➡️ Tuma Tsh 1,000 ✔️‎Digala na WorldCup powered by @mchongopesatz ‎ by @johnjakson_tz
341
9 days ago
Download
🧳 by @johnjakson_tz
41
10 days ago
Download
Jay Z ameweza kuwaleta Rihanna na Nas ambaye amewahi kuwa hasimu wake Kwa muda mrefu, kitendo cha Jay Z na Nas kuwa kwenye stage moja, Mchambuzi wa Rap @fredrickmulla ametusanua hapa #Whatspoppin by @johnjakson_tz
59
12 days ago
Download
Unaambiwa Chui 🐆ana aina ya mavazi ambayo ukiyadrip hawezi kukudhuru endapo utakutana naye uso kwa uso #DRIPCHEK 🐆 🔥 by @johnjakson_tz
13
12 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up