Instagram story viewer> @kimaro___jr> Posts
256
posts
16.2K
followers
2120
following
■Brand Ambassador: @kimaro_hardware
■We don't have the power,
But we never say never.✊️
■"SET AND FORGET" BELIEVER. 📈
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Mhindi anafanya vijana wanabadili Fani ambazo zilikua zimejificha.😂 Saloot sana mwanangu @abbyt_allent 🫡🫡🫡Always Follow @zk_digital_ by @kimaro___jr
2k
a year ago
Download
Eboh.....!😎👉@kimaro___jr by @kimaro___jr
620
6 months ago
Download
Hizi ndoto zitakuja kutoa Mtu roho. 😂😂😂🙌🙌🙌.Always Follow @zk_digital_ by @kimaro___jr
786
a year ago
Download
Happy birthday to me🍷 by @kimaro___jr
20
18 days ago
Download
Leo itakapofika majira ya saa nne usiku Wapenzi wote wa Football ulimwenguni Wataelekeza macho yao katika dimba la AT&T Stadium lililopo Arlington, Texas, Marekani (eneo la Dallas). Kushuhudia moja kati ya battle bora kwenye World Cup ya 2026 kati ya 🇵🇹🆚️🇪🇸 Mara ya mwisho walipokutana kwenye Fainali ya UEFA Nations League 2025, walitoka sare ya 2-2 na Portugal ikaibuka bingwa kwa mikwaju ya penalti 5-3.Sasa ni vita ya kizazi: 👑 Cristiano Ronaldo akiwa kwenye moja ya safari zake za mwisho za Kombe la Dunia dhidi ya 🌟 Lamine Yamal, nyota anayetikisa dunia kwa sasa.Je, uzoefu wa Ronaldo utashinda au kasi ya Lamine Yamal itaandika historia? ⚽🍿#PortugalVsSpain #WorldCup2026 #Ronaldo #LamineYamal✍️ || @kimaro___jr by @kimaro___jr
0
19 days ago
Download
@kimaro_hardware Kwetu sisi ni mwendo wa Delivery na Utalii, karibu tukuhudumie. 🫴#kimarohardware #batibora #beinafuu #freedelivery #jenganasi 🏠🔨 by @kimaro___jr
2
19 days ago
Download
@kimaro_hardware sisi kama wakuu wa Majeshi ya Kuuza na Kusambaza vifaa vya Ujenzi Tanzania tunaomba oda na Location yako swala la mzigo kukufikia Tuachie sisi....🤝#kimarohardware #batibora #beinafuu #freedelivery #jenganasi 🏠🔨 by @kimaro___jr
7
22 days ago
Download
@kimaro_hardware sisi ndio Wakuu wa Majeshi kwenye swala zima la kuuza Bati Bora na Imara kwa bei nafuu...🎖#kimarohardware #batibora #beinafuu #freedelivery #jenganasi 🏠🔨 by @kimaro___jr
0
22 days ago
Download
Tafiti zilizofanywa na wataalamu waliobobea kutoka @kimaro_hardware zinaonyesha kati ya watu 10, watu 9 wana ndoto za kuliliki nyumba, na mtu mmoja tayari anamiliki nyumba.😇 Ni ukweli usiopingika kwamba Kila Mtanzania ana ndoto ya siku moja kumiliki nyumba yake. 🏡Safari huanza na uamuzi, na ndoto hutimia hatua kwa hatua. @kimaro_hardware tunajivunia kuwa sehemu ya safari yako kwa kukupatia mabati imara na yenye ubora wa kujenga nyumba ya ndoto zako.💭Usiache ndoto ibaki kichwani, Fanya maamuzi, anza kuijenga ndoto yako leo! 💙🏠@kimaro_hardware ni daraja la kutimiza ndoto zako, sisi tunakuuzia bati bora na imara kwabei nafuu, Karibu tukuhudumie. 🫴 by @kimaro___jr
0
25 days ago
Download
Wataalam wa Location hapa ni Kigoma sehemu gani??😝 by @kimaro___jr
4
25 days ago
Download
Usijiulize Mzigo utakufikiaaje wewe piga simu moja tuu, toa oda yako swala la kukufikia tuachie sisi @kimaro_hardware Wataalamu wa hizi kazi.🫴#kimarohardware #BatiBora #BtiTanzania ##Jenganasi #JengaKwaUhakika by @kimaro___jr
0
a month ago
Download
First Touch.....☄️Sponsored by @kimaro_hardware ✍️ || @kimaro___jr by @kimaro___jr
0
a month ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up