Instagram story viewer> @letsimpactmillionspodcast> Posts
94K
followers
7
following
🏆 Best Podcast of the Year 2026
More than a podcast, it’s a free masterclass
Life | Skills | Business | Money | Investments | Tech
↓ Watch new episode
POSTS STORIES REELS TAGGED
Kijana aliyeitikisa Tanzania mwaka 2016 - 2018…

maisha ya kifahari, pesa nyingi, majanga, biashara na mambo mengi yakatokea, mambo ambayo wengi walisikia, lakini wachache sana wanajua kwa undani, 

Ni miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kuitambulisha forex trading kwa jamii, 

Kwa muda mrefu amekuwa kimya…m lakini sasa amefunguka, 

Kwenye @letsimpactmillionspodcast ame-share kila kitu A - Z,

Real experiences, real lessons, mistakes, maisha ya umaarufu, pesa na ukweli ambao haujawahi kusemwa hivi kabla, 

Kuna sehemu zitaku-inspire, zitakuogopesha, zitakufundisha, zitakufurahisha, zitakupa information ambazo ulikuwa huzijui, 

Hakuna theories ni mambo kwa ushahidi, 

Tumemuuliza mpaka yale maswali ambayo ni ngumu sana kumuuliza mtu, 

baada ya kumaliza kurecord, tulikubaliana wote kuwa…

Hii ni moja ya episode kubwa na itakayokuwa na  impact kubwa kuliko tulivyotarajia, 

Ime-deserve  kupewa nafasi ya kuwa
FIRST OFFICIAL EPISODE ya @letsimpactmillionspodcast, 

Unataka kuona full episode?

👇👇👇

Click link kwenye bio, subscribe kwenye Let’s Impact Millions YouTube channel,
na turn on notifications,

Tukifikisha subscribers 1000 - tuna-drop official episode,

You don’t deserve to miss this,

Our mission is to impact millions.

PRODUCTION CREW

Production House: Studio Space Media
Host: @amrisaly 
Guest: @fransiscomagnetics 
Director:@MikeAtilio
Project manager @mikedastan 
Executive Producer:@LetsImpactMillionsPodcast
Producer : @RealSako_
DOP: @Mosei_Didit
Photographer: @baraka_photography 
Ass. DOP: Mkemia, 
Sound :@EndrewOfficial_tz
Light : mafenche 
Editor 1: @emak_ogx 
Editor 2: @Karoly.Kendrick
Color : @Studio_space_tz & @Kheri_One by @letsimpactmillionspodcast
440
6 months ago
Download
Waiting is over | finally tunatambulisha guest wa new masterclass, 

Doctor Eric Mwasambili mwanzilishi wa  @ubepari_pc, 

Doctor ambae ame-staafu siku ya graduation na akaamua kujikita kwenye biashara ya kuuza laptop na vifaa vingine vya electronics 

Amefanikiwa kuikuza biashara yake kutoka sifuri 0 mpaka kuifanya kuwa well established business, 

Style yake ya kutangaza, elimu ambayo amekuwa aki-share consistently, very impactful events ambazo amekuwa akizifanya na kurudisha kwa jamii mara kwa mara ni vitu ambavyo vimekuwa vikimtambulisha kwenye jamii na kumpa umaarufu mkubwa sana,

Kwenye masterclass hii ameshare A-Z ;
- kuanzia kupata wazo la biashara
- safari yake yote ya biashara, 
- ⁠mbinu zote alizotumia
- ⁠changamoto alizokutana nazo ili wengine wajue namna ya kuzikabili, 
- ⁠mbinu anazotumia kuajiri, kuishi na wafanyakazi na kuwafanya wajitoe kufanya kazi, 
- ⁠namna ya kuandaa system ya promotion iliyomfanya atoke followers 0 mpaka kufika followers zaidi ya 1,400,000 across all social media platforms, 
- ⁠namna anavyo-manage pesa zake, 
- ⁠namna anavyofanya maamuzi magumu yanayoihusu biashara yake na maisha kiujumla, 

N mengine mengi sana ambayo yatafanya ujifunze mambo makubwa sana kuhusu biashara, 

Mambo ambayo huwezi kujifunza popote pale,

Tena for completely FREE,

Hii ni podcast ambayo tumeipa hadhi ya kuwa masterclass sababu kila sekunde ambayo utaitumia kutazama podcast hii ni sekunde ambayo hutaijutia, 

Na kila information ni information ambayo itakufanya useme “i wish ningejua haya mapema” 

Na IMPACT yake itadumu milele, 

Cha kufanya click link kwenye bio, subscribe, turn on notifications and stay tuned, 

Comment and repost then share with friends and let’s impact millions together,

tukipata tu comments 1000, shares 1000 na  repost 1000 tu This weekend tuna-release hii MASTERCLASS, 

Our mission is to impact millions.

Host: @amrisaly 
Guest : @ubepari_pc by @letsimpactmillionspodcast
476
4 months ago
Download
Kuanzia kumiliki pesa nyingi, magari ya kifahari, nyumba ufukweni, biashara, safari za nje ya nchi, freedom na mengine mengi, 

Miaka 10 iliyopita aliweza kuzungumza vitu vyote atakavyovifanya kwenye maisha yake live pale youtube, 

Then akaweza kuvifanikisha, 

Kumekuwa na maswali mengi sana juu ya mambo anayoyafanya, footprint na ukweli wa mafanikio yake, 

Ukweli ambao watu wengi wamekuwa wakiogopa kuuliza hata wanapofanya nae podcast/interview, 

Lakini kwa faida ya wengi tumeuliza maswali hayo yote from A - Z na kumfanya afunguke vitu ambavyo hajawahi kusema popote pale, 

Zaidi ya hapo ameelezea kiundani experience yake ya maisha yote aliyopitia, highs, lows, lessons, namna anavyo-handle pesa, investments, pressure, anavyoweza ku-maintain, kupanga mipango ya muda mrefu na kuitimiza na mengine mengi, 

Kitu ambacho kinafanya episode hii kuwa very EXCEPTIONAL na yamoto kuliko mtu yoyote anavyoweza ku-imagine, 

Na kufanya tuipe hadhi ya kuiita full MASTERCLASS,

Masterclass ambayo kukupa nafasi ya kuiona for free ni upendeleo mkubwa sana, 

Na impact ya masterclass hii itaacha, value, information na alama kubwa sana kwenye maisha yako, 

Kutazama full episode click link kwenye bio au search Let’s Impact Millions pale YouTube, subscribe na turn on notifications,

Tukifika subscribers 15,000 tu tuna-release official episode (less than 700 subscribers to go🚀🔥)

OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS.

Host: @amrisaly 
Guest: @dr_ibrachenza 
Director:@MikeAtilio
Project manager @mikedastan 
Executive Producer:@LetsImpactMillionsPodcast
Producer : @RealSako_
DOP: @Mosei_Didit
Photographer: @baraka_photography 
Ass. DOP: Mkemia, 
Sound :@EndrewOfficial_tz
Light : @mafenche 
Editor 1: @emak_ogx 
Editor 2: @Karoly.Kendrick
Color : @Studio_space_tz & @Kheri_One taken in Oyster Bay, Dar Es Salaam, Tanzania by @letsimpactmillionspodcast
879
5 months ago
Download
Hakuna kitu kilichowapoteza na kuwarudisha nyuma vijana wengi kama kuamini kwenye jeshi la mtu mmoja,

The one-man army mentality ni moja ya limitation kubwa sana ya mafanikio, 

Hakuna biashara kubwa iliyojengwa na mtu mmoja pekee, hakuna kampuni kubwa inayoendeshwa na nguvu ya mtu mmoja tu,

Yet, wengi wetu tunaamini tunaweza kujenga maisha makubwa kwa kupambana wenyewe,

It sounds good in theory, but it rarely works at scale, pia ubinafsi na kila gen z kutaka kuwa founder, 

Ukitaka kuongeza speed ya mafanikio yako, tafuta watu sahihi, unganisha nguvu, gawana majukumu, jifunzeni kutoka kwa kila mmoja, na pambaneni kuelekea kwenye vision moja,

Mimi tangu nimeingia kwenye biashara, sijawahi kuamini kwenye kupambana mwenyewe, kwa sababu sijawahi kuona mafanikio makubwa ninayoyatamani yakijengwa kwa uwezo wa mtu mmoja pekee,

Sometimes unaweza kuona mtu mmoja yupo front, anapokea recognition na kila mtu anazungumzia jina lake, lakini nyuma yake kuna kundi la watu wenye skills, experience na uwezo ambao ndio wanaofanya vision iwe reality,

Ni kweli kupata watu sahihu ni ngumu sababu wewe mwenyewe hujawa mtu sahihi, anza kwa kujijenga wewe mwenyewe kuwa mtu sahihi, mtu mwenye vision, discipline, integrity, uwezo wa kufanya kazi na wengine,

Halafu jifunze kuchagua watu kwa misingi ya character, competence, commitment na alignment ya malengo na sio urafiki,

Ukiona mtaani kwenu, mkoani kwenu au hata nchi nzima ya watu 60M huoni mtu sahihi jua una shida mahali, 

Na lazima ukubali kwamba watu ulioanza nao safari kutoka level 1 mpaka 10 huenda wasiwe  utakaotoka nao 10 mpaka 100, na hilo si lazima liwe tatizo, watu hukua, directions hubadilika na mahitaji ya safari hubadilika,

Na mwisho wa siku, mafanikio makubwa hayajengwi tu na watu wenye uwezo mkubwa, yanajengwa na watu wenye uwezo tofauti wanaoweza kuunganisha nguvu zao kwa ajili ya kitu kikubwa kuliko kila mmoja wao,

The goal is not to be the smartest person in the room, but to build a room full of people who can build something extraordinary together.

Our mission is to impact millions. by @letsimpactmillionspodcast
19
6 days ago
Download
Ni jambo gani kati ya haya umejifunza kupitia experience yako mwenyewe?

Tuambie kwenye comment. 👇

Our mission is to impact millions. taken in Oyster Bay, Dar Es Salaam, Tanzania by @letsimpactmillionspodcast
49
25 days ago
Download
“Kwenye mechi, refa wa katikati si kiongozi.”

Ilikuchukua muda gani kutambua hili? 😊

Let’s Impact Millions Podcast Episode 4 finally imetoka 🔥

Episode hii imejaa real-life experiences, biashara, kuajiriwa, uongozi, investment, changamoto na lessons ambazo unaweza kuzitumia kwenye maisha na biashara yako

🎙️ Host: @amrisaly
👤 Guest: @dominic_mmasi

Episode 4: Safari ya Maisha, Kuajiriwa Hadi Kujenga Biashara | Gari ya 170M kwa Mshahara wa 250K | FULL MASTERCLASS

▶️ Tazama sasa kupitia link iliyopo kwenye bio ya @letsimpactmillionspodcast au search “Let’s Impact Millions Podcast” YouTube

Our mission is to impact millions. by @letsimpactmillionspodcast
6
a month ago
Download
“Naweza kutoa milioni 5 nikampa @mr_mwanya anitangazie, ila siwezi kutoa milioni 1 nikampa Jux anitangazie.”

Let’s Impact Millions Podcast Episode 4 finally imetoka 🔥

Episode hii imejaa real-life experiences, biashara, kuajiriwa, uongozi, investment, changamoto na lessons ambazo unaweza kuzitumia kwenye maisha na biashara yako

🎙️ Host: @amrisaly
👤 Guest: @dominic_mmasi

Episode 4: Safari ya Maisha, Kuajiriwa Hadi Kujenga Biashara | Gari ya 170M kwa Mshahara wa 250K | FULL MASTERCLASS

▶️ Tazama sasa kupitia link iliyopo kwenye bio ya @letsimpactmillionspodcast au search “Let’s Impact Millions Podcast” YouTube

Our mission is to impact millions. by @letsimpactmillionspodcast
329
a month ago
Download
“Pesa iliyotumika kukarabati Room of Jeans ilitoka mfukoni mwangu.”

Let’s Impact Millions Podcast Episode 4 finally imetoka 🔥

Episode hii imejaa real-life experiences, biashara, kuajiriwa, uongozi, investment, changamoto na lessons ambazo unaweza kuzitumia kwenye maisha na biashara yako

🎙️ Host: @amrisaly
👤 Guest: @dominic_mmasi

Episode 4: Safari ya Maisha, Kuajiriwa Hadi Kujenga Biashara | Gari ya 170M kwa Mshahara wa 250K | FULL MASTERCLASS

▶️ Tazama sasa kupitia link iliyopo kwenye bio ya @letsimpactmillionspodcast au search “Let’s Impact Millions Podcast” YouTube

Our mission is to impact millions. by @letsimpactmillionspodcast
24
a month ago
Download
“Ukimsikia binadamu anasema, ‘Mimi sipokei rushwa,’ hujakutana na rushwa wewe.”

Let’s Impact Millions Podcast Episode 4 finally imetoka 🔥

Episode hii imejaa real-life experiences, biashara, kuajiriwa, uongozi, investment, changamoto na lessons ambazo unaweza kuzitumia kwenye maisha na biashara yako

🎙️ Host: @amrisaly
👤 Guest: @dominic_mmasi

Episode 4: Safari ya Maisha, Kuajiriwa Hadi Kujenga Biashara | Gari ya 170M kwa Mshahara wa 250K | FULL MASTERCLASS

▶️ Tazama sasa kupitia link iliyopo kwenye bio ya @letsimpactmillionspodcast au search “Let’s Impact Millions Podcast” YouTube

Our mission is to impact millions. by @letsimpactmillionspodcast
34
a month ago
Download
Unafanyiwa wema mpaka unapiliza… 😅
Ungekuwa uko kwenye situation kama hii, ungefanyaje?

Let’s Impact Millions Podcast Episode 4 finally imetoka 🔥

Episode hii imejaa real-life experiences, biashara, kuajiriwa, uongozi, investment, changamoto na lessons ambazo unaweza kuzitumia kwenye maisha na biashara yako

🎙️ Host: @amrisaly
👤 Guest: @dominic_mmasi

Episode 4: Safari ya Maisha, Kuajiriwa Hadi Kujenga Biashara | Gari ya 170M kwa Mshahara wa 250K | FULL MASTERCLASS

▶️ Tazama sasa kupitia link iliyopo kwenye bio ya @letsimpactmillionspodcast au search “Let’s Impact Millions Podcast” YouTube

Our mission is to impact millions. by @letsimpactmillionspodcast
10
a month ago
Download
“Hakuna mpenda mpira asiyemjua huyu.”

Unamjua huyu Referee? 

Let’s Impact Millions Podcast Episode 4 finally imetoka 🔥

Episode hii imejaa real-life experiences, biashara, kuajiriwa, uongozi, investment, changamoto na lessons ambazo unaweza kuzitumia kwenye maisha na biashara yako

🎙️ Host: @amrisaly
👤 Guest: @dominic_mmasi

Episode 4: Safari ya Maisha, Kuajiriwa Hadi Kujenga Biashara | Gari ya 170M kwa Mshahara wa 250K | FULL MASTERCLASS

▶️ Tazama sasa kupitia link iliyopo kwenye bio ya @letsimpactmillionspodcast au search “Let’s Impact Millions Podcast” YouTube

Our mission is to impact millions. by @letsimpactmillionspodcast
52
a month ago
Download
“Kitu pekee nilichomuibia Vunjabei ni mfumo.”

29
a month ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up