Instagram story viewer> @letsimpactmillionspodcast> Tagged
POSTS STORIES REELS TAGGED
Tunaamini utajifunza mengi kutoka kwenye podcast hii.

Usisahau kutufanyia ile favor ☝️tu. Nayo ni kulike,kucomment, kushare na kutufollow.
413
Tunatakiwa kuwa positive, 24 Billion podicast tutakuletea episode kuzidi kukuelimisha. Usisahau kutufollow
62
-Moja ya vitu ambavyo watanzania wanashindwa kuelewa ni kwamba biashara ni zaidi ya kuweka bidhaa dukani kupitia @dominic_mmasi  katika podcast yake ya @letsimpactmillionspodcast alielezea kwa undani namna ya kuunda business systems,kulinda mtaji,nidhamu ya pesa n.k na akionesha kuwa na mentality ya kitofauti katika Marketing na uendeshaji wa biashara yake na kingine zaidi ni katika tukio la #CRDB ambapo katoa hints zake ambazo zimezua maneno instagram wengi wakitoa povu bila kuelewa angle aliyogusa kuwa haihitaji mtu atumie lugha nyepesi kueleweka.

-All in all hata katika industry ya Tech mwanachuo anapaswa kupimwa kwa namna anavyofikiria na kuwa na mtazamo sahihi katika kutatua matatizo katika jamii badala ya kuongozwa na hisia au kukariri Codes tu 

-Nina mengi sana ya kuongea katika hili kwa leo tuweze hizo Codes  chache.

#ifm #business #marketing
32
Tunakuletea podicast zinazoelimisha ili uzidi kujifunza na kupata nondo kutoka kwa wageni wetu. Usisahau kutufollow,kulike,share na kucomment.
193
Hakuna kitu kilichowapoteza na kuwarudisha nyuma vijana wengi kama kuamini kwenye jeshi la mtu mmoja,

The one-man army mentality ni moja ya limitation kubwa sana ya mafanikio, 

Hakuna biashara kubwa iliyojengwa na mtu mmoja pekee, hakuna kampuni kubwa inayoendeshwa na nguvu ya mtu mmoja tu,

Yet, wengi wetu tunaamini tunaweza kujenga maisha makubwa kwa kupambana wenyewe,

It sounds good in theory, but it rarely works at scale, pia ubinafsi na kila gen z kutaka kuwa founder, 

Ukitaka kuongeza speed ya mafanikio yako, tafuta watu sahihi, unganisha nguvu, gawana majukumu, jifunzeni kutoka kwa kila mmoja, na pambaneni kuelekea kwenye vision moja,

Mimi tangu nimeingia kwenye biashara, sijawahi kuamini kwenye kupambana mwenyewe, kwa sababu sijawahi kuona mafanikio makubwa ninayoyatamani yakijengwa kwa uwezo wa mtu mmoja pekee,

Sometimes unaweza kuona mtu mmoja yupo front, anapokea recognition na kila mtu anazungumzia jina lake, lakini nyuma yake kuna kundi la watu wenye skills, experience na uwezo ambao ndio wanaofanya vision iwe reality,

Ni kweli kupata watu sahihu ni ngumu sababu wewe mwenyewe hujawa mtu sahihi, anza kwa kujijenga wewe mwenyewe kuwa mtu sahihi, mtu mwenye vision, discipline, integrity, uwezo wa kufanya kazi na wengine,

Halafu jifunze kuchagua watu kwa misingi ya character, competence, commitment na alignment ya malengo na sio urafiki,

Ukiona mtaani kwenu, mkoani kwenu au hata nchi nzima ya watu 60M huoni mtu sahihi jua una shida mahali, 

Na lazima ukubali kwamba watu ulioanza nao safari kutoka level 1 mpaka 10 huenda wasiwe  utakaotoka nao 10 mpaka 100, na hilo si lazima liwe tatizo, watu hukua, directions hubadilika na mahitaji ya safari hubadilika,

Na mwisho wa siku, mafanikio makubwa hayajengwi tu na watu wenye uwezo mkubwa, yanajengwa na watu wenye uwezo tofauti wanaoweza kuunganisha nguvu zao kwa ajili ya kitu kikubwa kuliko kila mmoja wao,

The goal is not to be the smartest person in the room, but to build a room full of people who can build something extraordinary together.

Our mission is to impact millions.
19
Lengo letu ni kuimpact billions
239
Rebranding @letsimpactmillions crafting an authentic brand mark that aligns with the brand’s vision, mission, and most importantly, its core idea IMPACT.

Because where there is impact, there is a ripple effect.

The new visual identity is inspired by the idea that one action, one story, one opportunity, or one piece of knowledge can create a ripple that reaches far beyond its starting point influencing individuals, communities, and generations.

That is the vision behind Let’s Impact Millions to share knowledge, stories, experiences, and opportunities that create a lasting ripple of positive impact through every platform within the ecosystem.

From conversations that inspire, to journeys that educate, to stories that leave a legacy every platform plays a role in creating the ripple.

One idea. One story. One opportunity. One impact. A ripple that reaches millions.

Brand Consultant: @qimmanifester

Client: @letsimpactmillions
LIM Team: @amrisaly | @mikedastan | @dominick_cz | @mwigwano 

Sub Brands:
@letsimpactmillionspodcast | @letsimpactmillionstour | @letsimpactmillionsdocumentary

Agencies:
@qmconcepts | @qm.capture

—

#QMConcepts #QMCapture #QimManifester #LetsImpactMillions #BrandStrategy
42
back to up