Instagram story viewer> @letsimpactmillionstour> Posts
1K
followers
0
following
Our mission to impact millions begins with impacting you.
POSTS STORIES REELS TAGGED
Dodoma community ilikuwa too powerful.
Imetuachia memories we can’t forget, experiences ambazo tutazitumia na kuzikumbuka milele, na impact yake ilikuwa beyond expectations.

📽️ Full event ya Dodoma ipo well documented in very high quality videos na very soon zitakuwa available exclusively kwenye IntelligenceFx App.

Now the countdown to Dar es Salaam begins ambapo tunaenda kufanya wonders.

Tunaenda kuandika historia kwa event kubwa yenye impact isiyo na kipimo, uzito mkubwa kuliko meet-ups zote tulizowahi kufanya.

This is not just another meet-up, it’s a full industry shift in motion.
Tunakuja na stronger energy, deeper value, na mission kubwa zaidi ya before.

🗓️ More info about the Dar meet-up tayari tumezishare kwenye community na special Discord server ya Let’s Impact Millions Tour.

Dar es Salaam - get ready 
What we’re about to do is game-changing. by @letsimpactmillionstour
29
a year ago
Download
Experience yako kwenye ku-trade news ipo vipi? 

Watu wengi wana-trade news kwenye namna ambayo sio sahihi wakiwa na matatajio ya kutengeneza pesa ndani ya muda mfupi kutokana na movement kubwa ya price ndani ya kipindi kifupi wakati wa fundamental release, 

Kutokana na watu wengi kupoteza wakati wa news trading ndio sababu brokers wapo tayari ku-fund na ku-sponser mentors wasio na huruma na maadili ili wafanye events na vitu vya kushawishi watu ku-trade wakati wa news release, 

Few months ago tuli-apload youtube video tukielezea kiundani namna sahihi ya ku-trade news 

Lakini pia leo tume-upload a new video yenye mafunzo makubwa sana, 

Click link on bio or search IntelligenceFx on youtube to watch 

Our mission is to impact millions by @letsimpactmillionstour
48
a year ago
Download
Ukihitaji kufanya identity and adress verification kwa broker au prop firm yoyote ile mcheki brother @mkondolfx 

Verification document zake ni uhakika, kiufupi anajua anachofanya sana, 

tumekuwa tukizitumia na zinafanya vizuri, lakini pia ikatokea changamoto yoyote anakupa support ya karibu,

M- follow @mkondolafx sasa hivi kwa updates na huduma bora,

📲Namba zake zipo kwenye bio yake mcheki moja kwa moja kwa ajili ya trusted address verification services.

Our mission is to impact millions. by @letsimpactmillionstour
22
a year ago
Download
videos kutoka Let’s Impact Millions Tour ipo sasa live!

Hiki siyo tu content ya kawaida ni elimuu yenye nguvu ambayo watu wengi wanailipia kwenye courses, lakini bado hawapati concepts zenye uzito wa tulichofundisha hapa, 

Na sisi tumewaletea bure, kwa sababu tunajali safari yako.

.
Click link kwenye bio au search IntelligenceFx on YouTube tazama, jifunze, fanyia kazi… mabadiliko utaona mwenyewe

Our mission is to impact millions. by @letsimpactmillionstour
16
a year ago
Download
Dodoma Meet-Up Was EPIC! 

This is just a snippet brother @mkondolfx akishare experience yake live mbele ya community 

Full video inakuja soon kwenye @intelligencefxapp 📲

This kind of realness, confidence, and growth you won’t find it anywhere else.

We’re not just trading… we’re transforming lives 

Our mission Is To impact millions. And we’ve already started. by @letsimpactmillionstour
16
a year ago
Download
Huge congratulations kwa brother @mkondolfx kwa ku-qualify ku-trade prop firm capital! 

Hii ni milestone kubwa sana ambayo inatufanya tujivunie na kupata inspiration kama community.

Slide ya pili ni video yake akizungumza kwenye Dodoma Community Meet Up, ambapo alishare experience yake ya trading kwa njia ya ku-impact both new and existing members.

Imagine ile confidence ya kusimama mbele ya watu na kusema yupo phase two na anakaribia kupass halafu wiki moja baadaye kweli amepass🫡

That’s the power of true trading skills solid foundation, technical analysis mastery, emotional control, na zile high-level techniques tunazofundisha kuhusu jinsi ya kupass prop firm challenges.

This is just the beginning. Good news ni kwamba, ukiamua leo kuanza kujifunza the right way, you could be the next success story. by @letsimpactmillionstour
31
a year ago
Download
Tume-upload video mpya YouTube! 🎥🔥

Hii ni tofauti na zote tulizo-upload kwenye Let’s Impact Millions tour kama uko serious na growth yako, this is a must-watch.

Tumeshare deep values na pia tumekuwekea kipande bora kutoka kwenye moja ya madarasa yetu ya kufundisha live.

Click link on bio au search IntelligenceFx on YouTube now to watch,

Our mission is to impact millions 

don’t miss this! by @letsimpactmillionstour
22
a year ago
Download
Kwenye hii meet-up tumeelezea kwa undani mbinu zote za ku-control emotions kwenye trading, pamoja na tricks ambazo zimetusaidia sisi binafsi na zinaendelea kusaidia high-performing members wa community yetu.

🎥 Full video yenye parts 8 tayari ipo kwenye @IntelligenceFxapp, 

Download the app, nenda kwenye Courses section, kisha shuka chini kabisa sehemu ya Resources, then upgrade ili kupata access ya hii life-changing event.

🎁 Uzuri zaidi, kipindi hiki cha Let’s Impact Millions Tour kinapomalizika, unaweza ku-upgrade upate access ya all our courses kwa 80% discount. Link ya kuwasiliana nasi iko kwenye bio.

Tume-invest pesa, nguvukazi na ujuzi mkubwa sana kuhakikisha unapokea hizi values kwa quality ya hali ya juu — kwa sababu tunajua you deserve this, hata kama hukuweza kuhudhuria physically. by @letsimpactmillionstour
21
a year ago
Download
Well-structured system ya kujifunza ina mchango mkubwa sana kwenye safari yako ya kuelekea profitability.

Kwa bahati nzuri, unaweza ku-access structured training yenye kila kitu kinachohitajika FREE kabisa kupitia @IntelligenceFxApp. 📲

Fungua app, nenda kwenye Courses Section, kisha fungua kozi yoyote uone jinsi kila topic imepangwa kwa mpangilio unaoeleweka kutoka mwanzo hadi advanced. 

.
.
Click link kwenye bio au search IntelligenceFx on YouTube kuangalia full video na upate full experience by @letsimpactmillionstour
13
a year ago
Download
Ushawahi kupata bahati ya kupata profit kubwa bila maarifa ya kutosha, halafu ukaishia kupoteza kila kitu?

Ni experience ambayo wengi wetu tumepitia kwenye safari ya trading na ndio sababu maarifa sahihi ni muhimu zaidi kuliko bahati.

🎥 Brother Ignas shares a story every trader can relate to.
Click link in bio or search “IntelligenceFx” on YouTube to watch and learn from this turning point!

Our mission js to impact millions. by @letsimpactmillionstour
26
a year ago
Download
Mara ya mwisho lini umepata experience kama hii?

Click link on bio or search “IntelligenceFx “ on youtube to watch full journey from Mwanza to Mbeya on let’s impact millions tour by @letsimpactmillionstour
40
a year ago
Download
Hakuna kitu kizuri kinachopatikana kwa urahisi na njia rahisi ya kupata chochote unachotaka ni kufahamu na kupitia mchakato, hakuna shortcut,

Click link on bio or search “IntelligenceFx” on YouTube to watch full video, kuna mengi ya kujifunza,

Thank you Dr Ignas for sharing this powerful experience,

Our mission is to impact millions. by @letsimpactmillionstour
23
a year ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up