Instagram story viewer> @letsimpactmillionstour> Tagged
1K
followers
0
following
Our mission to impact millions begins with impacting you.
POSTS STORIES REELS TAGGED
Kuna seminar nyingi sana za forex trading zimekuwa zikifanyika, 

Almost Zote lengo limekuwa ni kushawishi incompetent traders waweze ku deposit pesa zao kwa brokers, 

Brokers wamekuwa wakilipa wanaojiita mentors vizuri na ku-sponser event zao ili kuleta watu kwenye seminar lengo kuu likiwa ni kuwashawishi wafungue account, wa-deposit pesa, wapoteze, then broker na mentor wakagawane, 

That is not how it’s supposed to be done, 

Leo tunataka kuweka standard mpya kwenye industry ya how seminar they are supposed to be done, inatakiwa event iwe na vitu real sio stories na motivation za uongo za kufanya iwe rahisi kushawishi watu ku deposit, 

Inatakiwa;
- Lessons genuine zitolewe zisizokuwa na lengo la kumshawishi trader kufungua acc kwa brokers wala kununua any product, only values 
- ⁠Traders waweze ku-share real experience zao bila kuwepo kwa conflict of interest yoyoye, 
- ⁠Mentor aweze kushare experience yake including real trading account kutoka kwa reputable broker or prop firm tena ambazo haja-partner nazo, sababu ikishakuwa ni from broker alie partner au ambae sio repitable  they can easily create fake results,

It’s time for new standards, 

Na sisi tunaamini haitakiwi tu mtu kusema kitu ni kibaya inatakiwa kuonyesha kizuri kinafanyika vipi sababu lengo sio kumnyooshea mtu kidole bali ku-shape the industry, 

It’s time to experience the best trading event of all the time for completely free, 

Search “IntelligenceFx” on YouTube au click link kwenye link kwenye bio kuweza kutazama the most powerful trading event in Africa, 

Kuna lessons, experiences na vitu ambavyo huwezi kuviona popote pale.
50
Dodoma community ilikuwa too powerful.
Imetuachia memories we can’t forget, experiences ambazo tutazitumia na kuzikumbuka milele, na impact yake ilikuwa beyond expectations.

📽️ Full event ya Dodoma ipo well documented in very high quality videos na very soon zitakuwa available exclusively kwenye IntelligenceFx App.

Now the countdown to Dar es Salaam begins ambapo tunaenda kufanya wonders.

Tunaenda kuandika historia kwa event kubwa yenye impact isiyo na kipimo, uzito mkubwa kuliko meet-ups zote tulizowahi kufanya.

This is not just another meet-up, it’s a full industry shift in motion.
Tunakuja na stronger energy, deeper value, na mission kubwa zaidi ya before.

🗓️ More info about the Dar meet-up tayari tumezishare kwenye community na special Discord server ya Let’s Impact Millions Tour.

Dar es Salaam - get ready 
What we’re about to do is game-changing.
29
back to up