Instagram story viewer> @madebelidai> Posts
570
posts
1M
followers
142
following
Movies Actor and Content Creator from Tanzania 🇹🇿
BEST CULTURAL PROMOTING FILM AWARD 2023/2024
🎬 gusa bio 👇
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Kwani Shoga nae analia Kuchukuliwa Nyeti ? by @madebelidai
947
4 months ago
Download
Ni Wazo tu💣💣 by @madebelidai
304
4 months ago
Download
Wageni mkiingia Dodoma Karibuni @brand__hotel kwa ajili ya kupumzika na kufanya akili iwe safi kwani Vyumba ni bei Rahisi Mno by @madebelidai
4
10 hours ago
Download
Kuanzia Saa 12 Tunakutana @thedreamers_lounge kwa ajili ya Chaka to Chaka ya Ndugu yetu @mkojani_bin_daruweshi Karibuni Leo ni sikukuu ya Chanika by @madebelidai
3
17 hours ago
Download
Jambo gumu ni lile ambalo Rahisi Kueleweka #Sikukuu ya Chanika by @madebelidai
9
18 hours ago
Download
Nawakumbusha Kwa Upendo kabisa Kwamba @brand__hotel ndio sehemu Pekee kwa hapa Dodoma utakapo weza kukaa na kupata utulivu lakini pia mahitaji Stahiki na Ulinzi madhubutiUkilipia Chumba huduma hizi ni bure WI_FI,ROOM SERVICE,BREAK FAST,SWIMING@brand__hotel ipo Dodoma Mtaa wa Kisasa,Maeneo ya Nyumba 300,MwangazaTupigie simu 📲+256 773 467756+255 750 866722@brand__hotel by @madebelidai
0
2 days ago
Download
Majibu Tafadhali @keyto_kae by @madebelidai
67
2 days ago
Download
HAKIKISHA UNAPATA URITHI MZURI WA FAMILIA TUNAMAANISHA KIWANHA SAFI KWAAJILI YA MAKAZI AU UWEJEZAJI 0746100023 by @madebelidai
0
2 days ago
Download
📢 TAARIFA RASMI – VIJANA MARATHON RUANGWA 2026Tunawashukuru wanachama wote kwa ushiriki wao katika kikao cha maandalizi. Baada ya kikao hicho, viongozi wa muda waliopatikana ni:• Mwenyekiti: Sadal• Katibu: Maulale• Afisa Habari: Shadah Amepiga TenaAidha, kutaundwa Kamati Maalumu ya Maandalizi na Usimamizi wa shughuli zote za Vijana Marathon Ruangwa 2026.Lengo letu ni kuunganisha vijana kupitia michezo, burudani na shughuli za kijamii, pamoja na kufikisha msaada kwa jamii yenye uhitaji.Siku ya tamasha kutakuwa na:⚽ Mechi ya kirafiki:Team Hussein Stationery 🆚 Team Rama Katara🎶 Burudani kutoka kwa wasanii, ma-DJ, wachekeshaji na vipaji mbalimbali.🏃 Vijana Marathon pamoja na michezo mbalimbali ya ushindani kama vile:• Kukimbia na gunia• Kukimbiza kuku• Michezo mingine ya burudani🏆 Washindi wa mashindano mbalimbali watapata zawadi.Tarehe, ratiba kamili na taarifa nyingine zitatolewa baada ya kikao kijacho.Pamoja tunaweza kuleta mabadiliko chanya kwa jamii yetu.Imetolewa na:Shadah Amepiga TenaAfisa Habari – Vijana Marathon Ruangwa 2026 by @madebelidai
4
2 days ago
Download
Kikao Ep 9 by @madebelidai
5
3 days ago
Download
Anaitwa Hissani muya @tinomuya by @madebelidai
99
3 days ago
Download
Jambo baya 😶‍🌫️ by @madebelidai
71
4 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up