Instagram story viewer> @mr_shabanm> Posts
359
followers
252
following
@jornalist
& Digital manager
& Radio Presenter
& Assistant producer at rufiji media.
& Graphics designer
& Financial Trader
&my role model @amrisaly
POSTS STORIES REELS TAGGED
Maisha hayaitaji kujiona bora kuliko wengine kujiweka karibu na jamii yako unayotokea ni mwenendo bora utakao kufanya kuwa mwenye furaha siku zote ongera bibi yetu wa taifa tunakupenda.

Neno moja kwa bibi yetu wa taifa dr.tulia ackson.

#drtuliaackson#bunge#wasafifm#crownfm# by @mr_shabanm
0
4 months ago
Download
Je? unafikiri bado makungwi wananafasi kwa mafunzo wanayotoa kwa mabinti wa kileo?
#linah#pipijojotz#diamondplatnumz #mbosso#wasaffm#iran#marekani#israel# by @mr_shabanm
0
4 months ago
Download
Video zinaonyesha moshi ukitoka katika kiwanda cha kusafisha mafuta kinachoendeshwa na Saudi Aramco baada ya moto kuzuka, ambao maafisa wa Saudi wanasema ulisababishwa na vifusi vya kombora la Iran lililonaswa. .
.
Bei ya mafuta imepanda kwa kasi huku kukiwa na usumbufu na kufungwa kwa Mlango-Bahari wa Hormuz, na kuzua hofu juu ya usambazaji wa kimataifa.

Usisahau kufollow kwa taarifa mbalimbali support yako ni muhimu mtu wangu wanguvu.

#fyp#iran#saudi#iran#marekani#israel by @mr_shabanm
1
7 months ago
Download
Video ikionyesha wakati ndege ya kijeshi ya marekani ilipodunguliwa na kuanguka nchini Kuwait, wafanyakazi walipotoka kwenye ndege hiyo iliyokuwa ikiwaka moto. Wakaazi waliokimbilia eneo la ajali walisema ndege na wafanyakazi hao walikuwa ni Wamarekani, wizara ya ulinzi ya nchi hiyo ilithibitisha kuwa ni ndege za kivita za Marekani.

Usisahau kufollow account hii kwa taarifa mbalimbali.

#iran#marekani#israeli #khamenei #bbc#dw#aljazeera by @mr_shabanm
2
7 months ago
Download
“Khamenei, mmoja wa watu waovu zaidi katika Historia, amekufa,” Rais wa Marekani Donald Trump ameandika kwenye Truth Social.

Serikali ya Iran haijathibitisha taarifa hiyo, mapema jumamosi ilisema kuwa kiongozi wao yupo hai na salama.

Usisahau kufollow account hii kwa taarifa kutoka kwenye vyanzo mbalimbali vya kuaminika ulimwenguni.

#iran #israel #bbcswahili #trump #marekani by @mr_shabanm
4
7 months ago
Download
Video zinaonyesha mlipuko katika wilaya ya kifahari ya Palm Jumeirah huko Dubai, Hoteli ya Fairmont iliathiriwa na tukio hilo na kuiacha ikiwaka moto. BBC imethibitisha video zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii.

Iran imejibu kwa kushambulia maeneo mbalimbali huku ikilenga vituo vya kijeshi vya Marekani vilivyopo kwa nchi jirani.

Endelea kutufuatilia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii@mr_shabanim

#fyp #marekani #iran #israel #dubai by @mr_shabanm
0
7 months ago
Download
Redio jingle& drops&ads production and ads promotion & interview  for cheap price you are welcome 🔥🔥🔥0622761272🎙️🎧 by @mr_shabanm
1
10 months ago
Download
# by @mr_shabanm
2
10 months ago
Download
Mr producer @rufijimedia🔥🎙️🎧#radioimaging #radiopresenter #jingle #radioproducer #radiodrop by @mr_shabanm
3
10 months ago
Download
🔥🎙️#radioproducer
#radiopresenter
#jingle
#radiodrop
#radioimaging by @mr_shabanm
1
10 months ago
Download
 by @mr_shabanm
2
a year ago
Download
Thanks my Lord for another beautiful day 🙏 by @mr_shabanm
1
a year ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up