Instagram story viewer> @msntanzania> Posts
27.7K
followers
495
following
Get Sports News,Analysis & Articles
Centralized Media House
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
JOHN TERRY:SIKU NAHODHA ALIPOVAA JEZI YA GOLIKIPA NA KUSIMAMA IMARA.

Fikiria ukiwa nahodha wa Chelsea, halafu ndani ya dakika chache, makipa wote wa timu yako wanashindwa kuendelea na mchezo.Ungefanya nini?

Oktoba 14, 2006 Chelse walikuwa wakimenyana na Reading katika Ligi Kuu England.

Mchezo uligeuka kuwa wa majaribu baada ya Petr Čech kuumia mapema huku Carlo Cudicini naye akishindwa kuendelea baadaye.

Chelsea wakabaki kwenye wakati mgumu.

Hakukuwa na kipa mwingine wa kawaida wa kuingia golini.

Ndipo nahodha wao John Terry akachukua jukumu lisilo la kawaida akavalia gloves na kusimama golini.

Presha ilikuwa kubwa lakini Terry hakukimbia jukumu.

Chelsea walipambana hadi mwisho na kushinda kwa bao 1–0 licha ya kumaliza mchezo wakiwa na wachezaji tisa uwanjani.

Na ni goli la Super Frank Lampard ndio lililowapatia ushindi siku hiyo.

Siku hiyo Terry hakuwa tu beki wa kati bali alisimama kama Captain wa meli iliyokuwa inaelekea kupoteza muelekeo katikati ya bahari yenye mawimbi makali.

Captain JT siku alikuwa mfano wa ujasiri,kujitoa na uongozi. 

Alitukumbusha kwamba nahodha wa kweli si yule anayewaongoza wenzake wakati mambo ni rahisi, bali ni yule anayesimama mbele wakati timu inapokuwa kwenye wakati mgumu.

Captain John Terry  siku hiyo alivaa gloves za kipa na jezi ya golikipa lakini moyo wake uliendelea kupiga kama nahodha wa Chelsea.

Siku hiyo Chelsea walishinda mchezo lakini John Terry alishinda kila ndani ya mchezo.

Na hili ni moja ya tukio maarufu la John Terry kama mchezaji na binadamu ukiondoa yale matukio yake makubwa mawili kuanzia lile la Ubaguzi wa rangi kwa mdogo Rio na lile la kumchapia mwanae Wayne Bridge demu wake 

Captain JT🫡.

#846luckynumber

#SLSportsZone #JohnTerry #ChelseaFC #HistoriaYaSoka by @msntanzania
0
15 hours ago
Download
@yangasc 😂😂 by @msntanzania
25
20 hours ago
Download
BEST OF MABULA IN ALGERIA 

Leo tena majira ya saa 2:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki atakuwa dimbani.

@a.mabula06 kila lakheri kiungo 

@msntanzania by @msntanzania
0
21 hours ago
Download
@ibrahimdoumbia_officiel hajui mpira
@simbasctanzania wafanye maamuzi by @msntanzania
0
a day ago
Download
@kagoma_21 amekua surprise leo kwenye beki wa kati kwa @simbasctanzania by @msntanzania
41
a day ago
Download
Ile timu bora kwa sasa ndani ya ardhi ya Tanzania imeendeleza ubabe wake mbele ya wakazi wa Lake Tanganyika.

Na yule mchezaji bora kwa sasa juu ya jukwaa la NBC Premier League yani Libasse Gueye endeleza kazi yake bora ya sanaa ya ufungaji na upishi wa magoli kwa wengine.

Yule kocha bora kwa sasa ndani ya jukwaa la NBC Premier League Steve Becker ameendeleza ubora wake wa kimbinu dhidi ya Timu zinazo cheza katika Low Block yenye shape ya 5-3-2.

Na leo mashujaa wamefunguliwa kweli kweli chuma 6 zimetua wavuni kwao na hii ni text kwa wapinzani wajao.

Utake nini tena kutoka kwa Simba Sc wameshinda mechi zao 8 za NBC Premier League kwa 100% ambayo pale EPL ni Man City na La Liga ni Fc Barcelona tu🔥.

Mnyama anatuma tu salaam za ubora wa safu yao ya ushambuliaji wakifunga magoli 19 🔥hapo Chama na Mpanzu wana GOLI 4 kila mmoja.

Ismail Toure yule kamanda wa Ulinzi yeye kafunga GOLI 3 bila shaka ndio DEFENDER ALIYEFUNGA MAGOLI MENGI🫡.

Libasse Gueye ni kama wa juzi,jana na leo pia ni moto wake hauzimishwi hata na FIRE EXTINGUISHER kaendeleza upishi wake wa MAGOLI.

ASSIST 7 KUTOKA KWA Top of the LIST pale chini anayefwata anazo 3 tu bila shaka ni NEXT MVP.

Kama Mashujaa kaonewa basi nenda WEWE kwa sababu MNYAMA kapiga wote WABABE.

Mbele ya MNYAMA Singida Black Star's,Azam Fc na Yanga Sc wote wamekufa chifo cha mende tu😅.

Kwenye POINT 24 ya MNYAMA kuna POINT 9 kutoka kwa WAKUBWA WATATU(3).

SIMBA SC NDIO MBABE WAO💪 ukibisha njoo na HOJA😅. by @msntanzania
0
a day ago
Download
Doumbia anawanyima @simbasctanzania goli la 7 yeye na kipa by @msntanzania
1
a day ago
Download
Dumbia kawakosa @mashujaafcofficial 😂😂😂 by @msntanzania
1
a day ago
Download
Abraham Morice amepona umeme @simbasctanzania wapo salama by @msntanzania
0
a day ago
Download
@simbasctanzania 6
⚽️ Ismail Toure by @msntanzania
1
a day ago
Download
@simbasctanzania 5
⚽️ @mo18_official by @msntanzania
0
a day ago
Download
@simbasctanzania wamenyanyua watatu 
Dumbia yumo by @msntanzania
0
a day ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up