Posted On: July 20th 2025, 04:37 pm
Groly to God kwa matendo makuu Mungu anaendelea kufanya ktk maisha yangu my people kunawakat tunakua na matamanio makubwa na dreams kubwa sana labda niwakumbushe tu kuwa Wakati sahh ktk mipango yetu ni ule ambao Mungu kaamua yy kuona sasa kitu frn huu ndio wakati sahh kwako au kwangu kati ya moja ya kitu nilikua nataman siku nijione kwenye mabango ndan na nje ya Tanzania 🇹🇿 nakunawakat nilikua nakata tamaa naona kama Mungu anachelewa kumbe Mungu alikua anajua majira gani ndio ni sahh kwangu and nashukuru sana akanipa haja ya moyo wangu.my people tusikate tama tuamini tu ktk wakati sahihi wa Mungu nawapenda sana watu wanguyou guys siku zote mpo na me na kuni support Mungu aendelee kuwabarki pia bila kusahau Shukran zangu za nguvu kw
@vodacomtanzania kuniamini
My family
@viongozi_255 @chapanisha_imagez @djodjo_mckauga @dadpixel_ @light_palmer @miriamodemba @dismas_photographer @jamesnailsbeautysalon_spal @salamba_elizabeth @princesslinahh Mungu awabarki sana nawapenda ❤️🙏
Load More