Instagram story viewer> @raykhan_tz> Posts
3.5K
followers
1994
following
๐ŸŽต Music โ€ข Entertainment โ€ข Lifestyle
๐Ÿ‘‘ Creating. Inspiring. Evolving.
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Tanzania
๐Ÿ“ฉ Business/Collabs โ†“
POSTS STORIES REELS TAGGED
Kuna nyimbo hausikilizi kwa masikio tu, unasikiliza kwa moyo. ๐Ÿ’”๐Ÿฅน๐ŸŽถ

Hii bado haijatoka, lakini naamini kuna mtu atajikuta ndani ya maneno yake.

#raykhantz #foryou #viralsound #tanzania #bongotrendings  @miriamodemba @itsdvoice @marioo_tz @diamondplatnumz @iddysantos @ricardomomo @mbosso_ @majizzo @wasowiso @meneja_kandoro @meneja_badloso @singeli_trending by @raykhan_tz
3
2 days ago
Download
Shukran zangu za Dhati ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ kwa kila mmoja aliyejitokeza kunipa support kwenye show yangu siku ya jana, sina maneno ya kutosha kueleza furaha yangu. โค๏ธ๐Ÿฅน

Asanteni kwa muda wenu, upendo wenu, nguvu zenu na kunipa sababu ya kuendelea kupambana kutimiza ndoto zangu za muziki. Kila mmoja wenu ana nafasi ya pekee moyoni mwangu. 

Hii ni safari yetu sote, na kwa support yenu naamini makubwa zaidi yanakuja! 

#bongotrendings #raykhan_tz #singelitotheworld๐ŸŒ #viralsound #foryou @meneja_kandoro @meneja_badloso @majizzo @fidomgaigai @miriamodemba @diamondplatnumz @marioo_tz @officialzuchu @mbosso_ @iamlavalava by @raykhan_tz
9
3 days ago
Download
MOYO SUKUMA DAMU 
MY NEW SONG LIVE PERFORMANCE 

ASANTE MUNGU WANGU KWA KUNIPA NAFASI NYENGINE BARIKI KIPAJI CHANGU NISIKIKE KAMA WENGINE.๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™ Amen 

#bongotrendings #raykhan_tz #diamondplatnumz #tanzania #singelitotheworld๐ŸŒ @meneja_kandoro @meneja_badloso @wasowiso @singelimedia @singeli_trending @diamondplatnumz @iddysantos @ricardomomo by @raykhan_tz
15
13 days ago
Download
๐— ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ผ ๐—›๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—บ๐—ฎ ๐˜†๐—ฒ๐˜๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—น๐—ถ. ๐—›๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—”๐—น๐—ถ๐—ฒ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—”๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ฃ๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ, ๐—›๐—”๐—ง๐—” ๐—ฆ๐—ข๐—ž๐—ฆ๐—œ ๐—œ๐—ก๐—” ๐— ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ญ๐—”๐—ž๐—˜ ๐—ง๐—”๐—™๐—จ๐—ง๐—” ๐— ๐—ง๐—จ

#foryou #mapenzi #instamood #creatorsearchinsights #bongotrendings by @raykhan_tz
6
a month ago
Download
Kaka Mkubwa @diamondplatnumz pole sana na majukumu najua Upo bize sana ila ukipata nafasi Angalau Usiche kusoma Ujumbe wangu. 

Kaka @diamondplatnumz Nakumbuka Ulinipa pesa kwenye bahasha Nikakataa kupokea pesa ila sio kwa Ubaya Lakini Binafsi Sikukufata kwajili ya kuomba pesa kama ilivyo zoeleka kwa watu wengine. Huwa napenda sana kupewa nyavu kuliko Samaki

Kaka naomba sapoti yako. Naachia sana nyimbo napambana usiku na mchana lakini sijawahi Ata kupewa Interview kwenye media yoyote Ata nikienda kupambania nafasi sipewi๐Ÿ˜ญ  Maumivu ninayoyapitia juu ya huu muziki ni makubwa Kuna wakati nakata tamaa Naomba unisaidie japo Interview @wasafifm na @wasafitv. Niweze kuonyesha Kile MUNGU alicho nibariki namimi nisikike kama wasanii wengine 

Kwa Hekima na Unyenyekevu wako kaka @diamondplatnumz
Najua Utasoma barua hiii nimimi mdogo wako @raykhan_tz

Naamini kiwanda kipo kwenye mikono yako Mkubwa naomba sapoti yako @diamondplatnumz @ricardomomo
@iddysantos @mama_dangote

#raykhan_tz #bongotrendings #creatorsearchinsights #foryou #viralreels by @raykhan_tz
11
a month ago
Download
Make sure your circle is proud, not Jealous 

#creatorsearchinsights #raykhan_tz #foryou #fyy #tredingphotos๐Ÿ’ฅโค๏ธ by @raykhan_tz
2
a month ago
Download
Kila hatua ndogo ni mafanikio makubwa kwenye Safari Yako

#raykhan_tz #quotes #viralphoto #fyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy #photographer by @raykhan_tz
2
a month ago
Download
Miaka mitano Iliopita Nikiwa na dada angu @miriamodemba
Aliamua kuwa mwalimu, Mama Mlezi na Kuna nyakati Alijinyima kwasababu Yangu @miriamodemba Dada angu 
MUNGU akupe maisha marefu,  Afya njema  Love you so much my precious sister โ™ฅ๏ธ ๐Ÿ’ฏ๐ŸŒน 
Model pekee wa kimataifa Anaefanya jitihada zake kwa kuwashika mikono vijana namimi @raykhan_tz  nikiwa miongoni kati ya hao vijana Niseme tu ukweli nisingekuwa huyu wa sasa kama sio dada angu @miriamodemba by @raykhan_tz
4
a month ago
Download
Kila Jambo na wakati wake Usikate Tamaa siku njema Zinakuja 

#quotes #foryou #fyypโค๏ธ #tanzania #treding by @raykhan_tz
4
a month ago
Download
Naomba sapoti yako Nimeachia nyimbo Yangu Mpya Inaitwa WEWE now Inapatikana kwenye platform zote 

Link on #bio

#bongotrendings #viralphoto #viralsound #usesound by @raykhan_tz
4
a month ago
Download
Mwenye Moyo mwema Hulipwa na MUNGU na si mwanadamu 

#quality #4k #quotes #viralphoto #foryou by @raykhan_tz
6
a month ago
Download
Sehemu Uliyoizoea Sio sehemu Unayo stahili Kubaki

#fyypโค๏ธ #foryou #raykhan_tz #quotes #bongotrendings by @raykhan_tz
6
a month ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up