3 months agoSAIKOLOJIA YAKO – AKILI YAKO Unapitia: ✔ Msongo wa mawazo ✔ Hofu isiyoisha ✔ Huzuni ya muda mrefu ✔ Kukosa usingizi ✔ Kujihisi na kuwa Mpweke ✔ Kuchoka bila sababu ✔ Kukosa utulivu ✔ Kutokua na hisia ✔ Panic Attack ✔ Hasira au uchokozi ✔ Mawazo ya kujiumiza au kujiua ✔ Kujitenga au kuepuka watu ✔ Kutokuamini na Kutojiamini ✔ Kuongezeka kwa matumizi ya vilevi/dawa ✔ Kutojithamini ✔ Kutaka kufanya kisasi au kijihisi ✔ Work burn out ✔ Low Self-Esteem and confidence 🧸 Hauko peke yako - Hizi ni dalili zinazoweza kuashiria changamoto za kisaikolojia na afya ya akili– na msaada upo. Saikolojia Tiba inapatikana kwa: ✔ Sonona (Depression) ✔ Wasiwasi (Anxiety) ✔ Msongo wa mawazo (Stress) ✔ Talaka au kutengana ✔ Changamoto kazini ✔ Mahusiano/ndoa ✔ Addiction ya ponografia au kujichua ✔ TRAUMA ✔ Bipolar (Hisia Mseto) ✔ Addiction ya simu na mitandao ya kijamii ✔ PTSD ✔ Tatizo la hasira (Aggression) Njoo utoe machungu na maumivu uliyonayo kwa muda mrefu na uishi kwa uhuru. Saikolojia Tiba na Nasihi zinasaidia. DM iko wazi – tuchati, tuanze safari ya uponyaji pamoja. 👌 Huduma ni kwa gharama nafuu tu.
3 months agoUnapitia Kipindi kizito ch STRESS na Msongo wa Mawazo?? Basi hebu pitia confession yetu leo, tumezungumzia baadhi ya Tips za namna ya kuondokana na Stress. Usisahau ku share na kutu follow kwa Elimu na confession za Afya kila siku
