Instagram story viewer> @nabra_creative_company> Post
3 months ago
Co Creator: vene_kombolela kombolelamamakimbo chanuonchakali bokakazi mosalum01
226
Posted On: May 1st 2026, 05:32 pm
Wanasema ukimya sio udhaifu… ni nguvu iliyojificha.
Leo Venne amethibitisha utulivu wake ulikuwa unakusanya radi ⚡️ na sasa ameanza kung’aa kwa ujasiri.

Hii ni kombolela moto 🔥mchezo ndio unaanza sasa.
Vuta kiti chako vizuri, weka popcorn 🍿… maana sinema limeanza upya, na safari hii ni full action 🎬💯

Gaffer // @bokakazi
Editor // @mosalum01
Sound // @its_makoti7
Directors // @dr_machupa1
AD // @richardswaleh
Comments (226)
reey8643 2 months ago

reey8643

Piga hao😂😂

itsmwana33 2 months ago

itsmwana33

😂😂😂kawaka 🔥unaeza sema AI

farajastore_ 2 months ago

farajastore_

Umewezaaaaaaa scene kali sana🙌🙌

bongo_unlocked 2 months ago

bongo_unlocked

OFA Jeans Kali 18,000 Available

zay_zuberi 2 months ago

zay_zuberi

Ila iyo yumba milango inavopigwa mung asaidie Kuta kuanguka😂

husseinsultan36 3 months ago

husseinsultan36

Best scene🔥

pure_wellness_tz 3 months ago

pure_wellness_tz

UMECHOKA NA MAUMIVU YA VIUNGO NA MIFUPA? 😩 Unapoamka asubuhi mwili unauma… Kupanda ngazi ni shida… Kuinama au kunyanyuka unahisi kama mwili wako si wako tena… SASA IMEFIKA MWISHO WA HILO TATIZO! 🙌 Acha mateso ya kimya kimya! Maumivu ya joints na mifupa yanaweza kukuondolea furaha ya maisha, lakini suluhisho lipo mikononi mwako 💯 ✨ Rudia kuishi maisha bila maumivu ✨ Rudia kuwa na nguvu na uhuru wa kusogea ✨ Rudia kufanya shughuli zako bila tabu Kwa kutumia mchanganyiko wa bidhaa hizi bora: 🌿 TRE-EN-EN 🐟 SALMON OIL PLUS 🦴 CAL-MAG 🏃 FULL MOTION 👉 Zinasaidia: ✔️ Kupunguza maumivu ya viungo ✔️ Kuimarisha mifupa ✔️ Kuboresha utembeaji na flexibility ✔️ Kurejesha nguvu za mwili kwa asili USISUBIRI MAUMIVU YAONGEZEKE! Afya yako ni mtaji wako – ichukulie hatua leo. 📩 Nitumie DM sasa au WhatsApp ili upate maelezo zaidi 📦 Delivery popote ulipo 💬 Ushauri wa bure kabla ya kununua

baga_boy10 3 months ago

baga_boy10

SANAA🙌🙌

__1beth 3 months ago

__1beth

Best scene🙌

roja_mobetto 3 months ago

roja_mobetto

Vene anajua sana 😍😍😍😍

rose_mwamboneke 3 months ago

rose_mwamboneke

Vene leo kavulugwa😂

chyna_crues 3 months ago

chyna_crues

Msumi yeye na mkoba tu😂😂😂

maina_amanzi 3 months ago

maina_amanzi

Hii sini umejuwa kuuwa venne dahh

mwamwaja_rose 3 months ago

mwamwaja_rose

Dah hatari sana🔥🔥🔥

aishamohamed120893 3 months ago

aishamohamed120893

@damieno_1993 Nikwel maana ameweza

Load More

More posts

back to up