a day agoAzam ondoeni kabisa ile Cartoon ya Blue ina vitu ambavyo watoto hawatakiwi kuviona maudhi ni mabaya @azamtvtz
8 days agoNyie Azam mbn unatuwekea move ambazo tumeona chanel mmepunguza 28000 inathamani. Sana basi na kifurushi mpunguze 🙌
8 days ago@azamtvtz Kesho mtuwekee muvi mpya cinema zetu tumechoka kuangalia marudio , nyiny ikifika tarehe aliyejiunga mteja mnakata chanel saa 6 usiku badala ya asubuh muda aliojiunga
8 days agoYaani azam anapenda kujiamulia mambo! Ss kwa nn kutuweka wenzio roho juu juu tu🙆🙆🙆🙆🙄
