8 hours agoKwan unataka kusema Ray hi ndio tua yake yaulaya hapana Ray sio kama hao sawani wengine ray niwa kimataifa toka kitabo sio leo wale jana
2 days agosema shemu nakupendaa sana nitaenda kukuzika mbeya unamapenzi ya ukwer kwa Om boy
2 days agoSAMAHANI RAYVANNY SIO TUA YAKE YA KWANZA ULAYA NDUGU MCHAMBUZI, huyo toka 2017 kiufupi passport yake tu inaweza kumzamini mtu akapata visa Chukua muda wako kufuatilia 2017 mpka muda iliujue mpka Sasa alifanya tua ngapi
2 days agoTutaonana utofauti Wa kuitwa kwenye show za Nora na hizi zake hawezi kujaza arena bn show zote za arena alizofanya ni za kubebwa na wahusika tena kwa kuimba nyimbo moja tuππ
