Instagram story viewer> @el_mando_tz> Posts
172.7K
followers
533
following
. Entertainment Analysis
. Owner @mandoplus_ @mandostore___
•BAL25/26 Kigali🇷🇼Pretoria & Joburg🇿🇦Afcon2019 🇪🇬 World Cup 2022 🇶🇦& TraceAwards2025 🇹🇿
POSTS STORIES REELS TAGGED
Diamond akinipatia Madini baada ya Zuchu Imbeju Masterclass leo📌

Baada ya Kumaliza Mafunzo na leo Simba @diamondplatnumz ndio ilikuwa siku yake kama Professor kuongea na Washiriki lakini leo pia ndio siku ambayo mimi nimehudhuria.

So nimepata nafasi ya kubadilishana mawazo na tumeongea mengi kiukweli na nashurku sana kaka yangu @diamondplatnumz kwa Ushauri wako📌 by @el_mando_tz
354
4 months ago
Download
SUGAR YA MARIOO IMEKAA JUU YA FINALE, JOY & KAMA SIO🙌 HUYU MARIOO NYOTA YAKE KALI SANA📌

Hii ngoma ya @marioo_tz ya Sugar imeanza Upya🙌 leo nimekutana na Charts mbalimbali imeshika nafasi ya kwanza Mbele ya Finale, Joy na Kama Sio.

Mziki mzuri unaishi siku zote, nishaongea mengi sana kuhusu Omary na nafikiri kwenye kipindi kijacho ntazungumza zaidi📌 kuna mengi sana kuhusu Omary, Huyu ndio Mfalme wa kizazi hiki. by @el_mando_tz
87
6 months ago
Download
DAR CITY WALIVYOKQBIDHIWA KOMBE LAO NA MHE. MAKAMU WA RAIS by @el_mando_tz
3
13 hours ago
Download
ALIKIBA AKISALIMIANA NA WAJINA WAKE ALLY PG MCHEZAJI WA DAR CITY BAADA YA KUTWA UBINGWA.

Huyu hapa Mchezaji wa @darcitybasketball @officialpg_ally akisalimiana pamoja na mastaa mbalimbali akiwemo @rayvanny @harmonize_tz @zechicharito1 na wengine baada ya Mchezo wao na kutwa Ubingwa wa Mkoa wa Dar Es Salaam

Cameraman ndio mimi hapa Wajina wake El MANDO😂 by @el_mando_tz
25
13 hours ago
Download
SHOW YA BIEN IMECHAPWA LIVE UWANJA WA BASKTEBALL MASAKI DAR ES SALAAM MBELE YA AKINA ALIKIBA, HATMONIZE NA RAYVANNY by @el_mando_tz
7
14 hours ago
Download
ALIKIBA NA BIEN WATUMBUIZA WIMBO WAO WA FINALE MBELE YA MAKAMU WA RAIS NA WAZIRI MAKONDA MCHEZO WA DAR CITY DHIDI YA STEIN.

Kabla ya @officialalikiba kunyanyuka cheki @harmonize_tz na @rayvanny walivyokuwa wanamsukuma ananyanyuke akatumbuize by @el_mando_tz
72
14 hours ago
Download
ALIKIBA ALIVYOSALIMIANA NA SALLAM SK, HARMONIZE NA RAYVANNY by @el_mando_tz
131
15 hours ago
Download
MWIJAKU USO KWA USO NA OMMY DIMPOZ NA NAVY KENZO MCHEZO WA DAR CITY by @el_mando_tz
5
15 hours ago
Download
MHE. MAKAMU WA RAIS AKIWASILI KWENYE MCHEZO WA DAR CITY DHIDI YA STEIN by @el_mando_tz
12
16 hours ago
Download
MHE. WAZIRI MAKONDA ALISALIMIANA NA WASANII NA WAGENI WALIOFIKA MCHEZO WA DAR CITY NA STEIN AMBAO NI FAINALI by @el_mando_tz
82
16 hours ago
Download
HARMONIZE USO KWA USO NA RWYVANNY, SALLAM SK NA MWIJAKU

@harmonize_tz @rayvanny @mwijaku wapo hapa kuishuhudia game ya @darcitybasketball by @el_mando_tz
26
16 hours ago
Download
RAYVANNY NA SALLAM SK WAKIWA MCHEZO WA DAR CITY by @el_mando_tz
2
16 hours ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up