Instagram story viewer> @el_mando_tz> Tagged
172.7K
followers
533
following
. Entertainment Analysis
. Owner @mandoplus_ @mandostore___
•BAL25/26 Kigali🇷🇼Pretoria & Joburg🇿🇦Afcon2019 🇪🇬 World Cup 2022 🇶🇦& TraceAwards2025 🇹🇿
POSTS STORIES REELS TAGGED
ZUCHU: NIPO LEVEL MOJA NA AKINA TAYLA, AYRA STARR KWA TAIFA NILILOTOKEA, WANAUME KIMATAIFA DIAMOND WANAWAKE NI MIMI.

Majibu ya @officialzuchu baada ya @el_mando_tz kumuuliza kama ni sahihi watu kusema yeye ni level za akina Tayla, Ayra Starr na Tems.

Unakubaliana na Zuchu??

Mahojiano Yote yapo kwenye Akaunti ya Youtube ya MANDO PLUS
170
ZUCHU AWAJIBU WALIOMKOSOA ETI HAJUI KUVAA... 

INTERVIEW NZIMA IPO KWENYE CHANNELL YANGU YA MANDOPLUS PALE YOUTUBE.
342
ZUCHU AFUNGUKA KUFANYA SHOW SINZA, KATOA MAJIBU YOTE!! 

FULL INTERVIEW IPO KWENYE CHENNEL YANGU YA MANDOPLUS PALE YOUTUBE.
573
Kaka Angu ELMANDO /MCHAMBUZI Ashangazwa ana Show Ya Zuchu Aliyofanya Jana Pale SMALL PLANET SINZA 🙌😳😳…!

WADAU MNASEMAJE KUHUSU HILO ..? 

Nb:Meza Ya GHARAMA HIYO 😅🫵🏿

#zuchu #bongofleva #trending #reels
35
ZUCHU KAFANYA SHOW WAPI😩 KAANDAA KABISA MWENYEWE AU KULIKUWA NA KAMPENI FULANI KWA WENYE ENEO🤔

Naheshimu biashara za watu sitaki kuwavunjia heshima labda wahisi nimesema sehemu uao haifai hapana bali nazungumzia kwa upande wa Msanii.

Eti kaka yangu Kim, msanii ali-miss kuwaimbia mashabiki wake?? Alikuwa hana hela au kulikuwa na kampeni maalumu hakukuwa na ulazima??

Kwa ukubwa wa msanii nilihisi akirudi atakuja na Bongo moja la Tour fulani na pia kwa Ukubwa wake sidhani kama ni level zake kutumbuiza sehemu kama zile, Sio kwamba mbaya ila padogo halafu neno Bar lina-sound Tofauti sana.

Mnisamehe kama natonekana nawavunjia heshima wenye hilo eneo ila BAR sio level za Zuchu ameshavuka huko Otherwise kuwe na sababu maalumu.

Namuheshimu Zuchu na ndio msanii wa kike namba moja Afrika Mashariki anatakiwa Sehemu anazotumbuiza ziwe level yake kweli.

Kama kulikuwa na Kampeni Maalumu ya eneo husika sawa ila kwamba ameandaa Show mwenyewe??? HOW AND WHY
839
NIMETOA RUHUSA KWA @el_mando_tz TUU KWA SASA KUCHAMBUA MUZIKI WANGU NITAANGALIA KWA UMAKINI NA WENGINE AMBAO HAWANA NJAA ILA NYINYI WENGINE MKINITAJA TUU NAWAMALIZA SAA MBILI ASUBUHI MWANASHERIA WANGU ANAWATAZAMA KWA UMAKINI MNOO NAITWA #TheKingParazo 💵💵🌟🌟🌟⛓️‍💥⛓️‍💥⛓️‍💥⛓️‍💥
354
MIMI NI SHABIKI MKUBWA WA MUZIKI WA ZAMANI WA BONGO FLEVA.

Hii Mixing Nomaa🙌
12
ITENI NICK MINAJ AU SHENSEEA NDIO WANAWEZA KU-BATLE NA AIKA🙌 HAO WASANII WENU WA KIKE MOTO HUU HAWAUWEZII.

Ndugu Wasanii nawashauri tu hawa @aikanavykenzo na @nahreel @navykenzoofficial sio level zenu, hawa wana Dunia yao tuwaache tu😂🙌

Kwa Nyuma namuona Mwanangu @nahreel anaicheki tu BEBE yake anatungisha KICHWA LIKE “YEAAH IS MINE😂🙌”

Hiyo Album ya STEPPA kama hujaisikiliza Umekosa Mengi sanaaa sema bado hujachelewa IPO kwenye Platform zotee
186
back to up