Instagram story viewer> @endfemicidetz_> Post
18 days ago
Co Creator: sautitek woyomo_tz jsitanzania womenfund_tz dadasrisetz
6
Posted On: October 16th 2026, 07:29 am
Tamko letu juu ya mauaji ya wanawake nchini, tunasimama kama wanawake kwaajili ya wanawake wengine Tanzania. Kuwa mwanaume haikupi uhalali wa kumuua mwanamke unapojisikia.

#EndFemicideTz #PingaMauajiYaWanawakeTz
#Repost @habarileo_tz with @use.repost
・・・
DAR ES SALAAM; Mtandao wa Kupinga Ukatili Tanzania umelaani mauaji na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na wasichana nchini, ukitaka serikali na jamii kuchukua hatua madhubuti za kulinda haki ya kuishi na usalama wa wanawake.
-
Akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari, Neema Abeid ambaye ni mwakilishi wa Mtandao wa Kupinga Ukatili Tanzania, amesisitiza umuhimu wa kuchukua hatua za pamoja kukomesha mauaji ya wanawake na kuhakikisha haki zinalindwa.
-
Kwa upande wake, Nasra Mohamed, mwakilishi wa mtandao huo, amepinga matumizi ya wivu na migogoro ya kimapenzi kama sababu za kuhalalisha mauaji, akisisitiza kuwa hakuna sababu inayoweza kuhalalisha mauaji ya mwanamke.
-
Comments (6)
drdada.afya 16 days ago

drdada.afya

Nothing justifies taking someone's life!

marthajerome4709 17 days ago

marthajerome4709

END FEMICIDE NOW

kidemiveronic 17 days ago

kidemiveronic

Huo sio wivu wa mapenzi. I don't like those narratives coz they act as a catalysts inayospeed up violence . Why can't we change narratives kwa kucreate bad names kwa perpetrators na kuwa attack kuwa wao ndio wahuni wenye multiple patners ndio maana hawawazi kumuua mwenzie coz anao wengi sana. Kindly kwenye uchechemuzi tubadili narratives na tuwaoe majina mabaya hawa wakatili . Wivu wa mapenzi imekua kivuli cha kuwakinga perpetrators. Huwezi muua mtu unayempenda . Ipo vise versa

potnar_paul_massawe 18 days ago

potnar_paul_massawe

👏👏🔥

More posts

back to up