Instagram story viewer> @rich.kizza10> Posts
57.9K
followers
1742
following
Jesus is LORD
Fede Valverde at @crownfmtz, @crowntvtz
Founder - @feints.live
Up the Chels💙🦁
POSTS STORIES REELS TAGGED
Luis Suarez, Robert Lewandowski au Karim Benzema? Unaondoka na nani hapo?

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @rich.kizza10
240
7 hours ago
Download
Hakuna mchezaji ambaye amefunga mabao makali kuwahi kutokea kama Zlatan Ibrahimovic, ambaye amefunga kila aina ya bao. Ni moja ya washambuliaji bora kuwahi kuwashuhudia kwa upande wangu.

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @rich.kizza10
66
a day ago
Download
Namtaja Djigui Diarra katika orodha ya makipa watano bora kuwahi kutokea kwenye mpira wa Tanzania.

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @rich.kizza10
29
a day ago
Download
Kocha Diego Simeone, ana nyumba 180 zenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 118 za kitanzania. Huku akiwa na mpango wa kuongeza zaidi idadi ya nyumba hizo.

Simeone anashika nafasi ya 2 kwa makocha wanaolipwa zaidi duniani (€23.4m kwa mwaka), wa kwanza ni Simone Inzaghi wa Al Hilal Saudi (€26m kwa mwaka).

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @rich.kizza10
19
3 days ago
Download
Mchezo wa Al Nassr vs. Neftchi Fargona ulichelewa kuanza hapo jana kutokana na hatari ya urushwaji wa mabomu kutoka kwa Wahuthi wa Yemen🫪

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @rich.kizza10
3
3 days ago
Download
Imani yangu ni kwamba Kevin De Bruyne ana uwezo wa kucheza timu yoyote kubwa kwenye ligi kuu ya Uingereza kwa sababu bado ana uwezo mkubwa.

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @rich.kizza10
6
3 days ago
Download
Ronaldo De Lima ni moja ya wachezaji ambao walikuwa wanafanya mapenzi kabla ya mchezo mara kadhaa. 

Kubwa zaidi alishawahi kushiriki tendo hilo akiwa na wanawake wawili 'THRISAMU'😂

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @rich.kizza10
46
4 days ago
Download
Kuna namna nimefurahi Vini Jr. kuachana na Virginia Fonseca kwa sababu focus yake ya uwanjani itarudi na kufanya anachokifanya kwa ubora zaidi - hasa ukizingatia hajaanza msimu huu vizuri.

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @rich.kizza10
23
4 days ago
Download
Mashabiki wa Simba semeni chochote kuhusu Yusuph Kagoma😃

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @rich.kizza10
65
4 days ago
Download
Na hii ni combined 1st eleven yangu kuelekea derby ya Kariakoo hapo kesho.

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @rich.kizza10
33
7 days ago
Download
Sikupendezwa na kitendo cha Lionel Messi kukataa kupiga picha na wachezaji wa Benin kwenye farewell game yake iliyopigwa hapo juzi.📌

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @rich.kizza10
126
7 days ago
Download
Mshambuliaji wa Everton, Martin Sherif ametozwa faini ya £ (Pauni) 5000 kwa kosa la kubeti mara 61 ndani ya miezi 15.

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @rich.kizza10
12
7 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up