Instagram story viewer> @feints.live> Posts
23.9K
followers
21
following
All about Sports📌
Founded by @rich.kizza10
Subscribe official YT channel - Feints Live
[email protected]; for anything
POSTS STORIES REELS TAGGED
Tapeli mwingine kuwahi kutokea kwenye mpira wa miguu ni ALI DIA ambaye alijifanya binamu wa GEORGE WEAH ili kuichezea SOUTHAMPTON ya Uingereza😂

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @feints.live
68
4 months ago
Download
Carlos Kaiser, tapeli namba moja kuwahi kutokea kwenye mpira wa miguu. Alicheza timu zaidi ya 10, huku akiwa hajacheza dakika hata moja na red card moja na alikuwa ni mshambuliaji😂

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @feints.live
317
4 months ago
Download
Luis Suarez, Robert Lewandowski au Karim Benzema? Unaondoka na nani hapo?

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @feints.live
269
13 hours ago
Download
Hakuna mchezaji ambaye amefunga mabao makali kuwahi kutokea kama Zlatan Ibrahimovic, ambaye amefunga kila aina ya bao. Ni moja ya washambuliaji bora kuwahi kuwashuhudia kwa upande wangu.

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @feints.live
66
a day ago
Download
Namtaja Djigui Diarra katika orodha ya makipa watano bora kuwahi kutokea kwenye mpira wa Tanzania.

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @feints.live
29
a day ago
Download
Kocha Diego Simeone, ana nyumba 180 zenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 118 za kitanzania. Huku akiwa na mpango wa kuongeza zaidi idadi ya nyumba hizo.

Simeone anashika nafasi ya 2 kwa makocha wanaolipwa zaidi duniani (€23.4m kwa mwaka), wa kwanza ni Simone Inzaghi wa Al Hilal Saudi (€26m kwa mwaka).

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @feints.live
19
3 days ago
Download
Mchezo wa Al Nassr vs. Neftchi Fargona ulichelewa kuanza hapo jana kutokana na hatari ya urushwaji wa mabomu kutoka kwa Wahuthi wa Yemen🫪

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @feints.live
3
3 days ago
Download
Imani yangu ni kwamba Kevin De Bruyne ana uwezo wa kucheza timu yoyote kubwa kwenye ligi kuu ya Uingereza kwa sababu bado ana uwezo mkubwa.

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @feints.live
6
3 days ago
Download
Ronaldo De Lima ni moja ya wachezaji ambao walikuwa wanafanya mapenzi kabla ya mchezo mara kadhaa. 

Kubwa zaidi alishawahi kushiriki tendo hilo akiwa na wanawake wawili 'THRISAMU'😂

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @feints.live
46
4 days ago
Download
Kuna namna nimefurahi Vini Jr. kuachana na Virginia Fonseca kwa sababu focus yake ya uwanjani itarudi na kufanya anachokifanya kwa ubora zaidi - hasa ukizingatia hajaanza msimu huu vizuri.

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @feints.live
23
4 days ago
Download
Mashabiki wa Simba semeni chochote kuhusu Yusuph Kagoma😃

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @feints.live
65
4 days ago
Download
Na hii ni combined 1st eleven yangu kuelekea derby ya Kariakoo hapo kesho.

#mrbodyfeints 
#feintslive 
#football by @feints.live
33
7 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up