Instagram story viewer> @saka_sendama> Posts
616
posts
2K
followers
1922
following
Asili yangu Nalesukuma
@cloudsfmtz @cloudstv family
#GECForLife
Isaya : 41πŸ™
Mcloudsania
GOBA BOY πŸ’‚
R.I.P DADDY πŸ’”πŸ•ŠοΈ
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
hakuna mtu anakuja kukusaidia, jijenge mwenyeweπŸ“Œ taken in Dar es Salaam, Tanzania by @saka_sendama
8
2 days ago
Download
hakuna ndoto ndogo, pambania ndoto yako Mpaka uipate 

Tbt za clouds πŸ“ taken in Clouds Media Group by @saka_sendama
0
9 days ago
Download
@mamybabytz kwenye kiwanda cha #BongoFleva kuna talent nyingi sana, ikiwemo hii, nafahamu kabisa una experience na nyimbo hizi, na ingekuwa saivi tupo live kwenye #CloudsFMTop20 ungepita na melody hata moja πŸ˜„

#Raha ni miongoni mwa ngoma zangu pendwa kabisa, kutoka kwako bro keep doing una mziki mzuri sana @kondelatz_ taken in Dar es Salaam by @saka_sendama
2
12 days ago
Download
Kabla ya usiku wa Julai 10 kufika, Clouds Media Group itazunguka nyuzi 360, usawa wa Kiburudani kuhakikisha unaanza na breakfast yenye power.

Meza ya duara Itakuwana @bdozen @adamchomvu na @mamybabytz wakihisabu Miaka 30 ya BongoFleva LIVE kwenye Power breakfast X Clouds360.

Sikiliza na tazama popote kupiti #RadioYaWatu na #LuningaYaWatu ,Tucheki pia #CloudsDigital 

 πŸ“ LIVE kutoka Kambini

#bongofleva30 taken in CloudsFM Radio by @saka_sendama
0
16 days ago
Download
Mr @mullaobo 
#Boxone πŸ”₯

Asante Obo kwa kutuimbia masela wako, 
maisha ya kweli, keep doing nigga taken in Dar es Salaam by @saka_sendama
3
17 days ago
Download
Original Hip-hop kutoka kwa mwamba @johmakinitz & @younglunya 

#Passion πŸ”₯ taken in Goba by @saka_sendama
2
25 days ago
Download
happy birthday Big Joe, @josephkusaga ni baraka sana kuwa na watu kama wewe kwenye huu ulimwengu, nakuombea kheri sana boss,  ukazidishiwe zaidi kwenye kila aina ya mapambano yako, na ndoto zako nyingi zitatimie zaidi kwa unapotamani kufika. taken in Clouds Media Group by @saka_sendama
2
2 months ago
Download
Tanzania yote Inauliza...

🐐 G.O.A.T 1966 ni nini?

πŸ“ Zizini
πŸ—“οΈ09.O6.26

Majibu yanakuja...
🚧 taken in Clouds Media Group by @saka_sendama
3
2 months ago
Download
EVERYTHING HALLELUJAH taken in Clouds Media Group by @saka_sendama
13
2 months ago
Download
huwezi kuwa bora kama hujakosea, inabidi ukosea ili uwe bora zaidi.

Elimu ya maisha haina mwisho 
Usichoke kujifunza, ili uwe mtu bora zaidi. taken in Goba by @saka_sendama
5
2 months ago
Download
Familia β€οΈπŸ™ by @saka_sendama
1
2 months ago
Download
alicho kiimba humu @marioo_tz kwenye #mombasa ni mimi kabisa uyo πŸ˜ƒ, wacha tuenjoy mziki mzuri bhna πŸ”₯ taken in Goba by @saka_sendama
3
2 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up