Instagram story viewer> @selcompesa> Posts
1078
posts
28.2K
followers
10
following
Affordable digital finance app by @selcom_mfb, empowering individuals with secure and fast financial solutions.
Get started now! For Android or iOS
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Mualike rafiki au mwanafamilia kujiunga na Selcom Pesa. Akinunua bando la miamala linalostahili, wote wawili mtapata zawadi kulingana na bando alilochagua.Kadri unavyowaalika wengi zaidi, ndivyo unavyoendelea kujipatia zaidi.Vigezo na Masharti kuzingatiwa.#selcompesa #makatomadogokuliko #switch2selcompesa by @selcompesa
2
4 days ago
Download
Pata faida kwa kumualika rafiki kujiunga na Selcom Pesa!🔥Mualike rafiki kupakua Selcom Pesa. Akisajili na kununua Bando la Miamala, wewe utapata 50% ya bando, na yeye pia atapata 50% ya bando.Kadri unavyowaalika wengi zaidi, ndivyo unavyozidi kunufaika.Vigezo na Masharti kuzingatiwa.#selcompesa by @selcompesa
3
16 days ago
Download
Mualike rafiki au mwanafamilia kujiunga na Selcom Pesa. Akinunua bando la miamala linalostahili, wote wawili mtapata zawadi kulingana na bando alilochagua.Kadri unavyowaalika wengi zaidi, ndivyo unavyoendelea kujipatia zaidi.Vigezo na Masharti kuzingatiwa.#selcompesa #makatomadogokuliko #switch2selcompesa by @selcompesa
0
9 days ago
Download
Tuambie kwenye comment 👇#selcompesa by @selcompesa
11
18 hours ago
Download
Bado unahisi maokoto hayalipi? Wikiendi ukiwa out na marafiki, Pata faida kwa kumualika rafiki kujiunga na Selcom Pesa!🔥Mualike rafiki kupakua Selcom Pesa. Akisajili na kununua Bando la Miamala, wewe utapata 50% ya bando, na yeye pia atapata 50% ya bando.Kadri unavyowaalika wengi zaidi, ndivyo unavyozidi kunufaika.Vigezo na Masharti kuzingatiwa.#selcompesa by @selcompesa
2
a day ago
Download
Last-minute duty-free shopping? Say less. 🛍️Switch to your USD Account and pay with your Selcom Pesa Mastercard for smooth payments while you’re on the move.One card. Your USD. Ready to go. #selcompesa by @selcompesa
0
2 days ago
Download
Referral Moja, Lunch Imesort! 😎Na wewe unaweza kujipatia maokoto kwa kuwaalika marafiki na familia kujiunga na Selcom Pesa. Kadri unavyowaalika wengi zaidi, ndivyo unavyozidi kujipatia zaidi. Usibaki kusikia story! Alika ndugu, jamaa na marafiki, mfaidike pamoja. #selcompesa #switch2selcompesa #makatomadogokuliko by @selcompesa
2
2 days ago
Download
Akaunti yako ya DOLA inaweza kufanya mengi kuliko unavyodhani!Tuma pesa kwenda benki nyingine, hamisha USD kwenda TZS 24/7, lipa Lipa Namba, tuma pesa kwenda mitandao ya simu, na fanya manunuzi mtandaoni kwa Selcom Pesa Mastercard. Fungua Selcom Pesa App na anza kutumia USD akaunti yako leo!#selcompesa by @selcompesa
6
3 days ago
Download
POV: Spain wins the World Cup and now the whole office thinks they’re Spanish. 😂¡Vamos campeones! The World Cup hangover is REAL! 🤣#selcominatosha by @selcompesa
11
3 days ago
Download
SELCOM YAAHIDI KUKUZA UCHUMI WA UBUNIFU KUPITIA MISS UNIVERSE TANZANIAKampuni ya Selcom imesema itaendelea kuunga mkono sekta ya uchumi wa ubunifu nchini kwa kutoa huduma za kifedha za kisasa kupitia jukwaa la Miss Universe Tanzania, ikiwa ni sehemu ya kuwezesha washiriki na wadau wa tasnia hiyo kufanya shughuli zao kwa urahisi na usalama.Akizungumza na waandishi wa habari leo katika ofisi za makao makuu ya Azam Media, Mkuu wa Masoko wa Selcom, Charles Madata, alisema kampuni hiyo inayojihusisha na teknolojia ya kifedha (FinTech) imejikita katika kurahisisha upatikanaji wa huduma za fedha kwa Watanzania kupitia mifumo mbalimbali ya kidijitali.Madata alisema Selcom kupitia Selcom Bank na huduma ya Selcom Pesa imekuwa mstari wa mbele katika kutoa suluhisho za kifedha zinazokidhi mahitaji ya wananchi katika ulimwengu wa sasa unaotawaliwa na teknolojia.Alieleza kuwa Selcom ilikubali kushiriki katika jukwaa la Miss Universe Tanzania kwa kutambua mchango mkubwa wa tasnia ya ubunifu katika kukuza uchumi wa nchi, huku akisisitiza kuwa sekta hiyo inahitaji ushirikiano na msaada kutoka kwa wadau mbalimbali, hususan katika huduma za kifedha.“Tunatambua kuwa uchumi wa ubunifu unakua kwa kasi na unahitaji kuungwa mkono. Kupitia Selcom Pesa, washiriki wa Miss Universe pamoja na wadau wengine wataweza kufanya malipo mbalimbali kwa urahisi, ikiwemo ununuzi wa tiketi na kupokea fedha kupitia huduma zetu za kidijitali,” alisema Madata.Aidha, alisema waandaaji na wadau wa Miss Universe Tanzania watapata fursa ya kutumia huduma ya Lipa Namba ya Selcom, ambayo inaweza kupatikana ndani ya dakika moja, hatua itakayorahisisha miamala na kuongeza ufanisi katika shughuli zote za tukio hilo.Selcom imeeleza kuwa itaendelea kushirikiana na sekta ya ubunifu nchini kwa kuhakikisha huduma za kifedha zinakuwa chachu ya maendeleo na ukuaji wa uchumi wa kidijitali nchini. by @selcompesa
10
4 days ago
Download
Karibu tukuhudumie, mteja wetu 🤝Tupo wazi Jumatatu–Jumamosi, saa 3 asubuhi hadi saa 12 jioni. Tunakupa huduma bora, rahisi na yenye uhakika.#selcominatosha #selcompesa by @selcompesa
12
4 days ago
Download
Tu dinero. Tu tiempo. Sin límites. De USD a TZS cuando quieras, donde quieras. Con Selcom Pesa USD Account, tú decides cuándo mover tu dinero. 24/7. #selcompesa Ni saa 5 usiku, unahitaji TZS haraka lakini pesa zako zipo kwenye USD Account… utafanyaje? 👀Hakuna kusubiri kesho! Ukiwa na Selcom Pesa USD Account, unaweza kuhamisha pesa zako kutoka USD akaunti kwenda TZS wakati wowote, 24/7. Pesa yako hailali, na mahitaji yako hayasubiri. 😉#selcompesa by @selcompesa
6
5 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up